lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
"Ili Khali anaelewa hitaji letu kabla hatujasema"Sihitaji uvuvio wa chochote
Nahitaji majibu ya maswali yangu
Waislamu na wakristo hawaabudu mungu mmoja na ndio maana wote hao pepo zao zinapingana.
Mungu wa wakristo kaahidi kuimba na kusifu kwa wataofika peponi, wakati Allah kaahidi bikra 72 kwa wataofika peponi
Allah karuhusu wake wanne, Yehova kapiga ban hilo agizo na yeyote atayefanya hivyo basi hataiona pepo.
Mwisho kabisa mimi siabudu Mungu yeyote na wala hakuna sehemu ambayo nimeandika maneno kama hayo
It's Scars
Hili ni andiko uliloandika ukikiri uwezo wa Muumba wetu tunaye Muabudu sote ww na mm.
Mungu ni Mmoja, kwa Wakristo na Waislam hayo mengine ni Tafsiri pana zinazohitaji uvuvio wa Roho Mtakatifu vinginevyo utaambulia kuchanganyikiwa kwa kutoa tafsiri potofu .
Bikra ni kitu ambacho " HAKIJATUMIKA, KILICHOTUNZWA, KINACHOTAMANIWA"