Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Yawezekana hili pigo la corona ni sawa na yale mapigo ya sodoma na gomora. Tukubali hili ni pigo la Mungu, kutukumbusha tufanye ibada za kweli, tuache ufuska na maushirikinamaushirikina
Yawezekana mungu muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote ambaye angeweza kutunusuru na huu ugonjwa hayupo na ndio maana magonjwa kama haya yanatokea

It's Scars
 
Kila kitu kinachoonekana kwa macho na visivyoonekana vina chanzo either chanzo cha asili au kutengenezwa
Unaelewa hapo unakua umemaanisha mungu hayupo?

Mungu akionekana kwa macho naye atahitaji chanzo, na kama yupo ila haonekani bado atahitaji chanzo

Nini chanzo cha mungu?

It's Scars
 
Unajuje kua habari ya sodoma na gomora ni habarib za kweli?
 
Kwanini kuwe na ulazima kuwepo kwa aliyeufuma huo mfumo?

Haiwezekani kitu kikawepo bila kua na chanzo?

It's Scars
NDIO !
HAIWEZEKANI KITU KUWEPO PASI NA CHANZO AU MFANYAJI ALIYEWEZESHA KUWEPO
 
Kwani kuomba sio juhudi?

Ukiomba ukapewa, hayo maombi yako yanakua yamefanya kazi hau hayajafanya kazi?

Kwanini matokeo ya maombi yasiwe kazi kutokana na juhudi zako kuomba dua?



It's Scars
Upo sahihi hakuna ambacho si kazi kila kitendo ni kazi. Na dini haijasema watu wasijiepushe na maafa wala kujali afya zao hivyo saudia walichofanya ni mafundisho ya kiongozi wao wa dini.
 
Ur still a learner
 
We Jamaa Nadhani utakuwa unalawitiwa wewe. Mawazo ya kikhanithi kabisa haya
 
Mungu si kitu katika vitu,
Na hafanani na chochote katika vile uvijuavyo.
Hata hivyo yupo anona na anasikia.
Ni yeye peke ya anyeanzisha vitu bila ya chanzo,
Tuliobaki hatuwezi hayo,ni lazima tuwe na chanzo.
UKITAKA KUMJUWA ZAIDI ,TAZAMA KAZI ZAKE.
JE WAZIJUA KAZI ZA MUNGU?
 
Mawazo kama haya hayawezi kukaa kwenye kichwa cha mwanaume anae simamisha Kwa sababu ukhanithi huwa Una anzia kwenye akili.

Ushauri wangu kwako, nenda katibiwe ukhanithi Kwanza.

Akili za kikhanithi kabisa hizi.
 
Kama kila kilichopo.lazima kiwe na chanzo, nini chanzo cha mungu?
Mungu si kitu katika vitu,
Na hafanani na chochote katika vile uvijuavyo.
Hata hivyo yupo anona na Anasikia.
Ni yeye peke ya anyeanzisha vitu bila ya chanzo,
Tuliobaki hatuwezi hayo,ni lazima tuwe na chanzo.
UKITAKA KUMJUWA ZAIDI ,TAZAMA KAZI ZAKE.
JE WAZIJUA KAZI ZA MUNGU?
 
Kama kila kilichopo.lazima kiwe na chanzo, nini chanzo cha mungu?
Nabii Musa alijaribu kutaka kumuona Mungu,
Huku akiwa waongea na kusikilizana,Akaonywa kuwa huwezi kuhimili kuniona Mimi.
Yeye akasisitiza,
Mungu alipojifunua akazimia papo hapo na kufa.
Hatimae akafufuliwa,naye akakiri mapungufu yake.
na kuwa wa kwanza kuamini.
Madai yako hayo yanaonesha kutokuchukua tahadhari ya waliokutangulia
 
Mbona ishara zipo nyingi tuu kuliko hizo za wana wa Israili,
Nimempa huyo jama ishra ya Mbegu ya uzazi akitiwa yeye badala ya mwanamke anweza kutupatia mtoto?
Si karuka swali,
Mimi nadhani angelisema bora Nimjaribu ili tuthibitishe kuwa inawezekana hata kwa mwanamume,
lakini karuka kimanga.
Kumbe anajuwa kuwa Mungu ndie aliyepangilia mambo na si binadmu.
Lakini angenikubalia nikamwagia mbegu kisha tukasubiri mimba ,hapo angeliona ishara kamili.
 
We Jamaa Nadhani utakuwa unalawitiwa wewe. Mawazo ya kikhanithi kabisa haya
Hizo ni hallucinations zenu wanadini

kutumia kwako lugha ya Matusi kwa ajili ya kumtetea mungu huo pia ni uthibitisho kua hayupo



It's Scars
 
Ur the true son of Ur father
 
Thibitisha nabii musa alikuwepo kweli na sio inventions za wayahudi

It's Scars
 
Religion is real

Acha uhayawani wewe
Dini ipo ila kinachofundishwa ndio hakipo real

Kingekua real tungeona miujiza ambayo inafundishwa kwenye majumba ya ibada ikiponya wagonjwa wa corona

Miujiza na habari ya uwepo wa mungu ni kitu cha kufikirika na ndio maana tunaona mapadre 30 wamekufa kwa corona.

Huku hofu ikiwa kubwa mpaka kufikia hatua mekka wanafunga mipaka

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…