safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Anapokuwa yupo hai huyo Mtu.je yule msimamizi wa mambo yote na nguvu zote anakuwa yupo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kwanini kuwe na ulazima wa kuwepo kwa chanzo?
2. Haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
3. Nafsi ni nini?
4. Kabla ya kuzaliwa sikuwepo
5. Mimi ni mtu niko hapa duniani kwasababu mazingira haya yanaruhusu mimi kuwepo, na sitakuwepo endapo mazingira rafiki yakunifanya niwepo yakikosekana
6. Mtu anakufa kwasababu amekosa msimamizi mwenye uwezo wote+nguvu zote+ujuzi wote ambao ungemfanya aishi milele bila kufa
It's Scars
Sent using Jamii Forums mobile app