Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #1,181
Mungu si kitu katika vitu,
Na hafanani na chochote katika vile uvijuavyo.
Hata hivyo yupo anona na Anasikia.
Ni yeye peke ya anyeanzisha vitu bila ya chanzo,
Tuliobaki hatuwezi hayo,ni lazima tuwe na chanzo.
UKITAKA KUMJUWA ZAIDI ,TAZAMA KAZI ZAKE.
JE WAZIJUA KAZI ZA MUNGU?
Ni kweli mungu sio kitu kwasababu hayupo katika uhalisia zaidi ya hadithi tu
It's Scars