Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

"Ili Khali anaelewa hitaji letu kabla hatujasema"

Hili ni andiko uliloandika ukikiri uwezo wa Muumba wetu tunaye Muabudu sote ww na mm.

Mungu ni Mmoja, kwa Wakristo na Waislam hayo mengine ni Tafsiri pana zinazohitaji uvuvio wa Roho Mtakatifu vinginevyo utaambulia kuchanganyikiwa kwa kutoa tafsiri potofu .

Bikra ni kitu ambacho " HAKIJATUMIKA, KILICHOTUNZWA, KINACHOTAMANIWA"
 
Scars hawajanijibu swali langu kuhusu makafirr mpaka hivi sasa ani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu watu mnaojifanya mnatenga dini na imani ya Mungu huwa mnanishangaza kwa sababu wengi wenu humu mmekulia katika hizi hizi dini na ndipo mlipojua kuhusu Mungu,hivyo hata huyo Mungu mnaemfikiria nyie pasina dini ndiye yule mliyemjulia kutoka kwenye dini.
 
Mungu mjuzi wa yote hawezi kumjaribu binadamu kwa kumpa korona ili apime imani yake

Unaelewa kauli yako inamfanya mungu wako aonekane dhaifu kwa kutojua yatayofanyika baadae kabla hayajafanyika?

It's Scars
 
Point ni tiba ya hayo matatizo,na nimeeleza kuwa dua hutibu hayo matatizo na hatuoni wenye matatizo hayo kupelekwa hospitali.
Na nimezungumzia dua si suala la masheikh maana dua hawaombi masheikh tu.
Hujajibu swali

Kama wataalamu wanakuambia kua hayo ni matatizo ya akili na sio majini wala mapepo kwa kutumia taaluma zao na vipimo vyao vya kitafiti, wewe usiye na taaluma umejuaje kua hayo ni majini?

Pili utajuaje kua mtu ambaye anasemekana kua na majini au mapepo yametolewa kweli kwa dua na sio kwamba ni mchezo walioupanga kwa lengo la kuwaaminisha watu uongo ili waamini majini na mapepo yapo?

It's Scars
 
Mwache Mungu aitwe Mungu, na atabaki kuwa Mungu, yeye hujibu kwa wakati wake, Mungu hajaribiwi, ipo siku hizi kauli zako utazitubia mbele za Mungu
Nikikuambia muache spiderman aitwe spiderman, je hiyo itafanya spiderman awepo kihalisia?

It's Scars
 
Mungu mjuzi wa yote hawezi kumjaribu binadamu kwa kumpa korona ili apime imani yake

Unaelewa kauli yako inamfanya mungu wako aonekane dhaifu kwa kutojua yatayofanyika baadae kabla hayajafanyika?

It's Scars

Vipi kama ugonjwa umeletwa kama adhabu?
 
"Ili Khali anaelewa hitaji letu kabla hatujasema"

Hili ni andiko uliloandika ukikiri uwezo wa Muumba wetu tunaye Muabudu sote ww na mm.
Naweza kujadili chochote kile kwa namna ambavyo kimesimuliwa hadithini bila kujali uhalisia wake.

nikiandika kauli hapa inayozungumzia uwezo wa spiderman kupanda kwenye maghorofa marefu, pamoja na jitihada zake za kuzuia treni kwa nyuzi za buibui, hiyo itamaanisha kwamba spiderman is real and not fictional character?

Mungu ni Mmoja, kwa Wakristo na Waislam hayo mengine ni Tafsiri pana zinazohitaji uvuvio wa Roho Mtakatifu vinginevyo utaambulia kuchanganyikiwa kwa kutoa tafsiri potofu .

Bikra ni kitu ambacho " HAKIJATUMIKA, KILICHOTUNZWA, KINACHOTAMANIWA"
Unaweza kuthibitisha huyo huyo Mungu mmoja yupo?

It's Scars
 
Vipi kama ugonjwa umeletwa kama adhabu?
Vipi kama dhana ya "adhabu" ni silaha inayotumiwa na dini pindi majanga yanapotokea ili kuficha ukweli kwamba Mungu hayupo?

It's Scars
 
Mkuu maswali karibia yote uliyoyahoji yapo kwenye argument for non existence of God. Naona umehofu tu kuhoji kwamba hauamini uwepo was Mungu.

Mambo ya Dini ni magumu sana, magonjwa yalikuwepo tangu enzi za Yesu hadi Muhammad. Wenye imani waliombewa na wakapona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nishajibu kuwa point ni tiba kwa hayo matatizo,haijarishi hao wataalamu wa magonjwa ya akili wanaliitaje hilo tatizo au imani za majini kuhusiana na hilo tatizo.
Jambo la msingi hapa ni tiba ya hilo tatizo,kwa maana tunaona dua zikitibu hilo tatizo iwe ni tatizo la akili au majini ila dua hutumika na hutibu.

Sijui unaongea nini kijana? Mimi nina ndugu zangu kabisa wenye hayo matatizo halafu wewe unazungumzia mpango wa watu kuaminisha watu kuna majini! Na ndio maana nikakwambia nazungumzia dua kwa maana muumini yeyote anaweza kufanya na si suala la watu fulani tu ndio wanafanya hizo dua hadi tufikiri kuwa wanatuzuga.

Jaribu kuelewa sio unajibu tu ili ubishe tu.
 

Sema maswali niliyohoji yakijibiwa kiufasaha bila watu kuogopa yatahibitisha Mungu hayupo

Mambo ya dini magumu sana halafu hapo hapo unawataja muhammad na yesu ambao wamezungumziwa na dini, utajuaje kua ugumu huo sio pamoja na kuongopewa uwepo wa hao watu uliowataja?

It's Scars
 

Point sio tiba tu, bali mechanism ya huo ugonjwa ambao wewe umedai kua ni mapepo na majini bado ni paradox. Kwasababu umeingiza dhana za kufikirika ambazo ukiambiwa uthibitishe uhalisia wake kama vitu hivyo vipo kweli, huwezi.

Umesema madaktari wenye taaluma za magonjwa mbali mbali wamesema hayo ni magonjwa ya akili tu na sio mapepo kama ambavyo misikitini na makanisani mnaaminishwa.

Sasa hao waliosema kua ugonjwa huo unasababishwa na mapepo na majini,, utawaamini vipi kua wakati siyo taaluma yao?



It's Scars
 
Ulichokiandika hakina muunganiko wowote na swali langu nililokuuliza

Kivipi Uwepo wangu uwe uthibitisho kuonesha mungu yupo?

It's Scars
 
Ma pagan yamepata sababu isiyo na mashiko yakuendeleza upuuzi wao
Mpagan ni mtu ambaye ana-worship false gods

Mimi sijihusishi na imani

Kwa mara ya kwanza umeanza na kukosea

It's Scars
 

Hizi sio zama za kuamini, hizi ni zama za kujua

Imani ingekua ni njia sahihi ya kujua ukweli wa jambo basi dini ingekua moja

Au kila Miungu inayoabudiwa na dini yeyote ingekua niya kweli endapo tu watatumia imani kuabudu


It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…