Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

Kuna wimbo nadhani unaitwa jumpy jumpy kama sijakosea. Ni mzuri sana. Miaka hiyo ngoma zake zilikuwa kama kina Fun Factory, Real McCoy na Captain Hollywood
 
Yani Nature alipagawa na dongo la mtoto wa Dandu kwenye wimbo wa Sina Makosa ule mstari unasema "wewe si wako mimi si wangu chuki ya nini....nasema sina makosa mimi babaa.."ukizingatia Nature alikufa akaoza kwa Sinta akapagawa na kutoa nyimbo kama "Sitaki demu"wimbo huu kuna kipande ameimba ni kama anampa dongo Sinta kuwa yeye alijipendekeza anapoimba na kusema jamaa ake anamgongea dirishani anaita "nature,nature kuna mtu anakuhitaji uje muelewane mwende mkajichane..."demu mwenyewe anaemwita ni Sinta..kweli old is gold
Mkuu acha porojo na uongo!
 
RIP Cool James. Huyu jamaa alikuwa na nyota kali sana . Nadhani angeweza kuwa hata waziri wa sanaa na michezo.
Alikuwa humble,calm and well connected worldwide. Ila sukari ya warembo hapo downtown posta warembo wazuri walimlilia sana.
 
dah!!,sina cha kuongeza kwa kweli,hili bandiko limenirejesha nyuma sana,miaka ya 1995-99.ni miaka ambayo nyimbo za the late james dandu zilikuwa ni habari ya mjini.

ardhi inameza aisee..
nimekumbuka mbali sana
 
yan siku zote sikuwahi kujua kama ile ajali ilitokea makumbusho dar, japo nafaham kama alifariki kwa ajali hivi nini kilisababisha iyo ajali mkuu kama unafaham

Alikua anatabia ya kuendesha gari usiku kama ana ekti movie kila aliposhauriwa kuacha huyo tabia alikua hasikii.. Alikua na Swaga za hatari sana! .
 
Sina majibu ya maswali yako
Kweli hata mimi ningekosa majibu, watu wengine sijui wanatumiaga bangi? James aliwafungua macho local Musicians lkn nchi masikini km hiz ambazo wenzetu wanatudanganya zinaendelea, kila kitu ni low low low low af inatengeneza circle
ya low. Kwanzia Thinking, income, expenditure, leadership, politics,
democracy, industries etc. So me sionagi wa kumlaumu.
 
Dandu Hana mchango wowote kwenye bongo fleva hats kill music. Sioni sababu ya kumtaja hapo, apumzike kwa Amani huko alipo.
Kuna mwaka nafikiri 2000 alitajwa na picha yake ilikuwa on stage
 
Kweli hata mimi ningekosa majibu, watu wengine sijui wanatumiaga bangi? James aliwafungua macho local Musicians lkn nchi masikini km hiz ambazo wenzetu wanatudanganya zinaendelea, kila kitu ni low low low low af inatengeneza circle
ya low. Kwanzia Thinking, income, expenditure, leadership, politics,
democracy, industries etc. So me sionagi wa kumlaumu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
dandu anakumbukwa sana tu kuliko msanii yoyote bongo hata tuzo za kill music award zilianzishwa ili kumuenzi yeye hesima mbayo hakuna msanii yoyoye alikufa kuweza kuipata
Zilianzishwa ili kumuenzi yeye au yeye ndiye aliyezianzisha?
 
[emoji120] [emoji817] [emoji109] [emoji115] [emoji123]
Mshana anapiga kotekote anzia miziziology, tafsiri za ndoto, mimea iliyo hatari, mafuvu, mienendo ya kisiasa kote ni mtaalamu ni ramli tu sijapata thread yake!! Ngedhia nimi ngedhia!!!
 
Back
Top Bottom