Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Hata baada ya yote haya bado waumini wapo pale pale na wanazidi kuongezeka kwenye hayo makanisa
Hapo ni sawa na kusema hata baada ya elimu kuwepo lakini bado wajinga wanaendelea kuongezeka

It's Scars
 
  • Thanks
Reactions: rbt
Naona unamtetea Mungu kwa matusi [emoji23][emoji23]
. Mkuu utaenda motoni taratibu [emoji23][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona sasa huyo mtu unayesema nimemtukana? Jamaa huwa ana maneno mabovu sana na ni muda mrefu sana amekuwa akiongea mbovu kuhusu sie waamini Mungu hata hapo umeona alivyobwatuka,hawezagi kujadili kistaarabu.

Tunaoamini Mungu anatuita mafukara kisa tunaamini Mungu,mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu yeye kablock kabisa.
 
Jambo dogo katika maisha, elezea kwann unaamini baba uliye naye ndiyo baba yako LIMEKUSHINDA umebaki una DUWAA Kama panya aliyezingirwa.

Halafu unajitutumua kujadili jambo kubwa linalohitaji fikra na ufahamu usio na kipimo

Nimekuambia tumia roho mtakatifu kujua hilo

Inamaana naye roho mtakatifu kashindwa?

It's Scars
 
Mimi kama muislamu najibu kwa mujibu wa uislamu , kwanza tambua kwakuwa unamuabudu M/mungu haina maana hautapata misukosuko hata manabii walipata shida ,wapo ambao waliouawa na binaadamu kwa ajili ya dini , Allah anasema kwenye Quran na tutawajaribu yaani tutawapa mitihani inayotokana na khofu ,njaa ,kupungukiwa mali ,vifo , ila wape bishara njema wale watakaosubiri na kutokufuru Mungu kwa magumu wanayopitia watu ambao watakiri kuwa wameumbwa na Mungu ,na kwa Mungu ndio marejeo yao....

Pili mzee mabalaa mengine yanakuwa ni hasira ya Muumba kutokana mabaya tunayofanya ,labda kukisiri kwa ushoga ,labda serikali zinajiona Miungu watu ,kusiri mauaji ya halaiki na Hapa Muumba anasema akileta balaa lake hatachagua wanaoumubudu na wasiomuabudu wote atawachapa kupembua atafanya baada kufufuliwa

Tatu haya majanga yalitokea au yalitabirirwa kuwa kuna wakati yatatokea mfano Mtume Muhammad alisema "Inapotokea magonjwa kama haya ya maambukizi mfano wa tauni basi watu wa sehemu usika ilioathirika wasitoke ilo eneo mpaka ugonjwa uishe na wale walio nje ya eneo wasiende mpaka ugonjwa uishe the same scenario na hii self isolation ,Swadaqa Rasuulu Llah

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Mtume hakuwahi sema uongo.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Yeye ni swadiqul amin~mkweli na muaminifu.
Ukweli.
Ukweli.
Ukweli.
Mpinga dini hawezi kukuamini.
 
Kati ya utumwa mwanadam tuliopata ni utumwa wa Religion...
 
Nimekuambia tumia roho mtakatifu kujua hilo

Inamaana naye roho mtakatifu kashindwa?

It's Scars
Niliamini uko serious kwa kile unachomaanisha.

Lkn nimegundua uko kwenye masikhara zaidi .

Kila binadamu ana baba na mama yake yaani amezaliwa kwa muunganiko wa wazazi wawili.

Dunia imeenda mbele zaidi upo uzazi wa maabara pia.

Sasa kwako imekuwa vigumu kuuthibitishia umma ww mzazi wako wa kiume unathibitishaje kuwa ndiyo baba yako .

Kwako imekuwa tabu na jibu lako muulize Roho Mtakatifu.
 
Mimi kama muislamu najibu kwa mujibu wa uislamu , kwanza tambua kwakuwa unamuabudu M/mungu haina maana hautapata misukosuko hata manabii walipata shida ,wapo ambao waliouawa na binaadamu kwa ajili ya dini
kwa mujibu wa uislamu huyo mwenyezi mungu ni muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote au ni mungu aliye kinyume na hizo sifa?

Kama kwa mujibunwa uislam huyo mungu anahizo sifa, huono kuwepo kwa misukosuko na mabalaa katika ulimwengu kunaonesha kua uwepo wa huyo mungu ni hadithi ya kufikirika?

Allah anasema kwenye Quran na tutawajaribu yaani tutawapa mitihani inayotokana na khofu ,njaa ,kupungukiwa mali ,vifo , ila wape bishara njema wale watakaosubiri na kutokufuru Mungu kwa magumu wanayopitia watu ambao watakiri kuwa wameumbwa na Mungu ,na kwa Mungu ndio marejeo yao....

"Allah amesema kwenye kuran"

Unahakika gani kua ni kweli allah amesema kwenye kuran na sio kwamba ni hekaya za kiarabu ili kupotosha watu?

Pili mzee mabalaa mengine yanakuwa ni hasira ya Muumba kutokana mabaya tunayofanya ,labda kukisiri kwa ushoga ,labda serikali zinajiona Miungu watu ,kusiri mauaji ya halaiki na Hapa Muumba anasema akileta balaa lake hatachagua wanaoumubudu na wasiomuabudu wote atawachapa kupembua atafanya baada kufufuliwa
Mungu mjuzi wa yote, upendo wote na muweza wa yote hatakiwi kua na sifa ya hasira

Kama yeye ndiye muasisi wa kila kitu na hakuna jambo linalofanyika kwa bahati mbaya ambalo likawa geni mbele zake, kwanini akasirike ilihali alishaona kabla?

Kama hakuna kinachoweza kufanyika bila yeye kukiruhusu, hiyo si inamaana kua kila jambo linalotendeka nikwa mapenzi yake? Maana asingetaka litendeke asingeliruhusu jambo hilo kwasababu uwezo huo alikua nao

Na pia kama kuna vitu vinatendeka bila yeye kuviruhusu au kujua, hiyo itathibitisha mungu si mjuzi wa yote wala sio controller wa huu ulimwengu

Tatu haya majanga yalitokea au yalitabirirwa kuwa kuna wakati yatatokea mfano Mtume Muhammad alisema "Inapotokea magonjwa kama haya ya maambukizi mfano wa tauni basi watu wa sehemu usika ilioathirika wasitoke ilo eneo mpaka ugonjwa uishe na wale walio nje ya eneo wasiende mpaka ugonjwa uishe the same scenario na hii self isolation ,Swadaqa Rasuulu Llah

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama majanga yalishatabiliwa na yametokea kwa namna ambayo wao waliona kwanini mungu akasirike?

Na kwanini alipoweza kuyaona kua yatatokea kabla hayajatokea hakuyazuia kama kweli hapendezewi na haya majanga?



It's Scars
 
Haya mtatizo ya mapepo au magonjwa ya akili ambayo tunayazungumzia hapa.
Unamkataa spiderman kua hayupo kihalisia halafu unayakubali mapepo?

Kwanini matatizo ya akili yausishwe na mapepo wakati tayali ishajulikana kua ni matatizo ya akili?

It's Scars
 
Kwa sababu habari za spiderman inajulikana kabisa ni kitu kilichobuniwa kwa ajiri ya movie,hakuna hata mtu aliyewahi kudai uwepo wa spiderman nje ya masimulizi ya movie. Lakini habari za madai ya uwepo wa Mungu zipo kwenye maisha halisi wanayoishi watu na zimeathiri maisha ya watu hivyo huwezi kufananisha na movie za spiderman.

Suala la kwamba kuwa kweli Mungu yupo au hayupo ni jambo lenye kujadaliwa hadi sasa.

Unajuaje kua dhana ya mungu sio kitu kilichobuniwa kwa ajili ya dini kutawala watu, huoni kwamba hakuna utofauti na spiderman ambaye amebuniwa kwa ajili ya ku entertaining watu?

Watu kuathirika na dhana ya mungu hakuthibitishi mungu yupo, kunathibitisha wajinga katika jamii bado wapo

Corona imetua watu wanakufa kizembe kwasabu ya ujinga walio athirika kupitia dhana ya mungu kuamini kua maombi ndio msaada wa kweli utaowaepusha na janga hilo

Athari ya dhana ya mungu katika jamii ni kubwa, watu wanajiua kwa kujitoa muhanga kwa ujinga walioathirika nao kuamini ukijitoa mhanga utakua rewarded ukifika peponi

Athari za mungu katika kijamii kiujumla ni athari za ujinga





It's Scars
 
Mungu hahojiwi kwa maswali kama hayo,wala Mungu hajibu kwa matakwa ya binadamu,na kumbuka dunia imezidi maovu,haya yote yanayotokea hayana budi kutokea,yalitabiriwa katika vitabu vya unabii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kawaida yangu kabisa kuamisha magoli,nimekuuliza swali hilo likuwa ndani ya tunachojadili. Nimekwambia mwanasayansi kuwa na dini ni sawa tu na mfanyabiashara kuwa na dini au mkulima kuwa na dini,kila mmoja hapo ana shughuli yake. Sasa wewe unahoji tu kwanini huyo mwanasayansi(mwanadini) asitumie dua badala ya sayansi katika kutatua matatizo mbalimbali? Ndiyo nakuuliza mbona auhoji hivyo kwa mkulima kwamba aache kulima na kuomba dua tu? Au kwa mfanyabiashara?

Hakuna mahali nimekataa mwanasayansi kua na dini au yeyote yule

Mtu anaweza kujua kua mungu hayupo na dini ni utapeli lakini bado ukamuona msikitini au kanisani kwa kukwepa kutengwa na jamii

Na ndio maana nimekuonesha ni jinsi gani matatizo yakitokea watu hawatafuti suluhu kwa njia ya maombi kama walivyokua wakiaminishwa na dini.



It's Scars
 
Hapa naona unaelekea kwenye hoja nyingine fikirishi zaidi. Haya enhe Scars hakuchagua kuwa hivyo alivyo. Hivyo unamaanisha kwa neema ya Mungu scars kapendelewa kwa kuumbwa sio chizi wala sio mwanamke malaya. Lakini hapa duniani kuna machizi na wanawake malaya wengi sana hivyo nao pia hawakuchagua wawe hivyo kama ilivyo kwa scars. Kwa hii nadharia yako inaonesha wazi kuwa
1. Mungu ana upendeleo kwenye uumbaji
2. Anawaonea watu kwenye adhabu ya moto kwasababu yeye Mungu kumbe ndiye anayepanga wawe hivyo walivyo hakuna mtu anayeweza kuchagua awe vile alivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta kabisa

It's Scars
 
Sijamwita chizi kwa sababu sababu ya Mungu,mbona wewe hauamini Mungu na sijakwita chizi? Mara zote sie tunaoamini Mungu huwa tunaitwa machizi na majina ya kila aina kisa tu tunaamini Mungu na huyo jamaa ni mmoja wenye kuongea maneno mabovu kwa sie wenye kuamini Mungu na hujiona ana akili sana kisa tu haamini Mungu.

Sasa nashangaa kaja na sababu ya kichizi kueleza et kwanini watu wanaamini Mungu,mtu mwenye akili timamu hawezi kuja na sababu kama hiyo aliyokuja kutueleza hapa.

Wewe ndio hauna uhuru wa kuthibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu,na kwa sababu umeambiwa kisichokuwepo hakithibitishiki.
Na kwanini uwe na uhuru katika jambo ambalo halipo?



It's Scars
 
Back
Top Bottom