UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Matatizo yote huwa yanatatuliwa na sayansi au kwamba maradhi yote hutibiwa na hospitali ama tiba za kisayansi?Hali halisi inajionesha kua hakuna ugonjwa ambao umefanikiwa kupata suluhu kwa njia ya maombi
Uwepo wa haya magonjwa yanayoua waumini mpaka viongozi wa dini ni ushahidi tosha kua mungu hayupo. Na dhana nzima ya dini ni uongo kama jinsi ambavyo kichwa cha mada kinavyosadifu
Wapi nimeshindanisha dini na sayansi?
Wewe kalubati kua mwelewe shirikisha ubongo
Nimekuuliza hao wanasayansi ambao wanadini wanatumia njia gani kutafuta tiba dhidi ya magonjwa?
Hao wanasayansi Wanatumia maombi na kufunga ambavyo dini zimekua zikisisitiza tufanye pale ambapo tutapopata shida ?
Wewe sidhani kama nacho kiandika unakisoma na kukielewa
It's Scars
Mfano hawa watu wenye matatizo ya mapepo(ambayo wataalamu husema ni matatizo ya magonjwa ya akili) mbona tunaona hawa watu hupona haya maradhi kwa kuombewa dua pasina kupelekwa hospitali na wanapona.
Huo mfano ambao hauna tabu kila mtu anajua ila ukija huku mitaani utakuta kuna shuhuda za watu waliyotibiwa maradhi mbalimbali kwa kutumia dua.