Mungu si kitu katika vitu,
Na hafanani na chochote katika vile uvijuavyo.
Hata hivyo yupo anona na Anasikia.
Ni yeye peke ya anyeanzisha vitu bila ya chanzo,
Tuliobaki hatuwezi hayo,ni lazima tuwe na chanzo.
UKITAKA KUMJUWA ZAIDI ,TAZAMA KAZI ZAKE.
JE WAZIJUA KAZI ZA MUNGU?
Mawazo kama haya hayawezi kukaa kwenye kichwa cha mwanaume anae simamisha Kwa sababu ukhanithi huwa Una anzia kwenye akili.
Ushauri wangu kwako, nenda katibiwe ukhanithi Kwanza.
Akili za kikhanithi kabisa hizi.
I think this is beyond human knowledge people are dead dailyWe need scientific knowledge to fight CORONA not FAITH
Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
Sasa mwanzo ulikua unakataa nini kua kuomba dua sio kazi halafu hapa unakiri kua hakuna kisicho kazi??Upo sahihi hakuna ambacho si kazi kila kitendo ni kazi. Na dini haijasema watu wasijiepushe na maafa wala kujali afya zao hivyo saudia walichofanya ni mafundisho ya kiongozi wao wa dini.
kwa upeo wa akili yako kwa kila ksicho onekana hakipo,si sahihi.
Unaweza kunionesha mahali nilposema "kisicho onekana hakipo"kwa upeo wa akili yako kwa kila ksicho onekana hakipo,si sahihi.
Kuna gesi ya Oxygen tunajuwa kuwa ipo kwa ishara na dlili zake.lakini hatuioni.
Hivyo hivyo, Nyerere alikuwepo kwa kuwa kuna waliomuona akiwa hai,na zipo habari zake.
Upepo hua hatuuoni,lakini tunapata dalili zake.
So ukisema hivy
Hata Mungu Hatumuoni,lakini Zipo dalili na ushahidi wa kuwepo kwake.
Kazi za Mungu hakuna Aliyeweza kuzifanya.
Na walikuja watu maalumu waliotumwa Na mungu kutupa ufahamu kuhusu yeye.
Unapo sema Mungu Hayupo kwa kuwa sihalisia unamaana gani?Unaweza kunionesha mahali nilposema "kisicho onekana hakipo"
Ni kweli Mungu si kitu kw sababu vitu huwa vimeumbwa.
Hakuna ,lakini uliposema Halisia ulimaanisha hivyo
Maelezo yako mazurri sana, lakini hapo umekosea nakushauri ukifute kipande hicho.natamani unngelikuwa Mwanamke Ukawa unalaliwa na kutiwa Mimba.
Labda ungelimjua nani Muweza wa Mimba yako uliyopata kwa Raha.
Anabaki kua mungu katika dhana ya kufikirika na sio uhalisiaNi kweli Mungu si kitu kw sababu vitu huwa vimeumbwa.
Mungu anbaki kuwa Mungu tuu.Huwezi kumfananisha na kiumbe chochote ukijuacho wewe.
Lakini yupo na halisi kwa umbile lake la kiungu.
Walio muamini Humuona.na Huzungumza nae kihalisia kabisa.
Wasiomuamini,Huonana na shetani ,na ndiyo huyo mwalimu wako wa kumkana Mungu ilhali amekuumba.wewe na wazazi wako.
Wamekuwezesha kuona kusikia na akili,lakini unadhani umevipata kwa nguu zako hivyo?
Hukutani na vipofu mitaani,
Hukutani na Viziwi, na wendawzimu.
Bado hujui kuwa wewe Umependelewa kuliko wenzio?
natamani unngelikuwa Mwanamke Ukawa unalaliwa na kutiwa Mimba.
Labda ungelimjua nani Muweza wa Mimba yako uliyopata kwa Raha.
Hujui hata kuuliza swaliNilikuuliza mwanzo, Mule tumboni kwa Mwanmke,ni nani anaye shughulika na zile mbegu za uzazi ili kupatikana Mtu
Hukuja na Jibu
Nakuuliza tena
Unapopanda mbegu Ardhini,ni vipiinaota hadi kutowa mazao?
Nani anyeiotesha ile/
Hebu kamwage mbegu zako za Kiume kwenye Udongo utazame kuwa utapata mtu pale.
Huu ndio ushahidi tosha wamfumo wa MUngu wa Kuumba.
Na kwa dalili kama hizo
Mungu yupo na anatutumikia kila uchao.
Watu kutabiri kitu fulani halafu kitu hicho kutokea hakuthibitishi mungu yupoMIAKA MINGI ILIYOPITA MJUMBE WA MUNGU ELLEN G WHITE ALISHAANDIKA KUHUSU CORONA VIRUS NA HUNTER VIRUS ILIYO GUNDULIKA CHINA JUZI.
Ni katika kitabu kinachoitwa "Natural Remedies Encyclopedia" uk 745.
Hichi kitabu kinapatikana kwenye maduka yote ya vitabu vya waadventista wa sabato Duniani kote na pia kinauzwa na wainjilisti wa vitabu mtaani kwako.
MUNGU anasema hivi
""......Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto"".Hesabu 12:6
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake .Amos 3:7View attachment 1399301View attachment 1399303View attachment 1399304
Binti usinitege, sina huruma ntakuchapa hata kama nyegeMbona ishara zipo nyingi tuu kuliko hizo za wana wa Israili,
Nimempa huyo jama ishra ya Mbegu ya uzazi akitiwa yeye badala ya mwanamke anweza kutupatia mtoto?
Si karuka swali,
Mimi nadhani angelisema bora Nimjaribu ili tuthibitishe kuwa inawezekana hata kwa mwanamume,
lakini karuka kimanga.
Kumbe anajuwa kuwa Mungu ndie aliyepangilia mambo na si binadmu.
Lakini angenikubalia nikamwagia mbegu kisha tukasubiri mimba ,hapo angeliona ishara kamili.