Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Wewe Mungu umemjulia mwenzetu? Maana wengi wetu tumezalia na kukuta dini na ndiyo tumemjulia Mungu huko,je wewe hivyo umjuavyo wewe ulimjulia wapi?
Unaniuliza swali ambalo unalijua ngoja nami nikujibu jibu nalolijua nimemjulia kwenye sayari ya Saturn.
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?

Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kua maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?

Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.

Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?

Ngoma inaingia tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kua tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.

Lakini tunachokiona mpaka saizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.

Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.

Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but i ain't laughing?

Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona vatican, mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.

Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?

Kwanini mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?

Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?

Hivi kweli mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?

Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?

====

Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Daah umeeandika mauza uza matupu ni lini ulisikia mashekhe wakisema wanaponya maradhi na kuponyesha vilema na kufukua misukule?...jiangalie weeh jamaa hujielewi unataka uamini nini kama Mungu yupo ilhali unaishi dunia yenye mbingu haina nguzo?unataka ishara gani ya uwepo wa mungu?au nani kakuambia ukitoa sadaka basi utaishi bila tatizo?Sasa mungu ndo anaonyesha ukubwa wake bila kubagua kwa haya maradhi utoe sadaka usitoe ushinde kwny ibada uwe tajiri yeye ndo keshafanya yake
 
Hivi kweli mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?

Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?

====

Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Nimependezewa na Hojaji zako za Kuonesha kuwa Mungu unayemjuwa wewe si wa kweli na hayupo.
Ila Ujuwe kuwa Mungu wa Uislamu Yupo na hashindwi na jambo lolote.
Lakini pia ujuwe hili janga limesababishwa na Maasia yetu wanadamu ,na ndo maana yeye Mungu analeta kama angalizo la kutuzindua ili tukumbuke kuwa sisi ni waumbwa(viumbe)
Ikiwa Kiumbe MinuteAsiyeonekana kwa macho ( Corona virus ) ameweza kusimamisha shughuli zote duniani na kutuletea taharuki, na binadamu tayari kashashindwa na la kufanya, Vipi Hasira za Muumba Mwenyewe?
Unadhani tunaweza sisi kuishi kwa masharti hayo yaliyowekwa na watu wa afya kwa siku zote ?
Ikiwa hatutatakiwi kukusanyika,kugusana,na kutoka nje ovyo unadhani huyu mdudu akiendelea kuwepo kwa mwaka mmoja,kuna maisha kweli tena hapa duniani?
Ikiwa Muungu Kaamua kutupa Adabu kwa kumkosea ,na kwa hakika sisis wote ni wakosefu sana mbele zake, utashindaje bila ya kuungama na kuomba msaada wake?
Uislamu unatufunza
Quran Tukufu sura ya pili Mstari wa 155 [Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri ]
 
Hebu pitia table hiyo hapo chini uone nchi zilizo athirika zaidi duniani.
Utajifunza kitu hapo.
Saudi arabia hakuna kifo kilichoripotiwa hata kimoja.
Lakini Vatikan ndo inaongoza kwa vifo.
Huu ni mpango wake Mumba ,si ujanja wala elimu.
Hata china ,tayari hali ime anza kubadilika,lakini zuio la kutoka nje bado liko pale plae.
Mungu anataka Kuonesha uwezo wake ili watu watubu na Kuacha uovu wao.
Confirmed Cases and Deaths by Country, Territory, or Conveyance
The coronavirus COVID-19 is affecting 188 countries and territories around the world and 1 international conveyance (the Diamond Princess cruise ship harbored in Yokohama, Japan). The day is reset after midnight GMT+0.


Report coronavirus cases
Search:

Country,
Other
Total
Cases
New
Cases
Total
Deaths
New
Deaths
Total
Recovered
Active
Cases
Serious,
Critical
Tot Cases/
1M pop
China81,054+463,261+672,4405,3531,84556
Italy53,5784,8256,07242,6812,857886
Spain28,572+3,0761,725+3442,12524,7221,785611
USA26,905+2,698348+4617826,37970881
Germany23,129+76593+920922,8272276
Iran21,638+1,0281,685+1297,63512,318258
France14,4595621,58712,3101,525222
S. Korea8,897+98104+22,9095,88459174
Switzerland7,225+362801317,014141835
UK5,018240+7934,6852074
Netherlands3,63113623,493354212
Belgium3,401+58675+82633,063288293
Austria3,026+349+193,00815336
Norway2,244+80762,23128414
Sweden1,77021+1161,73368175
Portugal1,600+32014+251,58126157
Denmark1,395+691311,38142241
Canada1,331+320+1141,297135
Malaysia1,306+12310+21141,1822640
Australia1,286+2147461,233250
Brazil1,201+231821,181186
Japan1,05436215803558
Czechia1,047+5261,041798
Turkey9472192611
Israel945+6213790720109
Luxembourg798+1288678431,275
Ireland7853577713159
Pakistan730+853137143
Diamond Princess712856713715
Finland626+1031106152113
Thailand599+18814455479
Iceland568+951556211,665
Poland563+277+213543315
Chile53718528728
Ecuador53273522230
Greece53013194981851
Indonesia514+6448+10294372
Qatar481274546167
Romania433+662+2643671423
Singapore43221402901474
Saudi Arabia3921637611
Slovenia383138212184
Philippines380+7325+61534013
India360+287+2243290.3
Bahrain332+2211491824195
Estonia326+2043222246
Peru31851312510
Russia3061162892
Egypt29410422423
Hong Kong2744100170437
Mexico251+482424512
Lebanon248+1848236436
Panama24531241757
South Africa24022384
Croatia235+2915229557
Iraq233+1920+3571566
Argentina225+674271945
Colombia210+141+132064
Armenia190+302188264
Serbia188+1712185422
Kuwait188+1227161544
Slovakia1787171233
San Marino175+15204151135,158
Bulgaria174+1133168325
Taiwan169+162281397
UAE153238113215
Algeria1391565593
Latvia139+15113874
Uruguay135+25135239
Hungary131+286+216109614
Costa Rica11722113223
North Macedonia114+291113155
Dominican Republic112310910
Morocco108+123310213
Lithuania105+611103139
Jordan10019910
Vietnam99+5178221
Bosnia and Herzegovina931290128
Faeroe Islands923891,883
Albania89+132285231
Andorra881+118621,139
Cyprus841380370
Brunei831822190
Sri Lanka82+537924
Moldova801178320
Belarus7615618
Tunisia75+153+217176
Malta732711165
Venezuela70155522
New Zealand66+146614
Burkina Faso6435563
Palestine59+6174212
Guadeloupe561554140
Senegal565513
Oman55+3134211
Georgia54+5153114
Kazakhstan54543
Azerbaijan53111415
Cambodia532513
Trinidad and Tobago494935
Ukraine4731431
Réunion474752
Uzbekistan42+1421
Cameroon402382
Martinique37136799
Liechtenstein3737970
Afghanistan34+101330.9
Channel Islands3232184
Bangladesh27+323220.2
Guam27+121+126160
Nigeria26+41250.1
Honduras26+2263
DRC231220.3
Puerto Rico23+21228
Paraguay2212113
Cuba211202
Ghana211200.7
Macao20+1101031
Jamaica1912166
Bolivia19192
Guyana1811723
Mauritius18+411714
Monaco18117459
French Guiana181860
Guatemala171160.9
Rwanda17171
Montenegro161625
Togo16162
French Polynesia151553
Barbados141449
Ivory Coast141130.5
Kyrgyzstan14142
Maldives1331024
Tanzania12+6120.2
Ethiopia11+2110.10
Mayotte111140
Gibraltar1028297
Mongolia10103
Aruba8+31775
Kenya770.1
Seychelles7771
Equatorial Guinea664
U.S. Virgin Islands6657
Gabon5142
Isle of Man5+3559
Saint Martin55129
Suriname559
Bahamas4410
New Caledonia4414
Eswatini4+343
Cayman Islands31246
Curaçao31218
Cabo Verde335
CAR330.6
Congo330.5
El Salvador330.5
Liberia330.6
Madagascar330.1
Namibia331
St. Barth33304
Zimbabwe330.2
Sudan2110.05
Angola220.06
Benin220.2
Bermuda2232
Bhutan223
Fiji222
Greenland2235
Guinea220.2
Haiti220.2
Mauritania220.4
Nicaragua220.3
Saint Lucia2211
Zambia220.1
Nepal1100.03
Antigua and Barbuda1110
Chad110.06
Djibouti111
Eritrea110.3
Gambia110.4
Vatican City111,248
Montserrat11200
Niger110.04
Papua New Guinea110.1
St. Vincent Grenadines119
Sint Maarten1123
Somalia110.06
Timor-Leste110.8
Uganda110.02
Total:316,06111,07113,59759095,892206,57210,12640.5
Highlighted in green
= all cases have recovered from the infection
Highlighted in grey
= all cases have had an outcome (there are no active cases)
The "New" columns for China display the previous day changes (as China reports after the day is over). For all other countries, the "New" columns display the changes for the current day while still in progress.
 
Unaweza kupitia hii website kujionea hali halisi.
Coronavirus Update (Live): 316,409 Cases and 13,599 Deaths from COVID-19 Virus Outbreak - Worldometer

Mungu ni Mkuu na ahimidiwe asubuhi na jioni ,
Tunaomba msamaha kwa mapungufu yetu .
Tumekoma ,kwa ubaya wa matendo yetu,tusamehe na utuepushe na Corona, kila aina ya Hasira yako.
Sisi kwako ni wanyonge tusio weza lolote.
Hata raisi wetu kanukuu Qur-an leo kwenye hotuba yake .
Quran Tukufu pia kitabu cha Al Baqara sura ya pili Mstari wa 155 [Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri ]
 
Hivi ukiacha masuala ya movie,habari za spiderman utaziongelea wapi tena nje ya movie? Ila kuna watu mfumo wao wa maisha umeathiriwa na suala la Mungu,uelewa wao kuhusu dunia umeathiriwa na suala la Mungu.

Unafananisha vp na suala la spiderma?

Popote unaweza kuziongelea

Kumbuka ishu sio kuziongelea, ishu ni uhalisia wa kitu husika.

Kitu chochote cha kufikirika kinaweza kujadiliwa katika mazingira yeyote yale lakini hiyo haimaanishi kitu hicho ni real


Mungu unaweza kumjadili sehemu gani ambayo spiderman au kitu kingine hakiwezi kujadilika katika mazingira hayo?

It's Scars
 
Virusi vya corona vimekuja kuthibitisha wazi kua maombi hayana msaada wowote kwenye maisha ya binadamu na wala dini haiwezi kuwaokoa binadamu na janga lolote la asili hivyo kuabudu na kufanya maombi ni kazi bure.

Juzi niliona Italy wakitembeza msalaba na sanamu la maria mama wa yesu angani ili kuwaokoa, kilichofuatia ni vifo vingi zaidi vya watu.

Jana niliona video clip Gwajima akisihi watu kunawa mikono, nikajiuliza ameshindwa kuombea watu hili gonjwa lipite au mungu wake anachagua magonjwa ya kuponya na ya kuacha yaue watu maana mara nyingine hua wanadai wanaombea na kuponya ukimwi, kansa, nk, je corona mungu haiwezi?

Corona imevamia Italy hadi vatcan imeua mapadri, viongozi wakubwa wa kidini vatcan(petro alipojenga kanisa-mwamba)wanakufa kwa corona, mwamba unaenda kuanguka, siku corona ikimvaa papa ndio tutajua hatujui.

Haya mambo ya dini, maombi na sala ni ya watu, hayawezi kumsaidia binadamu kwa chochote. Mungu anaeshindwa kuzuia majanga na magonjwa ataweezaje kuyaondoa kwa maombi ya binadamu kama yeye na malaika wameshindwa kuzuia kabla?

Tuendelee kuomba ndugu zangu[emoji3]
A bitter truth

I don't need a God

Who doesn't put us away from this disaster today

But promises us heaven tomorrow

It's Scars
 
Kuna kuomba na kuomba kwa imani...know the difference

Wenye imani watabaki kuamini imani ina/itawaponya
Hivi unafikiri Vatican na mekka hawalijui hili, mpaka wameamua kuzuia watu wasiende kwao ??

Unafikiri kuomba kwa imani kungekua ni kweli kuna leta impact chanya unadhani kulikua na sababu yeyote wao kupiga ban watu wasiende kufanya shughuli za kiimani huko kwao??

It's Scars
 
Kama corona ni mpango wa mungu basi watu wa dini ni wanafiki maana katika maombi yao tunawaskia kua wakisema corona ni kazi ya shetani hivyo wote tusali ili mungu atuepushie

Lakini ikiwa kama kweli hoja yako ya kusema Corona ni mpango wa mungu, na tunaona corona ikiiua hadi watoto wadogo basi utakubaliana na mimi kua shetani ni bora zaidi kuliko Mungu



It's Scars
Hapana mungu atabaki kuwa mungu hata Kama hakutenda Kama tunavyotaka, kuna kitu mungu anataka tujifunze kupitia corona na ni lazima uelewe kuwa mungu hujibu maombi yetu kwa wakati wake. Kwani wewe ukimwomba baba yako kitu akakunyima atakuwa siyo baba yako tena?
 
Allah/ Mwenyezi Mungu alivyoleta manabii na mitume ni kwa ajili ya Kuonya na Kubashiri sio kuleta maombi watu wasife, na lau kifo kingekuwa na auheni basi wangelipewa hao mitume na manabii umri mrefu hadi leo wangekuwepo ili waendelee kutubashiria na kutuonya.

Hivyo kuwepo kwa viongozi au waumini si ishara ya kuzuia yale atakayo Allah yatendeke. Sisi ni kuendelea kumuomba na kumtumainia yeye (kwa maana dua na ibada zinapunguza au kuondosha mabalaa na mitihani) na kuchukua asbabu (ushauri kutoka kwa mamlaka na wataalamu wa afya) tu ndio wajibu wetu.

Huyu mungu anayeleta mitume na manabii ili awaonye watu, inamaana hana uwezo wa kujua kitacho tokea mbele kabla hakijatokea?

Mungu mjuzi wa yote, akishajua kua hata akiwatuma hao manabii na mitume kuna watu bado hawataelewa kulikua na sababu yeyote kuwaadhibu hao watu wakati alikwisha kujua kua hawataelewa?

Kwanini awaadhibu wakati uwezo wote wa kuwafanya wafanye yale yatakayompendeza yeye alikua nao?

kwanini hakubadilisha mbinu itayofanya watu wote wamuelewe bila utata?

Kama kabla hata hujazaliwa mungu aliweza kujua hatma yako yote kwasababu yeye ni mjuzi wa yote.

Inamaana wewe ukizaliwa ni lazima utapita mule mule alipoona mungu bila kwenda kinyume.

Sasa mungu atakuhukumu kwa kosa gani wakati alishajua kua utakosea na uwezo wa kukuepusha alikua nao sasa kwanini akakuacha uanguke katika hiyo dhambi bila kukuepusha nayo??

Inamaana kimsingi naye alitaka ufanye hilo jambo, kwasababu asingetaka ulifanye angekuepusha nalo hata kabla hujazaliwa.


It's Scars
 
Sawa mie mtumwa ila wewe utakuwa mjinga,kwa sababu huyo Mungu haonekani wala hakuna njia ya kuwasiliana nae kwa kuweza kumuhoji. Sasa huko kuhoji unamuhoji nani? Au mwenzetu unaonanae huyo Mungu ndio maana unajisifu kuhoji?

Kwa sababu kama unaamini Mungu(mtumwa wa Mungu) na hauamini dini(sio mtumwa wa dini) basi huko kuhoji kwako inatakiwa umuhoji Mungu mwenyewe na sio kuhoji dini halafu unajisifu kuhoji.

Unajitia misifa ambayo mwenyewe unajiona una akili sana upo huru kumbe ni ujinga,huwa unanifurahishaga kweli.

Ushawahi kumhoji Mungu hata jambo moja tu?

Swala la kutoonekana sio kinga inayokuzuia ushindwe kuthibitisha uwepo wake



It's Scars
 
Teh...ukishashiba ugali wa matembele lazima uwe na mentality za dizaini hii, kuna magonjwa hatari ya tauni yamewahi kuangamiza mamilioni ya watu huko nyuma achana na hii korona, watu waliomba na Mungu akaingilia kati. Najua kwa akili yako fupi utafikiri yalitokomea tu by chance..

Hibi unaelewa kukiwa na mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, na mwenye upendo wote hakutakiwi kuwe na ugonjwa wa aina yeyote utao angamiza kiumbe chochote?

It's Scars
 
Hivi unafikiri Vatican na mekka hawalijui hili, mpaka wameamua kuzuia watu wasiende kwao ??

Unafikiri kuomba kwa imani kungekua ni kweli kuna leta impact chanya unadhani kulikua na sababu yeyote wao kupiga ban watu wasiende kufanya shughuli za kiimani huko kwao??

It's Scars
Muunngu umjuwae wewe si ,Mungu wa kweli.
Lakini Mungu wa kweli hasa ,Huwapa waja wake majaribu,mitihani ,na dhoruba ,ili kuwatambulisha walio waumini halisi na wanafiki wazushi wapenda raha za hii dunia akina wewe.
Hukuletwa duniani ili ustarehe tuu,bali upambane na Asili. Huondo mpango wake mungu.
Kamtazame Yesu, Alikumbana na Mikiki kutoka kwa mwana damu pasi na makosa yoyote.
Mtazame ,Mussa aliishi Nyumbani kwa Farao,lakini hatimae walikimbizana na kutaka kuuwawa.
Hata baada ya Farao kuzamishwa,wana wa israili walijitokeza wanafiki wakaunda Mungu wa Sanamu kama Unavyo tamani wewe na wakamuacha Mungu wa kweli.
Hatukushangai kuwawewe Mungu wako ni wa Raha tuu, na akikujaribu humtaki tena.
Umefeli mtihani
 
nadhani kwa vizazi viliyopita Mungu/Allah alikuwa anasikiliza maombi ya wanadamu na kuyafanyia kazi haraka.

ila kwa kizazi hiki cha wachungaji wanzinzi(kama gwajima), matepeli(kama wale mashehe wa instagram),Mungu kaamua kula pozi kidogo ili tunyoke.

Mungu kazia hapohapo ili hawa manabii na wachungaji feki wa kizazi hiki wapate kuumbuka.
Hivi unajua kwa sifa za Mungu alizonazo hata uwepo wa hao masheikh na wachungaji wenye tabia mbaya kunaonesha kabisa ni mpango wa mungu watu hao waje kua na tabia hizo chafu??

Kwasababu mungu alikwisha kujua litakalotokea mbeleni kabla hata hao masheik na wachungaji hawajazaliwa.

Kumbuka uwezo wa kuzuia alikua nao endapo angetaka kuzuia uchafu huo usifanyike, kwasababu yeye ni muweza wa yote.

Unaelewa kua mungu ndiye controller wa huu ulimwengu hivyo hakuna jambo lolote linaloweza kufanyika bila yeye kuliruhusu lifanyike?

Unaelewa Kwa minaajili hiyo mapasta na masheikh kulaumiwa kwa walichokifanya ni kuwaonea?

It's Scars
 
Pap mwenyewe kapata corona hahaha, nishasema humu mara kibao dini ni upuuzi uliotungwa watu wameshika kwa sababu tu walizaliwa wakatishiwa kuchomwa moto siku ya mwisho.

Biblia ina makosa mengi mno, quran vilevile. Ila wakisoma wanatafuta kila njia kutetea upuuzi hadi watu wenye phd zao hahaha so stupid.Na waache upuuzi wa kwenda kukusanyika makanisani nchi nyingine makanisa ndiyo yamesababisha milipuko hii.
 
Back
Top Bottom