Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

Wakenya wameumbwa kichuki chuki,wenyewe kwa wenyewe wanachukiana hatari,tusitegemee zuri lolote kutoka kwa jirani wa aina ile,Tanzania tumepakana na nchi 8 lakini kila leo ni kenya tu ndio awaishi kutuongelea mabaya,stupidy kunyan
Na wakimalizana na sisi ..2022 hapo uchaguzi..wanaanza kuchinjanap wenyewe...Mkikuyu anamchinja Mjaluo...mkalenjini nae anaua kila mtu...Taifa la Hovyo kabisa Kenya..
 
Hahahaha, ila ninyi mnapounga unga mkono Jubilee na genge lao kikabila linaloongoza nchi yenu ndio mpo sawasawa sio?, mnamshambulia Mkikuyu akili timamu kiasi cha kusema kwamba sio mkenya ni mtanzania kwasababu tu anamtizamo tofauti na Jubilee. Ninyi wakenya ukabila na roho mbaya na ubinafsi ndio tatizo lenu. Mtanzania yeyote mwenye kuisifia na kuitetea Tanzania mnasema ni CCM kwasababu CCM na Jubilee havielewani.
Wanapata sana shida na Uzalendo wetu na Umoja wetu...kule kwao vyama vyao vya siasa ni vya kifamilia zaidi...taasisi zap hovpyo kabisa..viongozi wacheza dili kuanzia ngazi zote...Rushwa ni kauli mbiu ya Taifa.
 
Wangoje hotuba ya tundu lissu waambiwe ukweli
Praise team are allergic to facts and statistics they almost killed the man for saying the truth
 
Pumbavu hilo, sitegemei kama litarudi tena. Yakizidiwa yanakimbilia kwenye uchama, kwani ni kosa mtu kuwa mwanachama wa chama cha siasa?. Pumbavu sana huyo jamaa.
Hawa si wale wa akili fupi...eti kuwa mzalendo ni kusaka tonge..ujinga mtupu,waendelee na ujinga wao,wanawaona wakenya kwenye mitandao na kuhisi wanaishi vizuri...Waende huko wakaone watu wanaishi kwenye Mabanda..watu hawana furaha kila saa wana mudy za hasira hasira.
 
Pumbavu hilo, sitegemei kama litarudi tena. Yakizidiwa yanakimbilia kwenye uchama, kwani ni kosa mtu kuwa mwanachama wa chama cha siasa?. Pumbavu sana huyo jamaa.
Tatizo ni hawapendi kutumia akili kungamua vitu.

Nina marafiki kila mkoa wa Tz na sijasikia hata mmoja ambaye ndani ya familia yake kuna corona.
 
Wakenya BIZE na Tanzania.
Alafu Tanzania hata habari hatuna.
unataka kuzima moto kwa Jirani yako wakati kwako kunateketea.
Endeleeni kupimana corona alafu mtakuja kutuambia IDADI.
 
Serikali yako imewashika wengi kimawazo, kama health officials hawawezi tangaza their findings wadaku wa mitandao kama wewe mtapata wapi ya ku post apart from selected positives za tz?, kisha serikali imewaamimisha eti testing ni ovyo kupitia kupima ma paipai na petroli (pedestrian reasoning, unscientific), so wengi mumekaa kizombie tu, can't think outside the box. Ndio maana wewe mtazamo wako ni ule ule wenye ccm has propagated, see your life now![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanifurahisha sana, yaani mtu mzima anaeza kua fooled hivi kirahisi![emoji23][emoji23]
Lakini huko kwenu mnavyopandikizwa chuki dhidi ya makabila mengine na mkakubali na kuanza kuchinjana unahisi ni sawa tu, mnavyodhulumiwa kwa rushwa na Nepotism, au uchumi wenu kuwekwa mikononi mwa watu wachechi huku vyombo vyenu vya habari vikiwafanganya kwamba Kenya ni nchi tajiri kwenu hilo ni sawa tu.

Kenya mumejazwa ujinga na viongozi wenu, mliambiwa kupima na kutangaza matokeo kila siku ndio njia bora ya kupambana na Corona, mlikua mnategemea kuona watanzania wanakufa kwa wingi, sasa imekwenda tofauti na mategemeo yenu mumebaki kuichafua Tanzania kwa propanda za kijinga, hovyo sana ninyi.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]well done kaka. Wewe ni mmoja wa kipekee among Tanzanians. Huyo wachana na yeye., ako na hasira isiyo kua na msingi.[emoji23]
Hahahaha, kwasababu yupo na mawazo yanayolingana na wewe kwahiyo yeye yupo sawa, yeyote atakayetoa mawazo tofauti na wewe, basi ni CCM na anafanya makosa, sivyo?
 
Lakini huko kwenu mnavyopandikizwa chuki dhidi ya makabila mengine na mkakubali na kuanza kuchinjana unahisi ni sawa tu, mnavyodhulumiwa kwa rushwa na Nepotism, au uchumi wenu kuwekwa mikononi mwa watu wachechi huku vyombo vyenu vya habari vikiwafanganya kwamba Kenya ni nchi tajiri kwenu hilo ni sawa tu.

Kenya mumejazwa ujinga na viongozi wenu, mliambiwa kupima na kutangaza matokeo kila siku ndio njia bora ya kupambana na Corona, mlikua mnategemea kuona watanzania wanakufa kwa wingi, sasa imekwenda tofauti na mategemeo yenu mumebaki kuichafua Tanzania kwa propanda za kijinga, hovyo sana ninyi.
..huyo jamaa ni mkikuyu itakuwa, Wakikuyu ni ma architecture wa Ukabila na Rushwa...leo hii nchi inaongozwa na magenge ya wafanya biashara wananchi wanageuzwa kuwa mtaji...media zote zinampilikiwa na wanasiasa,ustegemee wakenya wakatoka kifungoni leo...×wamezikwa chini ya uso wa dunia.
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
Mkuu jigeuze uwe ummy uanze kutaja kila mkoa wapo wangapi na vifo vingapi maana utakuwa data unazo kila anaekufa mwenyekiti wa mtaa anakurushia data
 
Hakuna watu wana stress kama wakenya
Stress ni mwabmnzo mwisho,Babu zao waliwapa Wazungu mashamba,mengine yakachukuliwa na ma puppet kam Kina Jomo,leo hii3/4 ya wakenya hawana Ardhi.mabwenyenye ndo wanamiliki Ardhi wao ni makuli kwenye hayo mashamba na mazao ya hayo mashamba yanaenda ulaya..sasa unategemea wawe na raha KWELI?...watu wanaishi kwenye Mabanda mkuu..ni noma ukitembelea hyo nchi ati..utaona tofauti kubwa.
 
Nyie mrs USA pumbavu sana kitabu chenu cha river between kinaeleza jinsi ya kujifukiza mnashindwaje kujifukiza mnakomaa na Tz [emoji3][emoji3][emoji3]

Kwani tangu mji lokidauni idadi imepungua hiv mkisema idadi imefikia buku hiyo list mnaipeleka wapi? WHO ili kuombea mkopo au

Hebu muwe na akili mnazidiwa na Burundi wamefanya uchaguzi mnaambiwa ugonjwa sio wa kuisha leo ina maana mtakaa ndani milele?

USA saiv wanaandamana tena wako karibu karibu umesikia wamekufa wangapi kwa korona kwenye hayo maandamano
Jumamosi ligi inaanza mzee vp huko gor mahia wanaanza lini..... [emoji3][emoji3][emoji3]

Hofu ni ugonjwa mbaya sana "Magufuli's voice" chukueni hii itawasaidia sana.
 
Stress ni mwabmnzo mwisho,Babu zao waliwapa Wazungu mashamba,mengine yakachukuliwa na ma puppet kam Kina Jomo,leo hii3/4 ya wakenya hawana Ardhi.mabwenyenye ndo wanamiliki Ardhi wao ni makuli kwenye hayo mashamba na mazao ya hayo mashamba yanaenda ulaya..sasa unategemea wawe na raha KWELI?...watu wanaishi kwenye Mabanda mkuu..ni noma ukitembelea hyo nchi ati..utaona tofauti kubwa.
mashamba tumeomba TZ ?
 
mashamba tumeomba TZ ?
Kutokuwa nayo ..mnapata stress...mnataka hii nchi ya Asali na maziwa...Hata viongozi wenu wanaimiza haswa shirikisho la Afrika mashariki free border...lkn sisi ni bora tuungane na Somalia lkn sio nyie watu wa Matamaa na Ukabila.
 
Wewe umejibu nini hapa? Unanirukia tu ovyo kama kima without reading to understand first, your response is a misfire. Nenda shule shabiki wa ccm.
Nimesema hivi,muda si mrefu, tnaitangazia dunia kuwa Corona free zone,huku nyinyi mkifungiwa ndani na Kenyatta kama mende kabatini,jana league imeanza,na timu yangu ya YANGA imepigwa 3-0! Nyinyi huko vp?hahaha.
 
Back
Top Bottom