Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

Ndege za umma. Awamu nyingine hatukua na ndege na makusanyo yaliishia mifukoni mwa wajanja wachache
Hao wengine hawakutaka kuwekeza kwenye miradi ya show-off na badala yake walitumia pesa za umma kutoa ajira ili wananchi wengi zaidi waondokane na umaskini hata wa uhakika wa mlo! Na hata hizo barabara za Makumbusho ulizotaja, fuatilia historia yake na utagundua wafadhili walitafutwa na awamu iliyopita na mkataba wa ujenzi ulisainiwa mwaka 2015 ambapo zilitolewa $300M. Hata hayo mambo ya Control Number, ufuatilia historia yake utagundua sio "ubunifu" wa JPM bali sana sana JK, kwa sababu ingawaje sheria ya uanzishwaje wake ilikuja wakati wa Mkapa lakini implementation ilianza awamu ya JK, na taasisi ikaanza kuwa operational mwaka 2012, ambapo mwakajuzi nilihudhuria kwenye kongamano la miaka 5 ya eGA!

Rais wangu wa sasa anachojali yeye ni kuwekeza kwenye miradi inayovuta attention hata kama haina manufaa makubwa ya moja kwa moja kwa wananchi!
 
Jibu swali kwanza
Swali gani? Swali lenyewe linazaa maswali kuliko majibu, kwa sababu halieleweki.

Kaguzi za awamu zilizopita zipi? Awamu gani, za utawala wa serikali au za u CEO wa kampuni?

Nikikwambia sitaki kujadili kitu bila namba ndiyo maana nikakwambia lete namba tujadili facts and figures badala ya habari za maneno tu utasemaje?
 
Umewahi kutengeneza budget wewe? Unazijua tender wewe? Kwa kifupi: Katika budget kuna emergency cases or miscellaneous cases. Katika Tender kuna kununua direct kutoka kwa manufacturer. No dealers no competition!
Kuna rule na exception kwa sababu ya emergency.

Sasa tatizo ni pale exception for emergency inapofanywa kuwa rule for BAU use!
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Fafanua kazi ya contro no wengne tunaona ni msamiati mpya
 
Fafanua kazi ya contro no wengne tunaona ni msamiati mpya
Duh unaishi Tanzania kweli? Siku hizi hata kulipa faini ya makosa ya barabarani lazima upate control number ya jeshi la polisi, kila kitu inalipa kwa control number hata Mia tano ya kulipia loss report hakuna sehemu utaenda ulipe cash. Pesa inaenda kwenye pool ya hazina moja kwa moja.
 
Magufuli tutamkumbuka Baba
 
Hao wengine hawakutaka kuwekeza kwenye miradi ya show-off na badala yake walitumia pesa za umma kutoa ajira ili wananchi wengi zaidi waondokane na umaskini hata wa uhakika wa mlo! Na hata hizo barabara za Makumbusho ulizotaja, fuatilia historia yake na utagundua wafadhili walitafutwa na awamu iliyopita na mkataba wa ujenzi ulisainiwa mwaka 2015 ambapo zilitolewa $300M. Hata hayo mambo ya Control Number, ufuatilia historia yake utagundua sio "ubunifu" wa JPM bali sana sana JK, kwa sababu ingawaje sheria ya uanzishwaje wake ilikuja wakati wa Mkapa lakini implementation ilianza awamu ya JK, na taasisi ikaanza kuwa operational mwaka 2012, ambapo mwakajuzi nilihudhuria kwenye kongamano la miaka 5 ya eGA!

Rais wangu wa sasa anachojali yeye ni kuwekeza kwenye miradi inayovuta attention hata kama haina manufaa makubwa ya moja kwa moja kwa wananchi!
Yani mnapambana kila jambo JK ahusike tu ilimradi sifa asipewe Magufuli😅😅😅 acheni upumbavu angekuwa JK wa maana angeanza nalo hilo kabla ya maufisadi yao ya IPTL na Richmond
 
Katika kipindi kizuri cha kuiba na kukusanya ni kipindi kama hiki, kwa sababu kila mtu anaogopa so ukipata nafasi unafanya yako.

Hiyo control number wajanja washaifanyia kazi na kuna njia ukilipia pesa haiingii kunakotakiwa but kila kitu kinaonekana sawa ila juu kwa juu inakatwa.
Kwa nchi kama yetu hii mifumo iko weak sana kiusalama! Akitokea mjanja aka temper nao kwa siri atapiga hela nyingi sana yani hata akiuset udokoe laki tu kila siku 😅😅😅 mpaka mje mgundue maybe 15 years ahead atakuwa ni tajiri wa kutupwa
 
Back
Top Bottom