Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Ain't easy bruvMrudiane tu
Pole, it hurts kama unachomwa kisu kifuani. Kusali sana kwaajili ya amani kwanza, halafu kujipenda sana (mazoezi, kujitengeza nywele kucha, kujipamper ile mbaya, kula nje peke yako mara moja moja). Yaani unakuwa mtu mpya kabisa.JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike ..
Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe..
Let's say mmedate, mmeunganisha families alafu mmecreate.. two made three ila ya Dunia mengi mmeachana ..ila unaugulia a year sasa ..
THREAD KWA AJILI YA WOTE JUST SHARING EXPERIENCE
Unaugulia?ila unaugulia a year sasa ..
Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..Unaugulia?
Kwani wewe ndiyo uliachwa na bado unampenda?
Unaweza kueleza zaidi mkuuUnabadili mtindo wa maisha. Bila hvyo hutoboi
Basi moto unao...Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..
Basi moto 🔥Basi moto unao...
Rudi mkabebane hivyohivyo
Pole sanaBasi moto 🔥
Hapana , I made a choice .. nataka kustand firm as a man .
Sitaki kurusi nyuma
It's not my ego talking .. thinking like this ila ni mimi binafsi ..
Sema akipiga simu anaharibu kila kitu
Ahsante to yeyePole sana
Duh hapo kama anpata bunda zaid yako ni kaz.Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..
She was earning more than me at that time , I know you know namaanisha Nini na mwanamke wa kisasa akiwa hivyo anakuwa na tabia Gani.
Unamuogopa ke? Huyo jitahidi umpotezee vinginevyo atakupa magonjwa yasiyoambukiza.Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..
She was earning more than me at that time , I know you know namaanisha Nini na mwanamke wa kisasa akiwa hivyo anakuwa na tabia Gani.