Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kuwepo kwako kunathibitisha baba yako na mama yako ndio waliokuzaa, hakuthibitisha mungu yupo
Kule Tumboni Nani kayageuz yale maji ya uzazi kuwa Binadamu?
Hebu weka hoja hapa wazi,
Mimi si Zurri,
Twende sambamba,
 
Kule Tumboni Nani kayageuz yale maji ya uzazi kuwa Binadamu?
Hebu weka hoja hapa wazi,
Mimi si Zurri,
Twende sambamba,
Aliyekuambia tumboni kuna mtu anageuza maji ya uzazi kuwa binadamu nani?



It's Scars
 
Kama kiswhili hukifahamu,njoo hata kwa lugh uijuayo,
Lete hoja, Hapa Utaelimishwa mpaka ufahamu,
na kama na wewe unacho cha kutushawishi,kilete hapa,
Mana miminataka Wewe Uamini Uwe Mislamu,umuabudu Mungu Mooja tu,aliyeumba kila kitu bila ya kuhitaji 'raw materials'
Binadamu Hujiona mjuwaji akisha kuwa Mtu mzima na Fahamu kamili,lakini ulipo kuwa kitoto hukujuwa chochote ,na ukizeeka utakiona cha mtema kuni,
Ukweli ni kuwa Viumbe wote ni tegemezi wa vitu vingine.
Huweiz kuishi hadi ule chakula.
Huwezi ku endellea na kazi baada ya kuchoka hadi upumzike,kwa kulala.
Hujuwi ni nani kati yetu atakumbwa na Maradhi ya corona au mengine yoyote yale.
na yakikupata inabidi uanze kufight kujitibu.
 
Oke swali langu la mwisho hili hapa
Wewe umekuwepo hapa duniani kwa madhumuni gani?
Na lilni utaondoka?
Na wapi Utakuwepo baada ya hapa?
Na kabla ya kuwepo ulikuwa wapi?
Hebu jibu haya
 
Ahaa,
kwa hiyo nini kinatokea kule tumboni?

Huo ni mfumo wa mwili ambao mwanamke ako nao

Kama ulisoma reproduction ya darasa la sita huwezi kuuliza swali lakijinga kama hili



It's Scars
 
Huo ni mfumo wa mwili ambao mwanamke ako nao

Kama ulisoma reproduction ya darasa la sita huwezi kuuliza swali lakijinga kama hili



It's Scars
Kwa hiyo na wewe tukikumwagia mbegu ,itatokea kama hivyo ?
Utatuzalia mtoto ?
mbona umekwepa swali
#1,130
 
Oke swali langu la mwisho hili hapa
Wewe umekuwepo hapa duniani kwa madhumuni gani?
Na lilni utaondoka?
Na wapi Utakuwepo baada ya hapa?
Na kabla ya kuwepo ulikuwa wapi?
Hebu jibu haya

Mimi nipo hapa duniani kwa dhumuni la kuishi, dhumuni langu litaisha pale ambapo nitakufa

Kuondoka kwenda wapi?



It's Scars
 
Kuna physical work na mental work

Kwaiyo maombi yapo kwenye mental work kwasababu hautumii msuli kama kulima

It's Scars
Kazi ni utumia wa nguvu,juhudi na maarifa.

Kuomba kunaendana vp na maana ya neno kazi?unasema kwenye maombi hutumii nguvu,je unatumia nini chenye maana ya kazi? Hebu nieleze Mzee wa Mental work.

Kikubwa dini haiwambii watu wasijikinge na maradhi na maafa na ndiyo maana Saudia wakazuia hija katika jitihada za kuepusha na janga la corona.
 
nakuwekea hapa ushahidi ambao unaonesha umeamua kua mjinga kwa makusudi ili kukwepa maswali yangu

View attachment 1398861

Hapo juu ni picha inayoonesha paragaph yako ya kwanza umekiri kua hayo maneno umeyasema View attachment 1398863

Hapa nikaja kunukuu hayo maneno yako ambayo ulikiri kua umeyasema, lakini ukapinga kua hukuyasema bali mimi ndio niloyasema

Umeona ulivyo mjinga?View attachment 1398864

Hapo juu ni picha inayoonesha maneno yako uliyoyaandika mwenyewe ambayo saizi umeyakataa kua hujayasema bali mimi ndio nimeyasema

Mwisho wa kunukuu

Umeona jinsi gani ambavyo hueleweki kama sigara kali?

Unataka kuhitimisha mjadala kwa kukwepa maswali na kupinga hoja zako mwenyewe??

Njoo upinge na hii
Poa.
 
Mimi nipo hapa duniani kwa dhumuni la kuishi, dhumuni langu litaisha pale ambapo nitakufa

Kuondoka kwenda wapi?



It's Scars
Hata wanyam wanishi,
Nini tofauti yako wewe na wanyama?
Na kuishi ndo kitu gani? zaidi ya kula na kunya kwa Binadmu?
 
Back
Top Bottom