UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sijamwita chizi kwa sababu sababu ya Mungu,mbona wewe hauamini Mungu na sijakwita chizi? Mara zote sie tunaoamini Mungu huwa tunaitwa machizi na majina ya kila aina kisa tu tunaamini Mungu na huyo jamaa ni mmoja wenye kuongea maneno mabovu kwa sie wenye kuamini Mungu na hujiona ana akili sana kisa tu haamini Mungu.We uhuru jr Una uhuru wa kumuita chizi mwenzako kisa mungu, lakini hauna uhuru kuthibitisha uwepo wake?
It's Scars
Sasa nashangaa kaja na sababu ya kichizi kueleza et kwanini watu wanaamini Mungu,mtu mwenye akili timamu hawezi kuja na sababu kama hiyo aliyokuja kutueleza hapa.
Wewe ndio hauna uhuru wa kuthibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu,na kwa sababu umeambiwa kisichokuwepo hakithibitishiki.