Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160.

Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake.

Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya Lame, itakayotumia ishara zake za uso, sauti, na miondoko yake ili kutengeneza maudhui ya mitandao ya kijamii katika lugha mbalimbali.

Dogo kaula. Naona kazi ya content creator inalipa, kuliko kuangalia matako ya wadada wanaojiuza na kupiga punyeto Bora uwe unatoa content zitakazowafurahisha audience yako na hatimaye kukutengenezea kipato kikubwa.


Khaby-Lame-GettyImages-1421394668.jpg
 
Khaby kakulia ulaya, ni mitaliano WA Senegal, HUWEZI linganisha na HIZO frame za bongo ambapo unachungulia TikTok KIDOGO unakimbia kuhofia bando, nahisi MAKONDA ange wekeza NGUVU kwenye miundo MBINU ya mitandao KWA manufaa ya taifa zima na SI hao MACHAWA wachache walio kuwepo kwenye kampeni
 
Content creators wa bongo wanasotq ni balaa.

Kuna yule jamaa anajiita kipusi sijui, aloo mwamba analoa vumbi kinyama, anaoga mitaroni na kwenye matope.

Pesa ngumu kwakweli.
 
Back
Top Bottom