#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Mabeberu na mawakala wao wanaitafuta kwa tochi corona nchini Tanzania. Mtu akifa kwa ugonjwa wowote wanalazimisha kuwa kafa kwa corona hata kama madaktari hawajasema hivyo!! Tunamshukuru sana Mungu kwa sababu biashara ya corona imedoda sana nchini Tanzania!! Watasubiri sana! Mungu alishatuponya!! Tuendelee kukiri hivyo na Mungu wetu apewe utukufu wote!! Baada ya wiki mbili Mbatia atatafuta mahali pa kujificha!! Ametabiri kuwa baada ya wiki mbili hali itakuwa mbaya sana kwa corona! Sijui amelipwa shilingi ngapi ili ashiriki kuleta hofu kwa watanzania? Hofu na corona vitaishia nyumbani kwake tu!!
 
Back
Top Bottom