Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Wanasayansi nao ni wanadini,washabiki wa michezo siasa muziki n.k
Unafikiri ni kwanini hutumia sayansi kutafuta suluhu na sio dini wakati maombi yanaponesha kama wao wanavyoamini?

It's Scars
 
Wewe Mungu umemjulia mwenzetu? Maana wengi wetu tumezalia na kukuta dini na ndiyo tumemjulia Mungu huko,je wewe hivyo umjuavyo wewe ulimjulia wapi?
Wewe kumbe hujui kua mungu yupo ila unafata mkumbo?

It's Scars
 
Hiyo maana yako wewe ya neno "dini" ni ya kijinga kupita mfano.

Kumbe huwa mnajiandikia vitu hata maana ya hicho mnachoandika hamuelewi.

"shehe" ndiyo nini?

Lazima iwe ya kijinga kwasababu inazungumzia ujinga uliopitiliza(dini)

It's Scars
 
Wapi ulipojibu maswali halafu nikarudia tena kukuuliza maswali hayo hayo?

It's Scars
 
Kwanza nashukuru kwa kuzitambua kua ni "hoja dhaifu" ajabu ni kwamba pamoja udhaifu wake zimekushinda kuzijibu.

Vipi ukiletewa zisizo dhaifu utaziweza, kama hizi dhaifu zimekushinda?

It's Scars
 
Uwepo wa dunia na vyote vilivyomo
Uwepo wa dunia na vilivyomo unathibitishaje kua yupo?

Unaelewa jibu hilo linakufanya uonekane mbahatishaji, unaweza kuthibitisha uwepo wa dunia na vilivyomo ni uwepo wa mungu?

It's Scars
 
Aisee dogo unapenda ubishi halafu uelewa mdogo.

Hebu niambie hiyo michezo anacheza nani sasa? Maana nimekwambia dua huomba muumini yeyote na si suala la watu maalumu ila umekazania watu wanacheza michezo!
Tunashuhudia watu wetu wa karibu ndugu zetu wenye hayo matatizo wakitibiwa kwa hizo dua ila wewe umeshika kisimu chako huko unatype tu kuwa ni michezo ya watu njoo huku mitaani ujionee.
 
Mbingu ni nini?

Au anga ndio unaliita mbingu?

Sasa kwa akili ya kawaida hivi unajiona mzima kweli, yani unataka anga liwe na nguzo inamaana hujui anga ni nini?

Ukosefu wa elimu ya kujua anga ni nini ndio iliyokufanya uamini mungu yupo kwasababu ulitaka kuona nguzo zimeashikilia??

Kwaiyo akili yako imetafsiri kua kutokuwepo kwa nguzo zakushikilia anga ambazo na wewe ungeziona ni muujiza wa kuonesha mungu yupo??

It's Scars
 
Thibitisha kwanza huyo mungu wa ukweli unayemkusudia wewe yupo

It's Scars
 
Uwepo wa dunia na vilivyomo unathibitishaje kua yupo?

Unaelewa jibu hilo linakufanya uonekane mbahatishaji, unaweza kuthibitisha uwepo wa dunia na vilivyomo ni uwepo wa mungu?

It's Scars
Naweza kuthibitisha pale nitakapo jua ww baba yako anaitwa Nani? Na unaaminije kuwa huyo ni baba yako?
 
Atoke shehe au padri au mchungaji aombee wagonjwa wa corona wapone tuone
Wanasubiri sayansi ivumbue ndio waje kimbelembele
 
Mekka kutolipoti kifo baada ya jitihada zao za kuhakikisha nyie hamuendi kwao kwa hofu ya kufa kwa corona, hiyo nayo ni muujiza wa mungu??

Hahaha kijana sikukuu yenu ya wajinga ni wiki ijayo nashangaa umeanza kusherekea leo

It's Scars
 
Afrika tumewekeza sana kwenye uchawi, uganga na dini! Haya basi hiyo dini ituokoe kipindi hiki kigumu!
Mkuu Mungu yupo tena yu hai, tatizo linakuja kwa waamini kuwa na imani haba. Hatuna muda wa kutosha katika kutaka kumjua bali tunaweka shida zetu mbele.

Ndio wanatokea ma opportunist wa imani kama mitume na manabii wa kisasa.

Binafsi namwamini Mungu na katika kadhia hii na nyingine yeyote, Imeandikwa, "mwenye haki ataishi kwa imani."

Hivyo hatupaswi waamini kuishi kwa hofu yeyote. Hivyo tu mkuu

Mimi ni mgeni humu, na hii ni first comment yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu ni wewe usiyemwamini mungu, acha kiburi cha uzima ndugu uhai wako kwa mungu ni Kama utando wa buibui.
Acha kumuita mwenzako mpumbavu over something stupid

Kuamini mungu muweza wa yote,.mjuzi wa yote na mwenye upendo wote katika kipindi hiki cha janga hili ni zaidi ya ujinga

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…