Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #1,781
Elimu ni pamoja na kujibu swali kikamilifu na sio kuacha viporo au kutoa jibu ambalo halijakidhi vigezo vya kutosheleza kwa swaliUsichanganye mambo,kuna ujinga na kuna itifaki,hivi ni vitu viwili kando. Naongelea itifaki za kielimu,na kuna ujinga katika mada husika.
Ndiyo maana nikajupa marejeo ya kitabu,na uongo wa hizo dini unaanzia katika misingi ya dini husika.
Unapokuwa huna hoja usiwe unajadiliana na mimi. Hili ulitakiwa uwe ushalijua tangu wiki iliyopita nilipokuwekea kile kitabu.
Pili,usiruke swali langu la msingi umedai kuna dini zaidi ya elfu 10. Nataka uniwekee ushahidi wa kuonyesha ya kuwa zipo dini ya zaidi ya elfu 10 na utuambie hizi habari umezipata wapi,yaani utupe marejeo.
Marejeo gani uliyonipa ambayo yameeleza na kuwataja hao miungu wa hizo dini?
Hilo sio swali la msingi, kwasababu uthibitisho wa kwamba dini zipo zaidi ya 10k ni hiyo list ya miungu ambayo nimekuwekea kwa uchache tu inayoonesha hiyo miungu inaabudiwa na hizo dini.
Sasa kwasababu wewe umedai kua umesoma kila dini unatakiwa utuambie kwa mujibu wa source yako zipo dini ngapi?