Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Anapokuwa yupo hai huyo Mtu.je yule msimamizi wa mambo yote na nguvu zote anakuwa yupo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?
...Kumbuka hata ukiwa unatembea kwa kutumia usafiri wa gari lako na unaendesha si kila anayetembea kwa miguu kuelekea uelekeo unaoelekea ana uhitaji wa lift ya gari ila mwenye uhitaji itampasa kuomba kwa kusimamisha ndipo utajua hakika huyu anahitaji. Nadhani angekuwa anatusaidia kwa namna unavyohitaji tusingewahi kuamini uwepo wake.Binadamu tungekuwa tuna mabawa na tunapaa tusingeumiza kichwa kugundua magari na vyombo vingine vya usafiri na hata Mungu akitufanyia kila hitaji letu bila kumuomba tusingehitaji kufikiria kama kuna uwepo wake sababu tuutambue uwepo wake ili iweje. Ila tunapopata shida na kutumia akili zetu kutatua bila mafanikio ndipo hutupelekea kuamini yupo aliye juu ya vyote na yote na tukimrudia kwa imani ANATENDA.
 
Jieupushe na Mungu wa uongo wakufikirika maana mimi na wewe ndio Mungu halisi

It's Scars
Ili uwe Mungu
1.Usife,Uhai kwako uwepo wa kuendelea.Uyashinde Mauti aliyoyaweka Muumba wa watu na vitu.(Kila kiumbe lazima Kife)
2.Usishindwe na Jambo loloteufanye ulitakalo kwa wakati utakao.
3.Usilale kabisa,uwe macho muda wote.
4.Usichoke .
5.Uwe umeanzisha kitu chako kisichofananishwa na kingine duniani wala mbinguni.
6.Uishi nje ya Dunia ya aliyeiumba,uwe na Ulimwengu wako binafsi.
Je wewe hicho kilema ulichonacho unaweza kujibadili uwe sawa? kama wengine? Utajiitaje mungu wakati humiliki chochote,hata usingizi wako huna amri nao?
 
Aliponiacha hoi huyo CORONA ni kawapiga CHENGA hawa manabii na mitume wetu dunia mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna hata mmoja aliyeoteshwa ....
 
Kumbe Musa, Ibrahim na Yesu walikuwa waislam!!

Walifuata NGUZO TANO za uislam au hawakuzifuata?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Musa, Ibrahim na Yesu walikuwa waislam!!

Walifuata NGUZO TANO za uislam au hawakuzifuata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana nguzo za uislamu kwa Mussa na Ibrahim zikatafautiana na Za Muhammad, Lakini Nguzo kuu Moja haina Tofauti kwa wote.
Nayo ni.
'Bwana Mungu wetu ni Bwana Mungu Mmoja sikia ewe israili, Mpende kwa Moyo wako wote,akili yako yote na nguvu zako zote.....'
Na ya pili hii hapa
Yohana 17:17 Yesu akamwambia, β€œUsinishike; sijakwenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
 
Qur-an sura ya
16:22. Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera(siku ya kiama) nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna.
 

Mimi sio mjuzi wa yote ambaye naweza kujua uhitaji wa mtu hata kama hajaomba lift, pia mimi sina upendo wote kiasi kwamba nishindwe kumnyima lift, lakini pia mimi sina uwezo wote wa kuwasaidia kila mtu nitayekutana naye njiani kwa kumpa lift kulingana na uchache wa seat katika gari yangu

Mungu mwenye sifa za upendo wote, ujuzi wote, na uwezo wote hatakiwi kuwa na sababu yeyote ambaye inamfanya ashindwe kuzuia ubaya

Uwepo wa ubaya katika ulimwengu inaonesha wazi kua huyu Mungu mwenye sifa hizo hayupo

It's Scars
 
Kwasifa zako ulizozitaja unakusudia jambo la kufikirika ambalo kihalisia haliwezi kuwepo wala kuthibitishika.

Unaweza kuthibitisha?

It's Scars
 

Mara nyingi tunachanganya kati ya kumwamini Mungu na kuamini dini.Dini si sawa na Mungu.Mungu hayuko kimaslahi kama zilivyo dini.
 
Hapo sasa ngoja wafia dini waje na mapovu ,kuwepo kwa mungu ni story za kusadikika tuu ipo siku wataelewa tuu
 
Mkuu kwahiyo wewe huamini kama Mungu yupo!??
 
Hayupo

Angekuwepo kusingekua na mabaya ambayo yanaweza kumpelekea yeye kufa hapo baadae

It's Scars

Umejuaje hilo ? Yaani mabaya yanathibitsha vipi kutokuwepo kwa aliye fanya yawepo ?

Kuwepo kwa mabaya kunasababishwa na nini hasa ? Maana kauli yako haina maana, sababu huwezi kuthibitisha unachokidai kwani hakijawahi kuwepo.

Angalizo usijibu hoja kama hujaelewa, bora uulize kwanza kisha ujibu, nakusaidia tu hapa.
 
Sisi tusio na dini miaka mingi tumekua tukisema dini ni taasisi za kibiashara kama biashara zingine ila watu hawatuelewi. Zipo kwa ajili ya kunyonya na kuibia waumini kwa ahadi ya maisha baada ya kifo.

Kabla ya hii corona kikua na matangazo ya maombi, uponyaji, utendaji miuja, kukanyaga mfuta, uuzaji wa chumvi ya upako, maji ya baraka, maji toka mto Jordan na mambo kadha wa kadha.

Baada ya corona hizo hadith zimezima kama vile umeme unavyokatika, giza totoro.

Dini inatuamba nini kwenye hii corona?
 
Wewe mbumbumbu kaa kimya acha kuigilia imani za watu wakati hijui lolote kihusu Mingu. Nyie watoto kinachowadanganya ni pale tu ukisoma philosophia kidogo tu unajiona umepata facts za kusimamia. Leo nakukumbusha kwa maswali haya ukishindwa kujibu nenda kamche muumba wako.

1.Ilikuwaje Binadamu akawepo duniani?
2.Kwanini tunakufa?
3.Kwanini upo duniani?
4.Wewe ni Nani?
5.Unafikiri huu ulimwengu ilikuwaje Mpaka ukawepo?
6.Ulishawahi kumuona mtu Mwenye mashetani anavyokuwa? Je unafikiri waalimu wa Imani huwa wanafanya jambo gani anapona?
7.Kwanini wanasayansi hawajamtengeneza Binadamu mpaka sasa?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, yaani umekaa ukafikiriii ukaona kati ya maswali magumu au yenye mantiki uliyonayo ndio haya?

Kwa akili yako fupi unadhani kila kitu kukikataa au kukikubali lazima uwe umesoma, yaani hhna akili ya kuona, kufikiri na kuamua ila lazima uwe umesoma hilo jambo mahala flani, cha ajabu mtu kama wewe inawezekana kabisa una mume na watoto na familia, au wewe ni wale wanawake ambao wanaume hua tumasema tunaoa tu ila akili atatumia za mume wake.

Nikikujibu hizo hovyo hovyo zako ndio itakua ushahidi kua Mungu yupo?

Hebu rudi kwa mwenzako, umuomeb afikirie vizuri kisha akupe maswali yenye maana uje nikujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…