kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
1 Mkuu mpaka sasa idadi ya watu waliokufa ni bilioni kama 110 hivi na walio hai ni around 7.7 Bilions.
Duh! Umetisha kijana; kwa data zako hizo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1 Mkuu mpaka sasa idadi ya watu waliokufa ni bilioni kama 110 hivi na walio hai ni around 7.7 Bilions.
Kwani kabla ya hiyo corona watu walikuwa hawafi?Najisikia vibaya sana mtu akibeza hivi hapa tuna misiba mibichi kabisa hatujazika na kaka yangu yuko mloganzila saa hizi hata kupumua hawezi[emoji174][emoji174] please, musifanye mzaha mnatuumiza ndugu zenu. Acheni kejeli
Ujinga mtupu.Ukiiugua au kuuguliwa utajua ipo wapi
Narudia hujaugua wala kuuguliwaUjinga mtupu.
Mmebaki na stori uchwara tu.
Wewe ni m..k...u........uKwani kabla ya hiyo corona watu walikuwa hawafi?
Huyo kaka yako ana uspesho gani mpaka asiugue?
Hali ni mbaya kwenye vitabu na makaratasi.Aisee Hali ni mbaya. Mungu tunusuru
Tuonyeshe wagonjwa mnatuonyesha mitungi .
Wako tunaofahamu ndugu zetu wamefariki kwa corona ila hapa sio sehemu ya matangazo nasio jukumu letu kulisemea hilo.kwahiyo kama wewe halijakukuta shukuru ila usisemehe wengine.Corona [emoji94] DELTA Hakuna
Haiwezekani Kusowe na Hata mtu mwenye Ushuhuda kwa kweli....
na Wanaoshabikia kua ipo kiuhalisia wenyew wanajiuliza kimy kimy mbona xijafiwa na mtu zaidi ya xtor ooh Flani kafa kwa Covd
Jibu swali acha mbwembwe zako na broken english yako mkuu!!?Unauliza corona iko wapi kweli? are on your senses?
Na wewe usiwasemee wengine pia. Mimi mtaani kwangu hakuna msiba wa corona hata mmoja lakini mabwana Chanjo wako juu sana kwa matangazo yao.Wako tunaofahamu ndugu zetu wamefariki kwa corona ila hapa sio sehemu ya matangazo nasio jukumu letu kulisemea hilo.kwahiyo kama wewe halijakukuta shukuru ila usisemehe wengine.
Wewe umeshaugua corona?Narudia hujaugua wala kuuguliwa
Huyo shangazi yako ni spesheli kiasi gani mpaka asife?Ndani ya mwezi, nimepoteza Babu na Bibi (mdogo) leo asubuhi Shangazi nae kaondoka. [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Asante kwa kuja.Wewe ni m..k...u........u
Kuna daktari wa Mawenzi hospitali amefariki kwa korona jana
Sasa kama takwimu hazipo, wewe umejuaje kuna corona?unadhani hapa jamii forum ni nani mwenye takwimu za wagonjwa wote tanzania.... ... ulitakiwa ukafanye utafiti uko kwenye vyanzo rasmi vya taarifa badala ya kushupalia hakuna corona
Hivi magonjwa na vifo vimeanza kuwepo leo? watu wanateseka na maradhi huko mahospitalini toka hata corona bado na wanakufa, ndio maana nilikwambia mimi nilifiwa vifo vya kufuatana ndani ya wiki moja tu na hapo corona ilikuwa bado haipo, sasa wewe ukija hapa na hisia zako za ndugu zako huko ndio sisi tuone jambo kubwa wakati maisha yapo hivyo siku zote watu wanaangaika na wagonjwa huko mahospitalini kila siku na maisha yanaendelea hakuna taharuki yeyote.Najisikia vibaya sana mtu akibeza hivi hapa tuna misiba mibichi kabisa hatujazika na kaka yangu yuko mloganzila saa hizi hata kupumua hawezi[emoji174][emoji174] please, musifanye mzaha mnatuumiza ndugu zenu. Acheni kejeli
Hawa madalali wa chanjo ni hamnazo.Tuonyeshe wagonjwa mnatuonyesha mitungi .
Wacheni maigizo