#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Hata mimi sielewi ndugu yangu, nayasikia sana makelele hayo ila kila kona niendako sioni. Nimehitimisha kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe..wapo wanaosumbuliwa na corona na wapo wanaosumbuliwa na malaria. Ukiona wanalia corona ujue ndio maladhi yao wewe una yako, pambana na yako tu...hayo waachie wenyewe hao jamaa
 
Inachachafya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga ,ni zika zika tu.
 
hivi tunavyoendelea kubishana bishana hivi ndiyo tunazidi kuendelea kuipaisha na kuivumisha pasipo kustahili

endeleeni na makorona yenu mimi hamtaniona tena nikijadili upumbavu huu
 
Upumbavu wa nyokooo [emoji34][emoji34][emoji34]

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mchana huu rafiki yangu tuliyesoma wote msingi na sekondari anazikwa makaburi ya kondo bahari beach kwa shida hizi hizi za covid.

Mleta uzi chunga sana uandishi wako wenye dharau.
Haya ni masalia ya siasa za kijinga zilizoendelezwa na vichaa wa Mirembe, sasa wameanza wenyewe kusema hata vipimo vya mapapai ilikuwa ni ujinga. Huyu ngoja ifike kwenye familia yake ndio ataelewa. Watu wanafariki wao wanaleta utani. Walaaniwe wote.
 
Watu wanafariki wao wanaleta utani.
Ulitaka watu wasifariki kwani hii dunia ni ya baba ako!?

Kila siku watu wanafariki kwa magonjwa mbalimbali — Kisukari, Ukimwi, kansa, malaria, TB nk....

Wewe hata ukifa kwa kuumwa kinyeo utataka daktari asema umekufa kwa corona!

Acha ujuha.
 
Najisikia vibaya sana mtu akibeza hivi hapa tuna misiba mibichi kabisa hatujazika na kaka yangu yuko mloganzila saa hizi hata kupumua hawezi[emoji174][emoji174] please, musifanye mzaha mnatuumiza ndugu zenu. Acheni kejeli
Pole sana Miss Pablo, achana na wajinga wanaoabudu binadamu mwenzao. Wao waliposikia shujaa uchwara wao akisema hakuna Corona walikariri hivyo na huwezi kuwabadilisha mpaka wafe wao.
 
Mkuu asante sana. Inatia hasira mno. Masikitika sana itakuaje kuondoa hii mbegu mbaya hivi iliyopandwa kwa hawa viumbe.
 
Hey,

Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.

Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??

Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.

Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.

Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.

Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.

Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?

Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!

Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.

Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?

Mnatuchanganya mjue?
Funga Safari uitafute ilipo mkuu usiwe unasikiliza ya vijiweni nenda hosptali huko watakupa hali halisi na mahali ilipo hiyo Corona
 
Ulitaka watu wasifariki kwani hii dunia ni ya baba ako!?

Kila siku watu wanafariki kwa magonjwa mbalimbali — Kisukari, Ukimwi, kansa, malaria, TB nk....

Wewe hata ukifa kwa kuumwa kinyeo utataka daktari asema umekufa kwa corona!

Acha ujuha.

Stupid idiot!
 
Huyu shoga mnampa kiki za bure kwa kujibizana nae masuala ya kipumbavu. Muacheni na uzi wake. Siku corona ikimchukua mumewe ndio atajua hajui.
 
Hey,

Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.

Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??

Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.

Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.

Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.

Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.

Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?

Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!

Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.

Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?

Mnatuchanganya mjue?
Korana Sio ukurutu kua utawaona Wana upele mwingi
hao unao waona wengine wanakorona
mtu Sio kuku wa kienyeji waliougua mdondo utawakuta mitaani wamejikunyata
binadamu akiugua anakaa ndani usitarajie kuwaona barabarani Kama walevi wakipepesuka
 
Back
Top Bottom