Coping mechanism after breakup/divorce

Coping mechanism after breakup/divorce

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike ..

Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe..

Let's say mmedate, mmeunganisha families alafu mmecreate.. two made three ila ya Dunia mengi mmeachana ..ila unaugulia a year sasa ..

THREAD KWA AJILI YA WOTE JUST SHARING EXPERIENCE
 
Pole, it hurts kama unachomwa kisu kifuani. Kusali sana kwaajili ya amani kwanza, halafu kujipenda sana (mazoezi, kujitengeza nywele kucha, kujipamper ile mbaya, kula nje peke yako mara moja moja). Yaani unakuwa mtu mpya kabisa.

Yote katika yote, kila kitu kina mwisho. Time heals
 
Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..

She was earning more than me at that time , I know you know namaanisha Nini na mwanamke wa kisasa akiwa hivyo anakuwa na tabia Gani.
Unamuogopa ke? Huyo jitahidi umpotezee vinginevyo atakupa magonjwa yasiyoambukiza.
 
Back
Top Bottom