Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Ni nani kaweka huo mfumo wa uzazi kwa mwanmke na akamnyima mwame?
Kwanini unauliza swali kwa minaajili ya "nani"?

Huoni kwamba swali lako lipo katika dhana potofu kwasababu umejilengesha kwenye jibu ambalo lipo mfukoni mwako?

It's Scars
 
Kwani kuomba sio juhudi?

Ukiomba ukapewa, hayo maombi yako yanakua yamefanya kazi hau hayajafanya kazi?

Kwanini matokeo ya maombi yasiwe kazi kutokana na juhudi zako kuomba dua?

It's Scars
 
Kwanini unauliza swali kwa minaajili ya "nani"?

Huoni kwamba swali lako lipo katika dhana potofu kwasababu umejilengesha kwenye jibu ambalo lipo mfukoni mwako?

It's Scars
Nataka wewe ujuwe kuwa ,Ukiona mfumo fulani wa maumbile,yuko aliyeufuma.
Huyo ndo tuna mwita Mungu.
Sasa wewe unayesema kuwa hakuna Mungu, tupe yule aliyeunda hii mifumo ya Kimaumbile?
Mana Ukiona Gari inatembea utasema ,Mjapani ndo kaunda,
Ndege aina ya Boing Max utasema Marekani,
Lakini iweje nikiona Mwanamke Mzuri w a umbo nisimsifu aliye Mpa Sura na Umbu lile ambaye Mimi nasema Ni mungu?
 
Hata wanyam wanishi,
Nini tofauti yako wewe na wanyama?
Na kuishi ndo kitu gani? zaidi ya kula na kunya kwa Binadmu?
Tofauti yangu ya mimi na mnyama ni kwamba wote ni wanyama

Kinachofanya mnyama awe mnyama ni nini?

It's Scars
 
Sasa leo haya maradhi ya Corona ,kayaleta nani?
wajuwa wewe?
 
walioumbuka ni manabii feki akina mwamposa, upako, gwajima,TB joshua, mwingira, lwakatare na wengine wanaotumia shida za wananchi kujitajirisha. Wao hudai wana suluhu kwa kila tatizo.
 
Kwanini kuwe na ulazima kuwepo kwa aliyeufuma huo mfumo?

Haiwezekani kitu kikawepo bila kua na chanzo?

It's Scars
 
Kwanini kuwe na ulazima kuwepo kwa aliyeufuma huo mfumo?

Haiwezekani kitu kikawepo bila kua na chanzo?

It's Scars
Haiwezekani kabisa
Hata wewe uliwahi kusema nyuma kuwa kila chenye kuwepo lazima kiwe na chanzo,
Unakumbuka?
 
walioumbuka ni manabii feki akina mwamposa, upako, gwajima,TB joshua, mwingira, lwakatare na wengine wanaotumia shida za wananchi kujitajirisha. Wao hudai wana suluhu kwa kila tatizo.
Wasio feki wao maombi yao yameweza kufua dafu kuleta dawa ya corona?

It's Scars
 
Haiwezekani kabisa
Hata wewe uliwahi kusema nyuma kuwa kila chenye kuwepo lazima kiwe na chanzo,
Unakumbuka?
Nataka majibu mafupi mafupi

Kwaiyo unakubali kua kila kilichopo lazima kiwe na chanzo?

It's Scars
 
Haiwezekani kabisa
Hata wewe uliwahi kusema nyuma kuwa kila chenye kuwepo lazima kiwe na chanzo,
Unakumbuka?
Sasa ujuwe kuwa miaka 1000 iliyopita hatukuwa na Simu wala Gari,wala ndege.
Leo hii tumeweza kuunda yote hayo,kwa kutumia madini,mbalimbali na inteligency za binadamu imeweza kutufikisha hapo.
Tunamsifu Newton, na wansayansi mbali mbali kwa kuzitumia vyema akili zao kwa kuusaidia ulimwengu.
Hapo utona kumbe si akili tuu,mbona punda ,tembo na wewe binadamu ntunazo akili,
nini hasa kimezidi kwa wataalam hawa akina Galileo na Newto?
Utajuwa kuwa ,na wao wamemtambua Mungu pamoja na Akili zao izo z ajabu.
Sasa bado wewe
 
We need scientific knowledge to fight CORONA not FAITH

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Ndiyo ikiwa kimeundwa na mwanadamu
Sijauliza swali kua kila kilichoundwa na binadamu

Nimeuliza

Kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo?

Kumbuka swali limelenga kitu chochote kile kwaiyo sitegemei urudie kosa

It's Scars
 
Maombi yao ndiyo yamekufanya uwepo leo hapo. hii corna imkuja kuwakumbusha kuwa kuna Mungu Muumbaji.

Sio kweli

Nipo leo kwasababu nimeepuka mazingira hatarishi pamoja na kufata maagizo kutoka wizara ya afya

Maombi yangekua yamefanya kazi, leo hii tusingesikia watu wamekufa ikiwemo mapadre.

Wala tusingeona mekka na vatican wakipiga ban nuingilianonwa watu wanaoenda kuhiji kwao

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…