Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Hakuna maswali ya msingi ambayo umeyajibu,hii inatudhihirishia kuwa wewe imma ni mwehu au mjumbe mjinga asiyejua alichotumwa.

Tufanye kweli mimi mwehu

Huoni uwehu wangu unaonesha kua mungu muweza wa yote, ujuzi wote na upendo wote hayupo?

It's Scars
 
Hakuna sehemu ambayo nimesema sijui huu ugonjwa kama ameuleta Allah.

Kijana naona una wenge kubwa sana, hii nahisi husababishwa na uoga wa kukimbia maswali na kujibu maswali.

UKwaiyo unakubali kua ugonjwa huu ni mpango wa allah kuwadhuru watu sio?

It's Scars
 
Ni kweli simjui mola na wala hujafanya kosa, ila ukishindwa kuthibitisha yupo basi wewe ndio utakua zaidi ya zuzu

Thibitisha mola yupo

It's Scars
Kama nilivyokueleza mwanzo narejea tena,Kuna vitu akili yako haiwezi kuvidiriki. Hii hoja ulitakiwa kukubali au kupinga kwanza.
Mola muumba ametuthibitishia yeye mwenyewe kuwa yupo. Na yuko mbinguni sisi ni juu yetu kuamini. Sasa wewe kama unataka kitu ukione ndo uamini kuwa kipo hebu tuambie roho ipo sehemu gani katika kiwiliwili chako?
Nithibitishie mahali ilipo akili.
 
Unajuaje kua kuran imesema ukweli?
1.KUTUMIA AKILI ZANGU, NAJUWA QUR-AN IMESEMA UKWELI
2.Kwa facts ilizozitaja ambazo zinaonekana na kukubalika bila kupingika , inanipa uthibisho huo..
3.Qur-an ndio iliyotupa kanuni za maisha ambazo hata wewe unazitumia bila kujijua,ikiwemo kuvaa nguo, usafi,namna ya kuishi salama kijamii, na kula vyakula vilivyo vizurina salama kwa afya zetu na kuacha vyakula vibaya na hatarishi kwa afya zetu.
4.Utambuzi wa Mwanzo wa Viumbe na mwisho wao. Facts za Uhai na Umauti ambazo huwezi kuzijuwa kokote pale.
Kwa hiyo Quran is a book of Facts and Proofs of presence of Gog Almighty

sasa nioneshe wewe kinyume cha hayo
onesha kuwa kitabu hiki kina sema uwongo na kwa hiyo.
Mungu hasemi uongo.
na kwa hiyo itakuwa Hayupo.
Lete uthibitisho wako wa kutokuwepo Mungu pls
 
Sio kosa lako Holi kosa la kimfumo. Maana ya ujinga ulifundishwa kuwa ni mtu asiyejua kusoma na kuandika. Hii tafsiri si sahihi bila shaka ilitumika Kama hamasa tu ya watu waweze kujifunza kusoma na kuandika. Tafsiri ya ujinga ni kutojua jambo, hapa anaingia kila binadamu kwenye hii tafsiri. Kila mtu ni mjinga kwa asichokijua kama wewe ulivyo mjinga kwenye dini.

Sijataka kuchagua ujinga na ndio maana sijataka kuamini mungu yupo, nipo kwenye zone ya kujua

Thibitisha mungu yupo

It's Scars
 
Tufanye kweli mimi mwehu

Huoni uwehu wangu unaonesha kua mungu muweza wa yote, ujuzi wote na upendo wote hayupo?

It's Scars
Unajua ulichokiandika? Kama umekiri kuwehuka ni mahali gani mwehu anaupata utambuzi?
 
Unakubali kwamba sio kila hoja ni jibu ?
Kabla ya kwenda huko

Wewe umekubali kua hoja yangu kutoafikiana na hoja yako haifanyi hoja yako kua jibu sahihi?

It's Scars
 
Sijataka kuchagua ujinga na ndio maana sijataka kuamini mungu yupo, nipo kwenye zone ya kujua

Thibitisha mungu yupo

It's Scars
Umekiri kuwa mwehu hapo juu,hii imepelekea mpaka baadhi ya comments tunazotoa kushindwa kuzidiriki. Rejea huko juu.
 
Kama nilivyokueleza mwanzo narejea tena,Kuna vitu akili yako haiwezi kuvidiriki. Hii hoja ulitakiwa kukubali au kupinga kwanza.
Mola muumba ametuthibitishia yeye mwenyewe kuwa yupo. Na yuko mbinguni sisi ni juu yetu kuamini. Sasa wewe kama unataka kitu ukione ndo uamini kuwa kipo hebu tuambie roho ipo sehemu gani katika kiwiliwili chako?
Nithibitishie mahali ilipo akili.

Nirejee mwanzo kufanya nini wakati huko ndio nilikotoka?

Katika vitu ambavyo siwezi kuvidiriki kweli ni pamoja na uwepo wa mungu usio kua na uthibitisho

Mola amekuthibitishia kua yeye yupo ukiwa wewe na nani?

Kama amekuthibitishia kwanini wewe ushindwe kunithibitishia mimi hapa?

It's Scars
 
1.KUTUMIA AKILI ZANGU, NAJUWA QUR-AN IMESEMA UKWELI
2.Kwa facts ilizozitaja ambazo zinaonekana na kukubalika bila kupingika , inanipa uthibisho huo..
3.Qur-an ndio iliyotupa kanuni za maisha ambazo hata wewe unazitumia bila kujijua,ikiwemo kuvaa nguo, usafi,namna ya kuishi salama kijamii, na kula vyakula vilivyo vizurina salama kwa afya zetu na kuacha vyakula vibaya na hatarishi kwa afya zetu.
4.Utambuzi wa Mwanzo wa Viumbe na mwisho wao. Facts za Uhai na Umauti ambazo huwezi kuzijuwa kokote pale.
Kwa hiyo Quran is a book of Facts and Proofs of presence of Gog Almighty

sasa nioneshe wewe kinyume cha hayo
onesha kuwa kitabu hiki kina sema uwongo na kwa hiyo.
Mungu hasemi uongo.
na kwa hiyo itakuwa Hayupo.
Lete uthibitisho wako wa kutokuwepo Mungu pls

Akili inathibitisha vipi kua kuran imesema ukweli?

Hapa hata mkristo anaweza kuku-challenge kua habari za muhamad kupasua mwezi hazikubaliki katika msingi wa akili

Unajuaje kua kanuni za maisha zilikuwepo tangu kitambo na kuran imefanya kuandika vitu ambavyo imevikuta ili ijinasibishe na uhalisia?

It's Scars
 
Unajua ulichokiandika? Kama umekiri kuwehuka ni mahali gani mwehu anaupata utambuzi?
Unaelewa ulichokijibu?

Kama nimekiri kua mwehu na wewe ukaelewa kua mimi ni mwehu hupaswi kumuuliza maswali kwasababu mwehu hana utambuzi?

Unaelewa hilo swali lako tu kulielewa pia ni utambuzi?

Unaelewa kua ukishajua mwehu hana utambuzi huwezi kuuliza hilo swali??

It's Scars
 
Umekiri kuwa mwehu hapo juu,hii imepelekea mpaka baadhi ya comments tunazotoa kushindwa kuzidiriki. Rejea huko juu.
Na baada ya mimi kukiri kua mwehu umekubali kua mungu mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote hayupo?

Katika ulimwengu ambao mungu mwenye sifa hizo yupo hauwezi kua na watu wanao kiri kua wehu wala neno wehu lisingeweza kuwepo

It's Scars
 
Nirejee mwanzo kufanya nini wakati huko ndio nilikotoka?

Katika vitu ambavyo siwezi kuvidiriki kweli ni pamoja na uwepo wa mungu usio kua na uthibitisho

Mola amekuthibitishia kua yeye yupo ukiwa wewe na nani?

Kama amekuthibitishia kwanini wewe ushindwe kunithibitishia mimi hapa?

It's Scars
Usiwe mtu wa kuruka hoja, baadhi unajibia zingine unaacha. Hizo unazoziacha unatakiwa utolee majibu kama umeishiwa hoja kunja hema. Kama umekiri kuwa Kuna vitu huwezi kuvidiriki kwa upeo wako na akili,ni upi msingi wa swali lako la kutaka kuthibitishiwa kuwepo kwa mola muumba?
Na ukirudi kwenye comment yangu umeshindwa kunithibitishia uwepo wa akili kwenye kiwiliwili chako. Na pia haujaeleza msimamo wako kuhusu roho na utambuzi ulionao na wapi ilipo? Tokea majibu hoja hizo kwanza.
 
Na baada ya mimi kukiri kua mwehu umekubali kua mungu mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote hayupo?

Katika ulimwengu ambao mungu mwenye sifa hizo yupo hauwezi kua na watu wanao kiri kua wehu wala neno wehu lisingeweza kuwepo

It's Scars
Baada ya wewe kukiri kuwa mwehu nimepata majibu ya kuwa hoja ulizozileta si kwa matakwa yako.
Kwasababu umekosa utambuzi.
 
Nirejee mwanzo kufanya nini wakati huko ndio nilikotoka?

Katika vitu ambavyo siwezi kuvidiriki kweli ni pamoja na uwepo wa mungu usio kua na uthibitisho

Mola amekuthibitishia kua yeye yupo ukiwa wewe na nani?

Kama amekuthibitishia kwanini wewe ushindwe kunithibitishia mimi hapa?

It's Scars
Ha ha!!

Jamaa maswali yako magumu sana.

Kuna miungu zaidi ya 3,000 watuambie kwanza yupi ni wa kweli? Kila mtu anasema wake ndio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanisani na misikitini wanavyofundishwa kua ombeni nanyi mtapewa na hakuna kinacho shindikana mbele za mungu endapo utaomba, kwanini sasa wasiombe dua kazi zao zifanyike kama kweli dua inafanya kazi kwa namna ambavyo wao wamefundishwa?

It's Scars
Nimekuuliza ulitaka wasifanye kazi wala kushughlika na taaluma zao?
 
Kwenye Theology ukisoma vizuri utakuta hizi Abrahamic religions (Judaism, Christianity, Uislam) ni fabrications tu, hazina ukweli wowote na ndiyo maana wachungaji wa siku hizi baada ya kusoma na kugundua ukweli huo wanacheza na akili za waumini wao kwa sababu wanajuwa hizi dini hazina ukweli wowote ule. Mfano kuna huyu nabii wa Kinigeria aitwaye T.B. Joshua, huyu jamaa baada ya kuchunguza nimekuta ni mshirikina kupindukia ila anatumia jina la Mungu kurubuni waumini wake kwa kuwachezea akili. HAKUNA kitabu chenye madhambi kama Qur'an.....ukitaka kumtupia mtu marogo/uchawi vyote vinapatikana kwenye hiki kitabu, ukitaka kuua mtu pia unapata humo humo ndani ya Qur'an, hivi iweje Mungu atukataze kuuana then ashushe Qur'an na kuruhusu waarab mauwaji aliyokataza? Waafrika tuache ujinga, amkeni mmechezewa akili far too long kwa kisingizo cha dini. Huko Italia na nchi kibao duniani wau wanasali kwa Mungu aondoe Coronavirus, Mungu hawasikii, why?
Kwahiyo unashauri nini?
 
Back
Top Bottom