Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
- Thread starter
- #141
Wapi hapo?Hapa nilipokaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hapo?Hapa nilipokaa
Acha kulia lia bwana mdogo, ELEZA CORONA IKO WAPI?
Nyie wafuasi wa corona sijui mmekula maharage ya wapi?
Huku mtaani mbona hakuna hizo DELTA?
AMA?
Hey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Huenda ukawa wewe wa kwanza hapo mtaani, chukua tahadhari.Hali mbaya gani?
Mbona huku mtaani hakuna hayo makitu?
Milishalijibu hilo swali ,kwa faida yako walikuwa wanakufa ,tangu dunia iumbwe idadi ya watu waliofariki inakadiriwa ni around 110 billions na idadi ya watu walio hai duniani ni around 7.7 billions....Kwahiyo kabla ya corona walikuwa wanakufa.....Please note tangu corona ianze ishaua watu takribani milioni 4 na idadi ya waliopata ni around 184m.Kwa hiyo kipindi cha nyuma watu walikua hawafariki, acha uzwazwa.
Wacha masikhara, Covid-19 ipo.Arusha na dar
OkWacha masikhara, Covid-19 ipo.
chukua tahadhari.
C19 ipo pale kunapokuwa na kamera za waandishi wa habar au kunahabar furani hv wanataka kuionesua dunia.. bt kiuhalisia kabisa hakuna c.19 inayotangazwa ila ipo Kama magonjwa mengne t ambayo tunaishi nayo..Hey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Hili nalo neno mkuuHizi ni project za siri za watu matajiri wapige pesa ..chanjo ni pesa, chanjo ni ujasusi, chanjo ni agenda za siri za utawala wa kishetani, mana unawekewa microchip zinatoa taarifa za mfumo wako wote wa mwili kwao, kwa manufaa gani, hatujui, wao ndio wanajua..
Hii lugha ya malkia hii..?Unauliza corona iko wapi kweli? are on your senses?
Ipo wapi?Wacha masikhara, Covid-19 ipo.
wanalazimisha tu corona iwepoHii lugha ya malkia hii..?
You sound like a crackheadIpo wapi?
acheni ujinga wenu
Pelekeni corona yenu huko kwa mabeberu
mnakazania corona ili mpewe misaada na mikopo na ili mkubalike na dunia
baadaye miaka kadhaa ikipita wazungu hao hao watakuja kuwaambia ilikuwa ni maigizo tu hata yale majeneza mliona tunazika yalikuwa majeneza matupu. Hapo mtabaki mnashangaa tu na ujuwaji wenu wa kwenye mitandao
kama alivyokufa Gaddafi ndivyo alivyokufa Magufuli na baada ya hapa hakuna kiongozi wa namna hiyo atakuja kutokea tena afrika zaidi ya vibaraka, waoga, na wapenda misaada na mikopo
peleka corona yako hukoYou sound like a crackhead
dawa yaYou sound like a crackhead
Ukiiugua au kuuguliwa utajua ipo wapiHey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Ukiwauliza watu wa Mwanza wanasema Mr. Delta atakua Dar Mwanza hawajamuona[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji56]Walisema lilianza kutua mwanza.[emoji3]