Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nitajie maandiko matatu tu katika Quran yanaoelezea sayansi.
Pia hakuna anayeweza kuikosoa Qur'an,,
Hii inaonesha dhahiri Uislamu ndio dini ya haki.
Kuna maandiko katika Qur'an zaidi ya miaka 1400 iliyopita inaeleza sayansi,, wanasayansi ndo wamekuja kugundua juzi tu.. Hii inaonesha dhahiri kuwa Qur'an ni maandiko ya Allah kupitia mjumbe wake Muhammad ( SAW)