Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Ajabu ni kwamba hiyo maana ya imani aliyoiandika imetafsiriwa na hao hao waliopiga ban safari za kwenda makwao kwa hofu ya corona
It's Scars
Wapi ulipojibu maswali halafu nikarudia tena kukuuliza maswali hayo hayo?Nilikujibu "Poa" kwa kuwa nilikupuuza, haiwezekani unajibiwa maswali kisha unarudia kile kile ulichojibiwa, nikaona napoteza muda.
Sasa nimerudi baada ya kuona unajinadi kwamba hujajibiwa maswali yako. Huku ni kujidanganya kwa wazi kabisa.
Sasa vipi nikawaulize "Masheikh" wakati jambo dogo sana hilo na nimeshalimaliza, kufanya hivyo nikuwakosea adabu "Masheikh".
Sababu umeona UONGO ni sifa yenye kupendeza. Nasema hivi : "KAMA KUNA SWALI HATA MOJA SIJAJIBU ONYESHA, UKIONYESHA SWALI HILO, NAACHA KUTUKIA HII ID". Hatulei wajinga na watu WAONGO.
Onyesha swali ambalo sijakujibu.
Kwanza nashukuru kwa kuzitambua kua ni "hoja dhaifu" ajabu ni kwamba pamoja udhaifu wake zimekushinda kuzijibu.Nani katangaza hizo zama? Kwa ufahamu wako finyu unadhani hizi hoja dhaifu zimeanza na wewe mwenye uelewa MKUBWA!? Do yourself a favour, nenda kasome hisstoria kwanza usijejiona una hekima kuliko waliotangulia. Hoja zako ni dhaifu mno na hazifikirishi. Ndii maana sihangaiki hata kujibu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Aisee dogo unapenda ubishi halafu uelewa mdogo.Humakiniki na nicho kiandika ndo maana unaoata wenge
Hapo kwenye sheikh au mchungaji unaweza kuweka mtu yeyote yule na bado kauli yangu ikawa imelenga pale pale nilipopakusudia
Kuondoka kwa hilo tatizo hapa ndipo tatizo liliko
Unajuaje kua tatizo hilo limeondolewa kwa dua/maombi na sio kwamba ni drama tu imechezwa ili kukuteka kiakili uamini majini na mapepo ni vitu vya uhalisia?
It's Scars
Utaamini vp kitu usichokijua?
Mbingu ni nini?Daah umeeandika mauza uza matupu ni lini ulisikia mashekhe wakisema wanaponya maradhi na kuponyesha vilema na kufukua misukule?...jiangalie weeh jamaa hujielewi unataka uamini nini kama Mungu yupo ilhali unaishi dunia yenye mbingu haina nguzo?unataka ishara gani ya uwepo wa mungu?au nani kakuambia ukitoa sadaka basi utaishi bila tatizo?Sasa mungu ndo anaonyesha ukubwa wake bila kubagua kwa haya maradhi utoe sadaka usitoe ushinde kwny ibada uwe tajiri yeye ndo keshafanya yake
Thibitisha kwanza huyo mungu wa ukweli unayemkusudia wewe yupoNimependezewa na Hojaji zako za Kuonesha kuwa Mungu unayemjuwa wewe si wa kweli na hayupo.
Ila Ujuwe kuwa Mungu wa Uislamu Yupo na hashindwi na jambo lolote.
Lakini pia ujuwe hili janga limesababishwa na Maasia yetu wanadamu ,na ndo maana yeye Mungu analeta kama angalizo la kutuzindua ili tukumbuke kuwa sisi ni waumbwa(viumbe)
Ikiwa Kiumbe MinuteAsiyeonekana kwa macho ( Corona virus ) ameweza kusimamisha shughuli zote duniani na kutuletea taharuki, na binadamu tayari kashashindwa na la kufanya, Vipi Hasira za Muumba Mwenyewe?
Unadhani tunaweza sisi kuishi kwa masharti hayo yaliyowekwa na watu wa afya kwa siku zote ?
Ikiwa hatutatakiwi kukusanyika,kugusana,na kutoka nje ovyo unadhani huyu mdudu akiendelea kuwepo kwa mwaka mmoja,kuna maisha kweli tena hapa duniani?
Ikiwa Muungu Kaamua kutupa Adabu kwa kumkosea ,na kwa hakika sisis wote ni wakosefu sana mbele zake, utashindaje bila ya kuungama na kuomba msaada wake?
Uislamu unatufunza
Quran Tukufu sura ya pili Mstari wa 155 [Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri ]
Naweza kuthibitisha pale nitakapo jua ww baba yako anaitwa Nani? Na unaaminije kuwa huyo ni baba yako?Uwepo wa dunia na vilivyomo unathibitishaje kua yupo?
Unaelewa jibu hilo linakufanya uonekane mbahatishaji, unaweza kuthibitisha uwepo wa dunia na vilivyomo ni uwepo wa mungu?
It's Scars
Atoke shehe au padri au mchungaji aombee wagonjwa wa corona wapone tuoneHuku mtaani kwenye ibada ya leo unaambiwa ukifika mlangoni unaulizwa mara mbili "ulinawa na sabuni unavyotoka kwako" ukisema ndio wanakupa sabuni unawe ndio uanze misa
Halafu mwisho wa ibada mhasibu wa kanisa alivalia gloves anapoenda kuchukua sadaka ili akazihesabu
It's Scars
Hebu pitia table hiyo hapo chini uone nchi zilizo athirika zaidi duniani.
Utajifunza kitu hapo.
Saudi arabia hakuna kifo kilichoripotiwa hata kimoja.
Lakini Vatikan ndo inaongoza kwa vifo.
Huu ni mpango wake Mumba ,si ujanja wala elimu.
Hata china ,tayari hali ime anza kubadilika,lakini zuio la kutoka nje bado liko pale plae.
Mungu anataka Kuonesha uwezo wake ili watu watubu na Kuacha uovu wao.
Confirmed Cases and Deaths by Country, Territory, or Conveyance
The coronavirus COVID-19 is affecting 188 countries and territories around the world and 1 international conveyance (the Diamond Princess cruise ship harbored in Yokohama, Japan). The day is reset after midnight GMT+0.
Report coronavirus cases
Search:
Highlighted in green
Country,
OtherTotal
CasesNew
CasesTotal
DeathsNew
DeathsTotal
RecoveredActive
CasesSerious,
CriticalTot Cases/
1M popChina 81,054 +46 3,261 +6 72,440 5,353 1,845 56 Italy 53,578 4,825 6,072 42,681 2,857 886 Spain 28,572 +3,076 1,725 +344 2,125 24,722 1,785 611 USA 26,905 +2,698 348 +46 178 26,379 708 81 Germany 23,129 +765 93 +9 209 22,827 2 276 Iran 21,638 +1,028 1,685 +129 7,635 12,318 258 France 14,459 562 1,587 12,310 1,525 222 S. Korea 8,897 +98 104 +2 2,909 5,884 59 174 Switzerland 7,225 +362 80 131 7,014 141 835 UK 5,018 240 +7 93 4,685 20 74 Netherlands 3,631 136 2 3,493 354 212 Belgium 3,401 +586 75 +8 263 3,063 288 293 Austria 3,026 +34 9 +1 9 3,008 15 336 Norway 2,244 +80 7 6 2,231 28 414 Sweden 1,770 21 +1 16 1,733 68 175 Portugal 1,600 +320 14 +2 5 1,581 26 157 Denmark 1,395 +69 13 1 1,381 42 241 Canada 1,331 +3 20 +1 14 1,297 1 35 Malaysia 1,306 +123 10 +2 114 1,182 26 40 Australia 1,286 +214 7 46 1,233 2 50 Brazil 1,201 +23 18 2 1,181 18 6 Japan 1,054 36 215 803 55 8 Czechia 1,047 +52 6 1,041 7 98 Turkey 947 21 926 11 Israel 945 +62 1 37 907 20 109 Luxembourg 798 +128 8 6 784 3 1,275 Ireland 785 3 5 777 13 159 Pakistan 730 +85 3 13 714 3 Diamond Princess 712 8 567 137 15 Finland 626 +103 1 10 615 2 113 Thailand 599 +188 1 44 554 7 9 Iceland 568 +95 1 5 562 1 1,665 Poland 563 +27 7 +2 13 543 3 15 Chile 537 1 8 528 7 28 Ecuador 532 7 3 522 2 30 Greece 530 13 19 498 18 51 Indonesia 514 +64 48 +10 29 437 2 Qatar 481 27 454 6 167 Romania 433 +66 2 +2 64 367 14 23 Singapore 432 2 140 290 14 74 Saudi Arabia 392 16 376 11 Slovenia 383 1 382 12 184 Philippines 380 +73 25 +6 15 340 1 3 India 360 +28 7 +2 24 329 0.3 Bahrain 332 +22 1 149 182 4 195 Estonia 326 +20 4 322 2 246 Peru 318 5 1 312 5 10 Russia 306 1 16 289 2 Egypt 294 10 42 242 3 Hong Kong 274 4 100 170 4 37 Mexico 251 +48 2 4 245 1 2 Lebanon 248 +18 4 8 236 4 36 Panama 245 3 1 241 7 57 South Africa 240 2 238 4 Croatia 235 +29 1 5 229 5 57 Iraq 233 +19 20 +3 57 156 6 Argentina 225 +67 4 27 194 5 Colombia 210 +14 1 +1 3 206 4 Armenia 190 +30 2 188 2 64 Serbia 188 +17 1 2 185 4 22 Kuwait 188 +12 27 161 5 44 Slovakia 178 7 171 2 33 San Marino 175 +15 20 4 151 13 5,158 Bulgaria 174 +11 3 3 168 3 25 Taiwan 169 +16 2 28 139 7 UAE 153 2 38 113 2 15 Algeria 139 15 65 59 3 Latvia 139 +15 1 138 74 Uruguay 135 +25 135 2 39 Hungary 131 +28 6 +2 16 109 6 14 Costa Rica 117 2 2 113 2 23 North Macedonia 114 +29 1 113 1 55 Dominican Republic 112 3 109 10 Morocco 108 +12 3 3 102 1 3 Lithuania 105 +6 1 1 103 1 39 Jordan 100 1 99 10 Vietnam 99 +5 17 82 2 1 Bosnia and Herzegovina 93 1 2 90 1 28 Faeroe Islands 92 3 89 1,883 Albania 89 +13 2 2 85 2 31 Andorra 88 1 +1 1 86 2 1,139 Cyprus 84 1 3 80 3 70 Brunei 83 1 82 2 190 Sri Lanka 82 +5 3 79 2 4 Moldova 80 1 1 78 3 20 Belarus 76 15 61 8 Tunisia 75 +15 3 +2 1 71 7 6 Malta 73 2 71 1 165 Venezuela 70 15 55 2 2 New Zealand 66 +14 66 14 Burkina Faso 64 3 5 56 3 Palestine 59 +6 17 42 12 Guadeloupe 56 1 55 4 140 Senegal 56 5 51 3 Oman 55 +3 13 42 11 Georgia 54 +5 1 53 1 14 Kazakhstan 54 54 3 Azerbaijan 53 1 11 41 5 Cambodia 53 2 51 3 Trinidad and Tobago 49 49 35 Ukraine 47 3 1 43 1 Réunion 47 47 52 Uzbekistan 42 +1 42 1 Cameroon 40 2 38 2 Martinique 37 1 36 7 99 Liechtenstein 37 37 970 Afghanistan 34 +10 1 33 0.9 Channel Islands 32 32 184 Bangladesh 27 +3 2 3 22 0.2 Guam 27 +12 1 +1 26 160 Nigeria 26 +4 1 25 0.1 Honduras 26 +2 26 3 DRC 23 1 22 0.3 Puerto Rico 23 +2 1 22 8 Paraguay 22 1 21 1 3 Cuba 21 1 20 2 Ghana 21 1 20 0.7 Macao 20 +1 10 10 31 Jamaica 19 1 2 16 6 Bolivia 19 19 2 Guyana 18 1 17 23 Mauritius 18 +4 1 17 14 Monaco 18 1 17 459 French Guiana 18 18 60 Guatemala 17 1 16 0.9 Rwanda 17 17 1 Montenegro 16 16 25 Togo 16 16 2 French Polynesia 15 15 53 Barbados 14 14 49 Ivory Coast 14 1 13 0.5 Kyrgyzstan 14 14 2 Maldives 13 3 10 24 Tanzania 12 +6 12 0.2 Ethiopia 11 +2 11 0.10 Mayotte 11 11 40 Gibraltar 10 2 8 297 Mongolia 10 10 3 Aruba 8 +3 1 7 75 Kenya 7 7 0.1 Seychelles 7 7 71 Equatorial Guinea 6 6 4 U.S. Virgin Islands 6 6 57 Gabon 5 1 4 2 Isle of Man 5 +3 5 59 Saint Martin 5 5 129 Suriname 5 5 9 Bahamas 4 4 10 New Caledonia 4 4 14 Eswatini 4 +3 4 3 Cayman Islands 3 1 2 46 Curaçao 3 1 2 18 Cabo Verde 3 3 5 CAR 3 3 0.6 Congo 3 3 0.5 El Salvador 3 3 0.5 Liberia 3 3 0.6 Madagascar 3 3 0.1 Namibia 3 3 1 St. Barth 3 3 304 Zimbabwe 3 3 0.2 Sudan 2 1 1 0.05 Angola 2 2 0.06 Benin 2 2 0.2 Bermuda 2 2 32 Bhutan 2 2 3 Fiji 2 2 2 Greenland 2 2 35 Guinea 2 2 0.2 Haiti 2 2 0.2 Mauritania 2 2 0.4 Nicaragua 2 2 0.3 Saint Lucia 2 2 11 Zambia 2 2 0.1 Nepal 1 1 0 0.03 Antigua and Barbuda 1 1 10 Chad 1 1 0.06 Djibouti 1 1 1 Eritrea 1 1 0.3 Gambia 1 1 0.4 Vatican City 1 1 1,248 Montserrat 1 1 200 Niger 1 1 0.04 Papua New Guinea 1 1 0.1 St. Vincent Grenadines 1 1 9 Sint Maarten 1 1 23 Somalia 1 1 0.06 Timor-Leste 1 1 0.8 Uganda 1 1 0.02 Total: 316,061 11,071 13,597 590 95,892 206,572 10,126 40.5
= all cases have recovered from the infection
Highlighted in grey
= all cases have had an outcome (there are no active cases)
The "New" columns for China display the previous day changes (as China reports after the day is over). For all other countries, the "New" columns display the changes for the current day while still in progress.
Mkuu Mungu yupo tena yu hai, tatizo linakuja kwa waamini kuwa na imani haba. Hatuna muda wa kutosha katika kutaka kumjua bali tunaweka shida zetu mbele.Afrika tumewekeza sana kwenye uchawi, uganga na dini! Haya basi hiyo dini ituokoe kipindi hiki kigumu!
Mkuu Mungu yupo tena yu hai, tatizo linakuja kwa waamini kuwa na imani haba. Hatuna muda wa kutosha katika kutaka kumjua bali tunaweka shida zetu mbele.Afrika tumewekeza sana kwenye uchawi, uganga na dini! Haya basi hiyo dini ituokoe kipindi hiki kigumu!
Acha kumuita mwenzako mpumbavu over something stupidMpumbavu ni wewe usiyemwamini mungu, acha kiburi cha uzima ndugu uhai wako kwa mungu ni Kama utando wa buibui.