Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Hii michambo mixer vitisho ilikua inaweza kuleta impact katika zama za ujinga tu ambao watu wakipindi hicho walikua tayari kukubali chochote kwa dhana ya vitisho



It's Scars
 
Mtu anakuambia "wewe ni mjinga kwasababu humuamini mungu wa wana waisrael"



It's Scars
 
Hayo maelezo hayajajibu swali hili

Unajuaje kua kuran imesema ukweli?

It's Scars
Hakuna maelezo hapo, kuna challenge kwako. Soma tena...

Challenge imekuwa nzito kwako? Kitu ambacho unasema si kweli kinakushinda? Soma...

Usipate shida Qur'an yenyewe inakupa jibu...

Qur'an 2:





23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 23



24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. 24





Haya tunasubiri utimize hiyo "challenge". Miaka zaidi ya 1400 imetolewa , mpaka.leo hajatokea hata mmoja aliyeweza, jaribu bahati yako tRNA washirikishe na makafiri wenzako wote.


Hahaha unaongelea "spider"? Kuna sura nzima ndani ya Qur'an inabeba jina Hilo, imeshushwa zaidi ya miaka 1400 nyuma. Kwi kwi kwi teh teh teh, wewe ndio leo unamjuwa? Ulilala usingizi mzito sana.
 
Infact ni kwamba hakuna sector yeyote ambayo muafrika anafanya kwa weledi bila kukosea kama sector ya ujinga

Muafrika kwenye ujinga ndo anaplay part vizuri kuliko sector yeyote unayoijua wewe
Kasoro wewe tu?
Mbona
na wewe ni walewale tu.
Wewe kwa maandiko yako tu unajidhihirisha kuwa "you are simply an uneducated fool from an uneducated school'.
 
Na hayo yote uliyasomea wapi?
 
Weka wewe halafu niambie wapi hujaelewa

It's Scars
Ambapo sijaelewa ni kwamba ulikuwa unataka watu wanaoamini Mungu wasifanye kazi kwamba wawe wanaomba dua tu kwa sababu wanadini? Au wananadini wenye taaluma zao wasishughulike na taaluma zao wao waombe dua tu?
 
Wapi nimesema mimi ni msemaji wa mungu?

Halafu leo hii unataka kupinga kua vitabu vyenu havijasema kua binadamu mnamapungufu?



It's Scars
Sasa kama sio msemaji wa Mungu mbona unasema kuwa Mungu hawezi kuumba kiumbe chenye mapungufu hii kauli ni ya kwako au umemsikia Mungu akisema hivi ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae Kausome Uislam wako vizuri. Muislam hatakiwi kucheka cheka hovyo. Kamsome Ibn Majah kuhusu kujichekesha hovyo.

Hususan sehemu kama hizi unajadiliana na kafir huyo halafu unajichekesha chekesha hovyo. Jifunze adabu za Kiislam usilete ujinga wako humu.
 
Wewe mama wapi kwenye Qurani tumeambiwa tusicheke ?

Ibn majah huyo unaamini maneno yake yamekuwa Qurani ?

Au maneno ya ibn majah nayo ni Quraani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mama wapi kwenye Qurani tumeambiwa tusicheke ?

Ibn majah huyo unaamini maneno yake yamekuwa Qurani ?

Au maneno ya ibn majah nayo ni Quraani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
We punguani, Huwa hamuelewi mnachokisoma. Nani alikudanganya kuwa maneno ya Ibn Majah ni Qur'an? Nnakushauri, usifanye upuuzi na ujinga wa kuihusisha Qur'an na Binadam.

Kujichekesha chekesha hovyo ni mambo ya kikafir hayo. Soma Qur'an...

إِنَّهُ كَانَ فَرِيقٌ مِّنْ عِبَادِي يَقُولُونَ رَبَّنَا آمَنَّا فَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا وَأَنتَ خَيْرُ الرَّاحِمِينَ - 23:109

فَاتَّخَذْتُمُوهُمْ سِخْرِيًّا حَتَّىٰ أَنسَوْكُمْ ذِكْرِي وَكُنتُم مِّنْهُمْ تَضْحَكُونَ - 23:110



Kijana, wewe inabidi unisome upate kujifunza kutoka kwangu, wewe upo finyu sana, bado kabisa hujafikia "caliber" ya kushindana na yeyote kwenye masuala ya elimu yoyote Ile.
 
Wewe unajifanya unafata Qurani tu,huyo ibn majah kwa nini umtumie kumkataza Mtu kucheka anapojadili ?

Mbona usitumie Qurani tu kukataza jambo lako ?

Wapi Qurani imekataza kucheka ?

Aya ulotoa haijataja kucheka hapo

إِنَّهُ كَانَ فَرِيقٌ مِّنْ عِبَادِي يَقُولُونَ رَبَّنَا آمَنَّا فَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا وَأَنتَ خَيْرُ الرَّاحِمِينَ

(AL - MUUMINUN - 109)
Bila ya shaka lilikuwapo kundi katika waja wangu likisema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini; basi tusamehe na uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa wanao rehemu.

فَاتَّخَذْتُمُوهُمْ سِخْرِيًّا حَتَّىٰ أَنسَوْكُمْ ذِكْرِي وَكُنتُم مِّنْهُمْ تَضْحَكُونَ

(AL - MUUMINUN - 110)
Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka.

Wapi Qurani imekataza Mtu kucheka akiwa anajadili na kafiri ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae Kausome Uislam wako vizuri. Muislam hatskiei kucheka cheka hovyo. Kamsome Ibn Majah kuhusu kujichekesha hovyo.

Naona umeni miss sio ?

Imaam Ibn Majah Allah amrehemu nionyeshe nikamsome wapi ? Maana ni mwanazuoni wa Hadithi huyu, bila shaka kwenye kitabu chake cha Hadithi, au vitabu vya Ruwat navyo vina husu hadithi.
Hususan sehemu kama hizi unajadiliana na kafir huyo halafu unajichekesha chekesha hovyo. Jifunze adabu za Kiislam usilete ujinga wako humu.

Nacheka sana, adabu za Kiislamu nazipata wapi embu tuonyeshe nikazisome.

Pili, kuna tofauti kati ya kujichekesha na kucheka sana. Mimi nacheka sana, nikikwambia uthibitishe kama najichekesha hutaweza.
 
Magonjwa yanathibitisha hilo

Hakuna muda maalumu wa seli kuchoka bali kulingana na mazingira yakiwa rafiki basi zitaweza kudumu bila kuchoka kwa kipindi kirefu lakini ikiwa kama si mazingira rafiki itakua ni kinyume

It's Scars
Wanao kufa katika ajali na majanga mbali mbali wao wanaingia wapi ?
 
Hujajibu ndio maana nalirudia kwa kuweka msisitizo

Hujajibu swali hili

Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe?

It's Scars
Kurudia kwako maswali ni kukosa hoja na hili linajulikana na hakumaanishi kwamba kweli hujajibiwa maswali.
 
Aisee hii kasheshe

Kwaiyo hata ulichokikubali nacho hukijui?





It's Scars
Najua kila nukta niliyo iandika ndio maana nakuhiji hivyo, na nina weza kukuwekea wazi nukta zangu zote na hazipingani hata moja.

Kwahiyo nakuuliza hivyo ili ujihukumu mwenyewe kama ulivyo jinadi hujajibiwa maswali lakini ukweli uko dhidi yako na umeshindwa kuonyesha hilo zaidi kubabatiza nukta.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…