Hili nikishakujibu, naona una sahau sana.
Nakukumbusha tu ya kuwa sijibu maswali ambayo nimeshayajibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nikishakujibu, naona una sahau sana.
Soma tena sijasema maneno hayo.Hujajibu hili swali
Wewe umekubali kua hoja yangu kutoafikiana na hoja yako haifanyi hoja yako kua jibu sahihi?
It's Scars
Naona umeishiwa maswali unarudia maswali niliyo kujibu.Sijakuuliza kama majibu sahihi unayo au huna
Nimekuuliza
Unajuaje kwamba sijajibu maswali yako na sio kwamba huna uwezo wa kusoma kwa uelewa hoja zangu?
It's Scars
Lile sio jibu bali ile ni Circular logic ikionesha kutapatapa kwako kwakukosa jibuHili nikishakujibu, naona una sahau sana.
Nakukumbusha tu ya kuwa sijibu maswali ambayo nimeshayajibu.
Naona huu ni muendelezo wa kukimbia hoja, nilirejea katika post hiyo na nikakubainishia uzuri kabisa.Soma post yako namba 13 halafu uje hapa ujione ni jinsi gani mjinga, imefikia hatua mpaka umeanza kujichanganya kwa ujinga wako mwenyewe
It's Scars
Hata kukataa kwako habari ya uwepo Wa Mungu hakuwezi kuishawishi nafsi yako mwenyewe!! Kuhangaika kwako kote huku ni jitahada zako za kutaka kuinyamazisha dhamiri yako ambayo hukusuta daima!! Huna amani, huna furaha Bali umejaa maumivu na uchungu moyoni daima. Hiyo ni dalili kuwa hukumu ya Mungu iko mlangoni kwako ikikusubiri. Usipotubu hutaikwepa hukumu ya Mungu. Hapo huna ujanja!! Mungu anakupenda sana ndiyo maana amekuvumilia kwa muda mrefu, usifikiri hakuoni au hakufuatilii Bali anasubiri toba yako!! Kilichofinyangwa hakiwezi kudhani kinaweza kuwa na ufahamu wa kumjua kwa ukamilifu aliyekifinyanga.Hapo hujathibitisha bali umelabdisha na kuonesha jinsi gani huna uhakika na unachokisimamia
Inaonesha kuamini kwako mungu ni matokeo ya kukosa majibu ya hilo swali
It's Scars
Una matatizo ya akili kijana, inabidi ujifunze namna ya kuhoji, vipi ishu isiwe ni aya hali ya kuwa ameegemea katika ushahidi wa aya ? Msingi wa hoja yake ni aya, vipi isiwe aya.
Na mifano nikakupa.Ndio nilikotoka huko
Hujajibu hili swali
Hali halisi ni nini?
Kwanini hali halisi ithibitishe mungu na sio kingine?
Unajuaje kua watu hawakutumia kichaka cha "hali halisi" ili kuweka ulaghai wao kama conspiracy theory??
It's Scars
Situmii misingi ya logic kujenga hoja zangu wala kuvunja hoja za aliye dhidi yangu, na kuniambia ile ni "Circular Logic" unanikosea adabu sana.Lile sio jibu bali ile ni Circular logic ikionesha kutapatapa kwako kwakukosa jibu
Kadhalika swali hili nilikujibu.hicho kitabu umejuaje kua kimesema ukweli?
Nina uhakika bila shaka kabisa.
Hakuna swali ulilojibuNaona umeishiwa maswali unarudia maswali niliyo kujibu.
Silei ujinga,ni wakati wako sasa kujibu maswali yangu.
Nimekwambia dua ni maombi si kazi.
Nilichokisema mimi ni hiki " Kwa kile kinachodaiwa kuwa ni jibu kutoafikiana na jibu sahihi ambalo ninalo."
Mfano ulionipa haukujibu swali hiliNa mifano nikakupa.
Unatakiwa kujibu maswali yangu sasa mzee.
Safi kabisa, unaweza kuonyesha haya maswali wapi uliyauliza hapo kabla ?Hakuna swali ulilojibu
Hujajibu ni kwanini mazingira ya uhalisia kufanana na habari zilizomo kwenye kuran kuthibitishe allah yupo?
Hujajibu ni kwa namna gani unaweza kujua kua hivyo vitu ambavyo vipo halisia kimazingira vimeandikwa kwenye kuran ili kuwafanya watu waamini kua ni kitabu cha kweli kwakulinganisha uhalisia wake katika mazingira halisi??
It's Scars
Mpaka hapo tayari ushaitumia logicSitumii misingi ya logic kujenga hoja zangu wala kuvunja hoja za aliye dhidi yangu, na kuniambia ile ni "Circular Logic" unanikosea adabu sana.
Mpaka sasa hujajibu swali langu hata moja, halafu unataka mjadala na mimi ? Kijana lazima ukimbie kama unavyokimbia kila siku kwa kuacha kujibu maswali.
Kadhalika swali hili nilikujibu.
Silei ujinga kijana, nasubiri ujibu maswaliniliyo kuuliza,kukimbia maswali yangu hakukusaidii kitu, zaidi ya kuonekana zwa zwa zaidi.