Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuomba sio juhudi?Kazi ni utumia wa nguvu,juhudi na maarifa.
Kuomba kunaendana vp na maana ya neno kazi?unasema kwenye maombi hutumii nguvu,je unatumia nini chenye maana ya kazi? Hebu nieleze Mzee wa Mental work.
Kikubwa dini haiwambii watu wasijikinge na maradhi na maafa na ndiyo maana Saudia wakazuia hija katika jitihada za kuepusha na janga la corona.
Nataka wewe ujuwe kuwa ,Ukiona mfumo fulani wa maumbile,yuko aliyeufuma.Kwanini unauliza swali kwa minaajili ya "nani"?
Huoni kwamba swali lako lipo katika dhana potofu kwasababu umejilengesha kwenye jibu ambalo lipo mfukoni mwako?
It's Scars
Nataka wewe ujuwe kuwa ,Ukiona mfumo fulani wa maumbile,yuko aliyeufuma.
Huyo ndo tuna mwita Mungu.
Sasa wewe unayesema kuwa hakuna Mungu, tupe yule aliyeunda hii mifumo ya Kimaumbile?
Mana Ukiona Gari inatembea utasema ,Mjapani ndo kaunda,
Ndege aina ya Boing Max utasema Marekani,
Lakini iweje nikiona Mwanamke Mzuri w a umbo nisimsifu aliye Mpa Sura na Umbu lile ambaye Mimi nasema Ni mungu?
Umefanya jambo la maana sana, wewe ni heri tu ukae kimya, huna ilm wala elimu.
Sasa ujuwe kuwa miaka 1000 iliyopita hatukuwa na Simu wala Gari,wala ndege.Haiwezekani kabisa
Hata wewe uliwahi kusema nyuma kuwa kila chenye kuwepo lazima kiwe na chanzo,
Unakumbuka?
Ndiyo ikiwa kimeundwa na mwanadamu
Ndio kila kituKila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo?
Kumbuka swali limelenga kitu chochote kile kwaiyo sitegemei urudie kosa
Maombi yao ndiyo yamekufanya uwepo leo hapo. hii corna imkuja kuwakumbusha kuwa kuna Mungu Muumbaji.
Maombi yao ndiyo yamekufanya uwepo leo hapo. hii corna imkuja kuwakumbusha kuwa kuna Mungu Muumbaji.