miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Wewe jamaa una shida gani? Na nikionyesha hisia zangu kinakuuma nini? Mbona una umama sana? Are you a real man? Na swali linataka nini kutoka kwa mtoa mada?Hivi magonjwa na vifo vimeanza kuwepo leo? watu wanateseka na maradhi huko mahospitalini toka hata corona bado na wanakufa, ndio maana nilikwambia mimi nilifiwa vifo vya kufuatana ndani ya wiki moja tu na hapo corona ilikuwa bado haipo, sasa wewe ukija hapa na hisia zako za ndugu zako huko ndio sisi tuone jambo kubwa wakati maisha yapo hivyo siku zote watu wanaangaika na wagonjwa huko mahospitalini kila siku na maisha yanaendelea hakuna taharuki yeyote.
Wewe unajua takwimu za vifo vya malaria na ushaona watu wakija kutia huruma humu kufiwa na ndugu zao kwa malaria ili tuone kwamba malaria ni ugonjwa hatari?
Sikia... mind ur own business. Punguza shobo na watu. Wakifa ndugu zangu wewe unaumia nini? Ni ndugu zako? Ama ndo unaona wivu mpaka vifu vya ndugu za watu? U seem so immatured. [emoji706][emoji706][emoji706]