Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Asie jua wew muislamu nani, pita kushoto, endelea na upagani wako sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asie jua wew muislamu nani, pita kushoto, endelea na upagani wako sasa
Haya ndio yale yale niliyo kwambia post ya 13 na 120 na majibu mengine, sasa unaposema nimekubali unatakiwa kuonyesha nimekubali nini na wapi ?
Asie jua wew muislamu nani, pita kushoto, endelea na upagani wako sasa
Nimefuatilia mjadala mwanzo mwisho acha na mimi nichangie kdg.Kwa ujumla mtoa mada ana logic katika hoja zake. Binafsi mimi ni mkristo s.d.a na naamini Mungu yupo.Labda nianze tu kusema kuamini uwepo wa Mungu ni IMANI na kutokuamini uwepo wake ni IMANI vilevile. Ukweli ni kwamba kuprove uwepo wa Mungu physically ni vigumu but ni kama upepo kuna uwezekano wa kuprove uwepo wa upepo kwa effect zake.
Mimi binafsi pamoja na kukuwa na ku be influenced na family yangu juu ya uwepo wa Mungu lakn nilipokuwa na akili timamu niliamua kuamini uwepo wa Mungu kwa kujiulza maswali kadhaa e.g
Kabla ya kuzaliwa haukuwepo1. Kabla ya kuzaliwa nilikuwa wapi
Hayo mambo ambayo yanaendelea bila wewe kuyapanga tafsiri yake huyajui yanafanyikaje na sio kwamba upendekeze jibu la mungu kua ndio liwe mbadala.2. Kuna mambo mengi yanayoendelea mwilini na nje ya mwili ambayo ni nje ya uwezo wako (hupangi wewe) involuntary hata ku exist kwako na hta hiyo reasoning power/ability uliyonayo ya kuchallenge hata uwepo wa Mungu
3.ukifa inakuaje
Hii ni drama hujui bongo movies hadi makanisani zipo?4.nashuhudiaga mtu mwenye mapepo ukitaja jina la Mungu wanaongea kabsa kukiri uwepo wake kama ni mgonjwa wa akili tu awezi kugbu vile .
Kwanza ukifatilia hoja hii upande wa dini imezungumziaje utaona kuna contradiction hapo dini imepinga dunia kuzunguka5.mfumo na utendekaji wa vitu duniani ambayo hta science inakubali kuwa hata kimoja kiki disobey hali itakuwa tofauti kabsa mfano hta kwa cku 1 tu dunia isi rotate e.t.c effect yake ni kubwa sna e.t.c
Kuna haja ya chanzo ili kitu kiwepo6.Origin of life kwa kila kitu.
Haya ni majibu ya kivivu yasiyozingatia misingi ya utafitiIn general vitu hivi vichache tu kuacha viiingi vinaprove kuwa kuna nguvu nje ya ubinadamu inayo control each and everything ambayo wengi ndio wanaamua kuamini ndo MUNGU wake/wao. Coz ana influence na DESTINY yako .sasa mtu anaweza amua tu kuiamini au kutokuiamini.
Watu wa dini ndio watu wanaoishi kwa hofuMwisho kabsa hta ukiiamini na kuamua kufuata mafundsho ya dini fulani basi utaishi kwa imani hiyo kuliko asiye amini kabsa nahsi anaishi kwa hofu zaidi kwamba je nikimkuta yupo na nilimpinga itakuaje?
Kwanza siwezi set njia potofu kwa ajili ya kupata jibu sahihiSasa ukiamua kuamini uwepo wake na dini fulani through hiyo dini tunaweza jadili sasa swali lako la msingi kwa nini Mungu mweza wa vyote hivo aruhusu vitu vibaya e.g Corona, magonjwa mbalimbali , njaa ,vifo ,shida mbalimbali etc ziwakumbe viumbe vyake ziwe ni binadamu kasababisha au yeye mwenyewe katoa pigo but ameruhusu itokee coz alikuwa anaweza kuizuia.
Ukitoa hoja zinazothibitisha mungu yupo mbona utakua umefanya jambo kunwa sana ambalo miaka mingi hakuna aliyewahi kufanyaLakn bila kukubaliana juu ya uwepo wa Mungu mada ya pili haitakuwa na Mwisho. Coz reference za Bible huziamini za Quran huziamini. So we umechagua imani hiyo na ss tumechagua imani ya kuamini Mungu yupo hamna haja ya kulumbana sna.
Kwaiyo unathibitisha mungu yupo au unani-recommend niamini bila uthibitisho?Ni sawa na Mzungu kumshangaa mswahili kuita mtoto "MTOTO" na mswahili amshangae mzungu kumta mtt "BABY" na kila mmoja kumtaka mwenzake abadilike amfuate.
Hiyo defense mechanism nimeielezea huko juu, nimesahau namba ya postSio kweli Mungu hajibu unapotaka ww,hujibu kwa wkt wake chamsingi kuwa na sbra
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje kama seli za binadamu zinaelekea kufa au kwa kipi ?
Seli hizo huchukua muda gani mpaka zina choka ?
Uzima ndio unaokupa kiburi.
Hata mtoto mpumbavu akiwa na kiburi anaweza akamwambia mama yake usinisumbue hata Mimi ningetangulia ningekuzaa.
Umewahi kujiuliza maswali haya :-
Kwa nini sio kila mtu ni Daktari?
Kwa nini sio kila MTU ni Mchawi ?
Kwa nini sio kila MTU ni mwanamziki au Mchezaji au Mwana Sarakasi ?
Kwa nini sio kila MTU ni Mwanamazingaumbwe?
Kwa nini kila MTU sio Mwanajeshi au kwa nini sio kila mwanajeshi ni Komandoo?
Kwa nini wote hatuna akili sawa?
Kwa nini wengine ni Magenius na wengine sio?
Huoni tu kuwa kuna Mwenye Maarifa makubwa aliyewaumba hawa watu na kuwapa vipaji kwa kazi na wakati wakati wake?
Kama binadam ametengeneza magari ya aina tofauti na kila moja na ubora wake kama vile Benz ,Toyota, Mitsubishi, Nissan, Land Rover n.k. Kichaa na mpumbavu ndiye anayeweza akasema hayo magari yamejitengeneza yenyewe.
Binadam wameumbwa na kupewa akili ya kujisimamia .
Engineer wa Umeme akishawasha umeme anaondoka zake umeme unaendelea kuwaka kwa kiwango alichoweka. Ukikatika hata vishoka wanaweza kuunga tena.
Mungu ana Mambo Mengi na kazi kubwa ya kupambana na muasi Shetani sio kuhangaika na Korona walizozitafuta wafuasi wa Shetani kwa tamaa zao za kutajirika na kumiliki uchumi na madaraka ya dunia.
Dawa zinatoka kwa Mungu kama haujui.
Ndugu yako Shetani amekua akidanganya watu sana lakini ujanja wote wa dawa unatoka kwa Mungu ndio maana hata alama ya tiba dunia nzima ni Nyoka aliyejisokota kwenye mti.
Waganga wote wa asili wanarithishwa kwa imani ya mizimu namna ya kutambua miti ya dawa. Hii pia ni dini.
Waitali wameasi na kukufuru sana mana Makanisa mengi wameyageuza kumbi za starehe na club za Pombe na kufanya kila aina ya ufuska kwenye majengo ya Makanisa. Sasa Mungu ameamua kuudhihirisha ulimwengu kuwa kazi za mikono yao haziwezi kuwaokoa bila kutii amri zake.
Bado wewe zamu yako inakuja. Utamheshimu Mungu tu kabla hujafa.
Mana kama sio Corona itakupiga Sukari na kama sio sukari itakupiga Presha,kama sio Presha utakupiga Ukimwi na kama sio ukimwi utapigwa na ajali na kama sio ajali utapigwa na Kansa na kama sio kansa utapigwa na Mpafu na kama sio mapafu utapigwa na vidonda vya tumbo.
Utamkumbuka tuu aliyekuumba na kukupa pumzi na akili na sasa unasema hayupo . Utakapokuwa unachungulia kaburi utawaza kuwa mada haiwezi kuharibiwa lakini inaweza kubadilika kutoka hali moja kwenda nyingine. Utaona unavyokaribia kubadilika kwenda kwenye hali usiyoijua ndipo utakapomkumbuka Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app