Corona imekuja kuumbua uongo wa dini


Huyo baba yangu anakua ni mwenye upendo wote na uwezo wote mpaka aninyime?

It's Scars
 
Thibitisha mungu wa kweli yupo

It's Scars
 
Mekka kutolipoti kifo baada ya jitihada zao za kuhakikisha nyie hamuendi kwao kwa hofu ya kufa kwa corona, hiyo nayo ni muujiza wa mungu??

Hahaha kijana sikukuu yenu ya wajinga ni wiki ijayo nashangaa umeanza kusherekea leo

It's Scars
Uislamu ndio uliotufunza kuwa panapoptokea janga la maradhi ya kuambukiza, pawkwe karantini.
Walichofanya Kule Mecca ndio mafunzo ya Mungu wetu.
Wasiingie watu wala waliomo wasitoke pale panapotokea mlipuko wa magonjwa.
Nadhani hata Pope alivyozuia wageni wasiingie pale Rome yawezekana naye alilijuwa fundisho hilo.
Mungu ndo huamua nani apatwe na lile janga na nai apone endapo kalileta kwenye mji fulani.
Na haleti janga lile ila huwa na dhamira maalumu ya Kumungu, mara nyingi huwa ni adabu kwa makosa ya wanadamu.
Hutuonya ili tuombe msamaha.
 
Swali nikuulize wewe, huyo mungu ambaye waumini wake wanaua watu katoka wapi? Kila kitu mungu mungu hahaha, fkn waste of time
Wewe chizi kama machizi wengine,umekuja na hoja ya kichiz na nimekuonesha uchizi wa hoja yako. Unaanza kuniuliza habari za Mungu.

Et watu wanaamini dini kwa sababu ya kutishwa na moto wakati kuna watu hawana hofu na huo moto na ndiyo maana wanauwa wenzao na bado ni waumini wa dini na wanaamini Mungu,sasa sijui we chizi unaongea nini?

Wewe huna hoja huwa unabwabwaja tu,katafute sababu nyengine hiyo imekosa uhalisia.
 

Wachungaji na masheikh wote na wale wana dini wote ambao wamekua wakijinadi kua wananguvu ya mungu ya hurumu yenye kuponya watu katika kila ugonjwa.

Huu ndio ulikua mda wao ku-shine

It's Scars
 
Thibitisha kwanza huyo mungu wa ukweli unayemkusudia wewe yupo

It's Scars
ha ha ha
Uwepo wako mimina wewe
Ulianza Miaka fulani huko nyuma.
Kabla ya hapo hatukuwepo.
Na miaka michache ijayo kama si masiku tutatoweka,
Jee hili Tukio la wewe kuondoka duniani una hiari nalo?
Au kuletwa duniani ulichagua?
Hata huo ujuzi wako wa kutumia hii PC au simu ,wengi hawakupewa ,na wengine wamekuypita kwa uelewa kuliko ulivyo.
Si ajabu ukiugua kidogo tuu unaanza kuwaza mauti asije kukuvamia,unakimbilia kwa daktari,
na kwa hakika utakufa kwa namna usiyoijuwa wala kubashiri,
Bali Mungu alisha kutangulia kwa ujuzi wa hilo
 
Wachungaji na masheikh wote na wale wana dini wote ambao wamekua wakijinadi kua wananguvu ya mungu ya hurumu yenye kuponya watu katika kila ugonjwa.

Huu ndio ulikua mda wao ku-shine

It's Scars
Ukizungumzia wana dini basi hata wanasayansi pia nao ni wanadini,ni kama vile mfanyabiashara kuwa mwanadini,viongozi wa serikali wanadini n.k sasa sijui unakwama wapi?
 

Kwanza mimi sio dogo naona unakisia kama ulivyokisia kua kuna mungu, bahati nzuri shabaha yako imeenda tofauti na uhalisia kama ukivyo kisia kua kuna mungu


Swala la mungu kuathiri maisha ya watu hilo halithibitishi chochote kua mungu yupo, bali linathibitisha watu wajinga ni wengi katika jamii wasioweza kupembua mambo kwa fact.

Filamu ya god must be crazy ilionyesha ni kwa namna gani jamii ya bushmna iliathirika na ujinga kwa kudhania chupa iliyoangushwa kutoka juu ya ndege ilitoka kwa mungu

Kwaiyo nini kinachokufanya ujjihisi kua jamii inayoathiriwa na mungu siyo jamii ile ile kama ya bushman iliyokua inaathiliwa kwasababu ya ujinga?

Kama habari za spiderman zimebuniwa kwenye movie hilo linathibitisha kua spiderman hayupo kihalisia, vipi habari za mungu zilizobuniwa kwenye vitabu huoni nazo zinathibitiaha kua mungu ni wakufikirika tu kama spiderman??

Wanapinga uwepo wa mungu, kwani kuna siku uliwahi kuwathibitishia uwepo wa mungu?

It's Scars
 
Ooh. Upo sahihi kabisa, hakuna Mungu...

Ma shaa Allah, ushaanza nusu ya shahada ya Kiislam.

Tatizo nini? Malizia tu kabisa.

Na allah naye hayupo

Mpaka hapo tuko pamoja siyo?

It's Scars
 
Kuna watu wauaji wanaua watu na ndiyo dhambi kubwa kwenye dini ila bado ni muumini wa dini na anaamini Mungu,sasa huyo mtu utasema anaamini dini kwa sababu katishwa atachomwa moto?

Hoja zengine za kuchekesha kweli.

Kuwepo kwa watu ndani ya makundi ya imani ambao ndio waumini wenye kutenda maovu ,hakudhihirishi tu kuwa dini zinawalakini

Pia ni uthibitisho tosha kuwa dini ni kitu hatari kinachoweza kuficha uovu kwa visingizio vya kiimani

Hivyo dini licha ya kuwa ni kitu chenye walakini pia ni kichaka hatari kwa werevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DINI NI MAGHUSHI TU YA WATU WACHACHE WAWATAWALE WATU WENGI.
 
Mungu hafanyi kazi kwa namna unavyowaza wewe. Wala si kwa namna ya kina Gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Michezo anacheza nani?

Kwani hiyo dua anaeifanya ni nani dhidi ya nani?

Nimekikuambia mimi nimeshuhudia spoderman akipita kwenye maghorofa ya huku kitaa utakubali kwasababu nimekuambia mimi nilishuhudia??

Ni mara ngapi umesikia watu wakipotosha umma makanisani kwa kujifanya wanaponya mapepo halafu mwisho wa siku wakaumbuka??

Mimi nimemskia jamaa mmoja anaitwa mwaipopo ambaye alikua mchungaji ila kwa sasa ameslimu kawa muislamu. Mwaipopo amekua akihadithia uongo aliokua akiufanya pindi ambapo yuko ukristo akijidai kutoa mapepo kumbe ni drama.

Kwanini unafikiri si rahisi kwa uislamu kufanya drama kama hiyo kwa kivuli cha dua?

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…