Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona sasa huyo mtu unayesema nimemtukana? Jamaa huwa ana maneno mabovu sana na ni muda mrefu sana amekuwa akiongea mbovu kuhusu sie waamini Mungu hata hapo umeona alivyobwatuka,hawezagi kujadili kistaarabu.Naona unamtetea Mungu kwa matusi [emoji23][emoji23]
. Mkuu utaenda motoni taratibu [emoji23][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulirudia kile nilicho kujibu.
Jambo dogo katika maisha, elezea kwann unaamini baba uliye naye ndiyo baba yako LIMEKUSHINDA umebaki una DUWAA Kama panya aliyezingirwa.
Halafu unajitutumua kujadili jambo kubwa linalohitaji fikra na ufahamu usio na kipimo
Ukweli.Mimi kama muislamu najibu kwa mujibu wa uislamu , kwanza tambua kwakuwa unamuabudu M/mungu haina maana hautapata misukosuko hata manabii walipata shida ,wapo ambao waliouawa na binaadamu kwa ajili ya dini , Allah anasema kwenye Quran na tutawajaribu yaani tutawapa mitihani inayotokana na khofu ,njaa ,kupungukiwa mali ,vifo , ila wape bishara njema wale watakaosubiri na kutokufuru Mungu kwa magumu wanayopitia watu ambao watakiri kuwa wameumbwa na Mungu ,na kwa Mungu ndio marejeo yao....
Pili mzee mabalaa mengine yanakuwa ni hasira ya Muumba kutokana mabaya tunayofanya ,labda kukisiri kwa ushoga ,labda serikali zinajiona Miungu watu ,kusiri mauaji ya halaiki na Hapa Muumba anasema akileta balaa lake hatachagua wanaoumubudu na wasiomuabudu wote atawachapa kupembua atafanya baada kufufuliwa
Tatu haya majanga yalitokea au yalitabirirwa kuwa kuna wakati yatatokea mfano Mtume Muhammad alisema "Inapotokea magonjwa kama haya ya maambukizi mfano wa tauni basi watu wa sehemu usika ilioathirika wasitoke ilo eneo mpaka ugonjwa uishe na wale walio nje ya eneo wasiende mpaka ugonjwa uishe the same scenario na hii self isolation ,Swadaqa Rasuulu Llah
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliamini uko serious kwa kile unachomaanisha.
kwa mujibu wa uislamu huyo mwenyezi mungu ni muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote au ni mungu aliye kinyume na hizo sifa?Mimi kama muislamu najibu kwa mujibu wa uislamu , kwanza tambua kwakuwa unamuabudu M/mungu haina maana hautapata misukosuko hata manabii walipata shida ,wapo ambao waliouawa na binaadamu kwa ajili ya dini
Allah anasema kwenye Quran na tutawajaribu yaani tutawapa mitihani inayotokana na khofu ,njaa ,kupungukiwa mali ,vifo , ila wape bishara njema wale watakaosubiri na kutokufuru Mungu kwa magumu wanayopitia watu ambao watakiri kuwa wameumbwa na Mungu ,na kwa Mungu ndio marejeo yao....
Mungu mjuzi wa yote, upendo wote na muweza wa yote hatakiwi kua na sifa ya hasiraPili mzee mabalaa mengine yanakuwa ni hasira ya Muumba kutokana mabaya tunayofanya ,labda kukisiri kwa ushoga ,labda serikali zinajiona Miungu watu ,kusiri mauaji ya halaiki na Hapa Muumba anasema akileta balaa lake hatachagua wanaoumubudu na wasiomuabudu wote atawachapa kupembua atafanya baada kufufuliwa
Tatu haya majanga yalitokea au yalitabirirwa kuwa kuna wakati yatatokea mfano Mtume Muhammad alisema "Inapotokea magonjwa kama haya ya maambukizi mfano wa tauni basi watu wa sehemu usika ilioathirika wasitoke ilo eneo mpaka ugonjwa uishe na wale walio nje ya eneo wasiende mpaka ugonjwa uishe the same scenario na hii self isolation ,Swadaqa Rasuulu Llah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu habari za spiderman inajulikana kabisa ni kitu kilichobuniwa kwa ajiri ya movie,hakuna hata mtu aliyewahi kudai uwepo wa spiderman nje ya masimulizi ya movie. Lakini habari za madai ya uwepo wa Mungu zipo kwenye maisha halisi wanayoishi watu na zimeathiri maisha ya watu hivyo huwezi kufananisha na movie za spiderman.
Suala la kwamba kuwa kweli Mungu yupo au hayupo ni jambo lenye kujadaliwa hadi sasa.
Sio kawaida yangu kabisa kuamisha magoli,nimekuuliza swali hilo likuwa ndani ya tunachojadili. Nimekwambia mwanasayansi kuwa na dini ni sawa tu na mfanyabiashara kuwa na dini au mkulima kuwa na dini,kila mmoja hapo ana shughuli yake. Sasa wewe unahoji tu kwanini huyo mwanasayansi(mwanadini) asitumie dua badala ya sayansi katika kutatua matatizo mbalimbali? Ndiyo nakuuliza mbona auhoji hivyo kwa mkulima kwamba aache kulima na kuomba dua tu? Au kwa mfanyabiashara?
Swadakta kabisaHapa naona unaelekea kwenye hoja nyingine fikirishi zaidi. Haya enhe Scars hakuchagua kuwa hivyo alivyo. Hivyo unamaanisha kwa neema ya Mungu scars kapendelewa kwa kuumbwa sio chizi wala sio mwanamke malaya. Lakini hapa duniani kuna machizi na wanawake malaya wengi sana hivyo nao pia hawakuchagua wawe hivyo kama ilivyo kwa scars. Kwa hii nadharia yako inaonesha wazi kuwa
1. Mungu ana upendeleo kwenye uumbaji
2. Anawaonea watu kwenye adhabu ya moto kwasababu yeye Mungu kumbe ndiye anayepanga wawe hivyo walivyo hakuna mtu anayeweza kuchagua awe vile alivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwanini uwe na uhuru katika jambo ambalo halipo?Sijamwita chizi kwa sababu sababu ya Mungu,mbona wewe hauamini Mungu na sijakwita chizi? Mara zote sie tunaoamini Mungu huwa tunaitwa machizi na majina ya kila aina kisa tu tunaamini Mungu na huyo jamaa ni mmoja wenye kuongea maneno mabovu kwa sie wenye kuamini Mungu na hujiona ana akili sana kisa tu haamini Mungu.
Sasa nashangaa kaja na sababu ya kichizi kueleza et kwanini watu wanaamini Mungu,mtu mwenye akili timamu hawezi kuja na sababu kama hiyo aliyokuja kutueleza hapa.
Wewe ndio hauna uhuru wa kuthibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu,na kwa sababu umeambiwa kisichokuwepo hakithibitishiki.