Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Ulimalizika Jana na tukawapiku Mara hiyo hiyo kuwa na the longest and most modern BRT in East and Central Africa.

Ahaaa haaa haaa ila wewe AKILI YAKO ni BOX tupu. Yaani kuandika vile ONLY BRT ndo mmemaliza.
 
mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
haki nimecheka sana.
nimegundua wakenya brt yetu imekuwa inawaumiza kichwa sana mpaka mmeamua kuweka brt yenyu ya kuchora ili mradi tu mfananane na sisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha......hii ni aibu sasa,afadhali wangeacha tuishi bila hiyo brt kama aibu zemefikia hapa.lakini pia na nyinyi wa bongolala mkiona mwenzenu ana tatizo lazima mmuanike namna hii?
Tuna wasaidieni kupigia kelele GoK hata hiyo brt feki msingejengewa kama siyo kelele zetu watz wa jf viongozi wenu Kenya sikuizi wamejazana jf kutizama mwenendo wa mambo baina ya tz na kenya hata sisi tusinge jenga sgr ya Umeme kama siyo malumbano na vision za hapa jf wakenya shukuruni sana jf maana serikali yenu haikua na mpango wa kuwajengea brt hata hiyo ya kuchora
 
Ahaaa haaa haaa ila wewe AKILI YAKO ni BOX tupu. Yaani kuandika vile ONLY BRT ndo mmemaliza.
Tena sema THE LONGEST sio kama kale kenu ka kilomita ishirini...More than quadruple hako kenu TENA on different Highways in Nairobi.
We have dethroned you and taken what is rightfully ours in record time.
 
Wapi Kingo hapa?
Upuuzi ndo maana brt yatz ilichukua tunzo ona hiyo picha hata line za michoro zimepinda pinda cheki hiyo line nyeupe ilivyo pinda sijui mjinga gani kajenga hiyo brt
 
Allocating of special lanes specifically for BRT is one step. You need to have a civilized drivers in order to use such kind of lanes on the road.

On the other hand.. BRT is a system. . Independent system in the transportation mode. You can have it in separate infrastructure as in DSM or you can use the existing roadway to demarcate special lanes for the BRT system.
 
Hiyo siyo BRT ni SBS kwanini jubilii inadanganya wakenya wangeandika SBS ONLY kisha wangesema wanajiandaa kujenga brt msinge aibika
 
Upuuzi ndo maana brt yatz ilichukua tunzo ona hiyo picha hata line za michoro zimepinda pinda cheki hiyo line nyeupe ilivyo pinda sijui mjinga gani kajenga hiyo brt
Rudisha ushamba Tanzania.
 
Relathieves [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza barabara ya BRT chini inatangulia zege(concrete) then unaweza weka juu rami au ukaacha. Concrete inatumika kwasababu mabasi ni mazito.
Hapana. Sio kweli. Unaweza tumia Asphalt concrete (lami) ambayo ni flexible pavement au ukatumia rigid pavement ambayo ni zege. Yote haya inategemea na consultation done na oesa iliyopo. Zikifanywa kwa ubira.. zote zinafaa.. kuna sababu kwanini inatumika zege ila sio hiyo uliyotaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…