Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

Bado wizi upo Mkuu.....watu wanacheza sana na hizo control number.
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB:katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Magufuli ni mwamba, wakuu, mimi nilishawaambia pesa haipotei yaani.
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB:katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Imepunguza idadi ya wezi. Wezi wa hela ndogo ndogo wamedhibitiwa
 
Tukisema Magu ni Rais bora ukilinganisha na wenzie waliotangulia, watu hawaelewi.

Nakumbuka siku ana kikao na wafanyabiashara wa madini kuna jamaa aliongea kwa hisia sana, sasa yule jamaa ndio kielelezo cha watz wachache ambao hali iliyokuwepo field ilikiwa inawakwaza mno ila ndio hivyo hawajui wafanye kitu gani, Magu ni mmoja wao tokea akiwa waziri huko nyuma sasa amekuwa Rais.

Nimeumwa sikio, kuna mtu alitakiwa kwenda kulipa pesa kiasi fulani akafyeka kadhaa, alipoitwa kuulizwa chenji akawa amebaki na laki nne, kuulizwa nyingine ziko wapi akafa kwa pressure 😂 😂 😂 ,wakazika.
 
Kukusanya fedha ni nusu ya mlinganyo.

Nusu nyingine ni matumizi ya hizo fedha.

Kama ukusanyaji wa fedha unadhibitiwa, halafu mtu mmoja tu ananunua midege anavyotaka, bila bajeti, tenda ya wazi, wala ukaguzi wa vitabu, bado tuna tatizo kubwa sana.
Umewahi kutengeneza budget wewe? Unazijua tender wewe? Kwa kifupi: Katika budget kuna emergency cases or miscellaneous cases. Katika Tender kuna kununua direct kutoka kwa manufacturer. No dealers no competition!
 
Ufafanuzi wa nn hakuna wizi wa maduhuli ya Serikali. Vijana wafunga tai sijui CPA holder namba wanaisoma
Tatizo lako umekariri maisha bwashee, CPA holder anayejitambua vizuri hawezi kufa njaa kwa kutegemea ajira unless awe na matatizo ya mtindio wa ubongo. Kuna advantage pia za kuweka mfumo wa control number kwa qualified accountants kuliko hao vishoka unaowasema waliokuwa wanaingilia taaluma uhasibu ( CPA). Hakunaga system ambayo huwa inaua taaluma ya mtu. Inaonekana wewe ndiye ulikuwa kishoka.....ukweli mchungu lakini ndipo tunapoelekea huko mbele katika ulimwengu wa IT 100%.
 
Back
Top Bottom