Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Asante msomiNgumbaru on fleek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante msomiNgumbaru on fleek
Hao wengine hawakutaka kuwekeza kwenye miradi ya show-off na badala yake walitumia pesa za umma kutoa ajira ili wananchi wengi zaidi waondokane na umaskini hata wa uhakika wa mlo! Na hata hizo barabara za Makumbusho ulizotaja, fuatilia historia yake na utagundua wafadhili walitafutwa na awamu iliyopita na mkataba wa ujenzi ulisainiwa mwaka 2015 ambapo zilitolewa $300M. Hata hayo mambo ya Control Number, ufuatilia historia yake utagundua sio "ubunifu" wa JPM bali sana sana JK, kwa sababu ingawaje sheria ya uanzishwaje wake ilikuja wakati wa Mkapa lakini implementation ilianza awamu ya JK, na taasisi ikaanza kuwa operational mwaka 2012, ambapo mwakajuzi nilihudhuria kwenye kongamano la miaka 5 ya eGA!Ndege za umma. Awamu nyingine hatukua na ndege na makusanyo yaliishia mifukoni mwa wajanja wachache
Pesa inapita juu kwa juu.Control Number kiboko ya 'wadokozi'
Akili mukichwa.kweli isee tena pale mawasiliano kituo cha polisi nimetoa pesa imeniuma sana...
Bora kulima vanilla kuliko uhasibu Zama hiziAkili mukichwa.
Jibu swali kwanzaUnaweza kujenga hoja kwa namba na kuacha maneno tu?
Swali gani? Swali lenyewe linazaa maswali kuliko majibu, kwa sababu halieleweki.Jibu swali kwanza
Kuna rule na exception kwa sababu ya emergency.Umewahi kutengeneza budget wewe? Unazijua tender wewe? Kwa kifupi: Katika budget kuna emergency cases or miscellaneous cases. Katika Tender kuna kununua direct kutoka kwa manufacturer. No dealers no competition!
SureSijutii kura yangu.
Fafanua kazi ya contro no wengne tunaona ni msamiati mpyaWale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.
Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB: Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Duh unaishi Tanzania kweli? Siku hizi hata kulipa faini ya makosa ya barabarani lazima upate control number ya jeshi la polisi, kila kitu inalipa kwa control number hata Mia tano ya kulipia loss report hakuna sehemu utaenda ulipe cash. Pesa inaenda kwenye pool ya hazina moja kwa moja.Fafanua kazi ya contro no wengne tunaona ni msamiati mpya
Magufuli tutamkumbuka BabaDuh unaishi Tanzania kweli? Siku hizi hata kulipa faini ya makosa ya barabarani lazima upate control number ya jeshi la polisi, kila kitu inalipa kwa control number hata Mia tano ya kulipia loss report hakuna sehemu utaenda ulipe cash. Pesa inaenda kwenye pool ya hazina moja kwa moja.
Hiki ndicho nimeamua kufanya kwa sasa!!!Bora kulima vanilla kuliko uhasibu Zama hizi
Yani mnapambana kila jambo JK ahusike tu ilimradi sifa asipewe Magufuli😅😅😅 acheni upumbavu angekuwa JK wa maana angeanza nalo hilo kabla ya maufisadi yao ya IPTL na RichmondHao wengine hawakutaka kuwekeza kwenye miradi ya show-off na badala yake walitumia pesa za umma kutoa ajira ili wananchi wengi zaidi waondokane na umaskini hata wa uhakika wa mlo! Na hata hizo barabara za Makumbusho ulizotaja, fuatilia historia yake na utagundua wafadhili walitafutwa na awamu iliyopita na mkataba wa ujenzi ulisainiwa mwaka 2015 ambapo zilitolewa $300M. Hata hayo mambo ya Control Number, ufuatilia historia yake utagundua sio "ubunifu" wa JPM bali sana sana JK, kwa sababu ingawaje sheria ya uanzishwaje wake ilikuja wakati wa Mkapa lakini implementation ilianza awamu ya JK, na taasisi ikaanza kuwa operational mwaka 2012, ambapo mwakajuzi nilihudhuria kwenye kongamano la miaka 5 ya eGA!
Rais wangu wa sasa anachojali yeye ni kuwekeza kwenye miradi inayovuta attention hata kama haina manufaa makubwa ya moja kwa moja kwa wananchi!
Luku wanataka wauwe ule mfumo warudishe mfumo wa kulipia cash dirishani 😅😅😅 ili wagawane hela zetuLuku naona wanataka kuchomoa betri
Hahahha huyo wa CPA ya 1993 kama hajapiga hela hadi leo hii lazma afe masikini 😅😅😅Daa! Mkuu uwe mwangalifu! Jamaa yangu hapa ana CPA ya 1993, amesonya: "mpsyuuuu!!!" Akaondoka!
Wamebanwa makendeWahasibu wamebanwa pakubwa
Kwa nchi kama yetu hii mifumo iko weak sana kiusalama! Akitokea mjanja aka temper nao kwa siri atapiga hela nyingi sana yani hata akiuset udokoe laki tu kila siku 😅😅😅 mpaka mje mgundue maybe 15 years ahead atakuwa ni tajiri wa kutupwaKatika kipindi kizuri cha kuiba na kukusanya ni kipindi kama hiki, kwa sababu kila mtu anaogopa so ukipata nafasi unafanya yako.
Hiyo control number wajanja washaifanyia kazi na kuna njia ukilipia pesa haiingii kunakotakiwa but kila kitu kinaonekana sawa ila juu kwa juu inakatwa.