mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,970
Hivi Sinta yuko wapi?Daah enzi hizo R.I.P mtoto wa dandu enzi hizo alishoot video na Sinta kipindi Sinta yupo juu kwa skendo kama Sepetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Sinta yuko wapi?Daah enzi hizo R.I.P mtoto wa dandu enzi hizo alishoot video na Sinta kipindi Sinta yupo juu kwa skendo kama Sepetu.
dunia inameza zama hizo alikuwako pia mwanareggae aliitwa "Justin kalikawe" ripdandu anakumbukwa sana tu kuliko msanii yoyote bongo hata tuzo za kill music award zilianzishwa ili kumuenzi yeye hesima mbayo hakuna msanii yoyoye alikufa kuweza kuipata
Ukikutana naye huwezi amini kawa bonge la mamaaHivi Sinta yuko wapi?
Mkuu acha porojo na uongo!Yani Nature alipagawa na dongo la mtoto wa Dandu kwenye wimbo wa Sina Makosa ule mstari unasema "wewe si wako mimi si wangu chuki ya nini....nasema sina makosa mimi babaa.."ukizingatia Nature alikufa akaoza kwa Sinta akapagawa na kutoa nyimbo kama "Sitaki demu"wimbo huu kuna kipande ameimba ni kama anampa dongo Sinta kuwa yeye alijipendekeza anapoimba na kusema jamaa ake anamgongea dirishani anaita "nature,nature kuna mtu anakuhitaji uje muelewane mwende mkajichane..."demu mwenyewe anaemwita ni Sinta..kweli old is gold
Yupo Sweden ameolewabna mzungu mkuu.Mke wake kwa sasa yuko wapi? Nakumbua Ladyjaydee alimtumia ktk video ua wimbo wake mpaka leo kimya kabisa.
ComplexKuna jamaa alikua anasafiri na mpenzi wake Vivy aliyekua mtangazaji clouds wakapata ajali alikua anaitwa nani jina limenitoka kidogo ?
dah!!,sina cha kuongeza kwa kweli,hili bandiko limenirejesha nyuma sana,miaka ya 1995-99.ni miaka ambayo nyimbo za the late james dandu zilikuwa ni habari ya mjini.
yan siku zote sikuwahi kujua kama ile ajali ilitokea makumbusho dar, japo nafaham kama alifariki kwa ajali hivi nini kilisababisha iyo ajali mkuu kama unafaham
Kweli hata mimi ningekosa majibu, watu wengine sijui wanatumiaga bangi? James aliwafungua macho local Musicians lkn nchi masikini km hiz ambazo wenzetu wanatudanganya zinaendelea, kila kitu ni low low low low af inatengeneza circleSina majibu ya maswali yako
Ofkoz wengi hawamjui maana hata track zake hazipigwilakini walau wangekuwa wanamtaja kuwa mashindano hayo ni kwa kumbukumbu na heshima yake! kinachoonekana ni matangazo ya bia vijana wengi sana hawamjui Dandu
Kuna mwaka nafikiri 2000 alitajwa na picha yake ilikuwa on stageDandu Hana mchango wowote kwenye bongo fleva hats kill music. Sioni sababu ya kumtaja hapo, apumzike kwa Amani huko alipo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kweli hata mimi ningekosa majibu, watu wengine sijui wanatumiaga bangi? James aliwafungua macho local Musicians lkn nchi masikini km hiz ambazo wenzetu wanatudanganya zinaendelea, kila kitu ni low low low low af inatengeneza circle
ya low. Kwanzia Thinking, income, expenditure, leadership, politics,
democracy, industries etc. So me sionagi wa kumlaumu.
Zilianzishwa ili kumuenzi yeye au yeye ndiye aliyezianzisha?dandu anakumbukwa sana tu kuliko msanii yoyote bongo hata tuzo za kill music award zilianzishwa ili kumuenzi yeye hesima mbayo hakuna msanii yoyoye alikufa kuweza kuipata
Mshana anapiga kotekote anzia miziziology, tafsiri za ndoto, mimea iliyo hatari, mafuvu, mienendo ya kisiasa kote ni mtaalamu ni ramli tu sijapata thread yake!! Ngedhia nimi ngedhia!!![emoji120] [emoji817] [emoji109] [emoji115] [emoji123]