Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nilivyokueleza mwanzo narejea tena,Kuna vitu akili yako haiwezi kuvidiriki. Hii hoja ulitakiwa kukubali au kupinga kwanza.Ni kweli simjui mola na wala hujafanya kosa, ila ukishindwa kuthibitisha yupo basi wewe ndio utakua zaidi ya zuzu
Thibitisha mola yupo
It's Scars
1.KUTUMIA AKILI ZANGU, NAJUWA QUR-AN IMESEMA UKWELIUnajuaje kua kuran imesema ukweli?
Sio kosa lako Holi kosa la kimfumo. Maana ya ujinga ulifundishwa kuwa ni mtu asiyejua kusoma na kuandika. Hii tafsiri si sahihi bila shaka ilitumika Kama hamasa tu ya watu waweze kujifunza kusoma na kuandika. Tafsiri ya ujinga ni kutojua jambo, hapa anaingia kila binadamu kwenye hii tafsiri. Kila mtu ni mjinga kwa asichokijua kama wewe ulivyo mjinga kwenye dini.
Unajua ulichokiandika? Kama umekiri kuwehuka ni mahali gani mwehu anaupata utambuzi?Tufanye kweli mimi mwehu
Huoni uwehu wangu unaonesha kua mungu muweza wa yote, ujuzi wote na upendo wote hayupo?
It's Scars
Umekiri kuwa mwehu hapo juu,hii imepelekea mpaka baadhi ya comments tunazotoa kushindwa kuzidiriki. Rejea huko juu.Sijataka kuchagua ujinga na ndio maana sijataka kuamini mungu yupo, nipo kwenye zone ya kujua
Thibitisha mungu yupo
It's Scars
Kama nilivyokueleza mwanzo narejea tena,Kuna vitu akili yako haiwezi kuvidiriki. Hii hoja ulitakiwa kukubali au kupinga kwanza.
Mola muumba ametuthibitishia yeye mwenyewe kuwa yupo. Na yuko mbinguni sisi ni juu yetu kuamini. Sasa wewe kama unataka kitu ukione ndo uamini kuwa kipo hebu tuambie roho ipo sehemu gani katika kiwiliwili chako?
Nithibitishie mahali ilipo akili.
1.KUTUMIA AKILI ZANGU, NAJUWA QUR-AN IMESEMA UKWELI
2.Kwa facts ilizozitaja ambazo zinaonekana na kukubalika bila kupingika , inanipa uthibisho huo..
3.Qur-an ndio iliyotupa kanuni za maisha ambazo hata wewe unazitumia bila kujijua,ikiwemo kuvaa nguo, usafi,namna ya kuishi salama kijamii, na kula vyakula vilivyo vizurina salama kwa afya zetu na kuacha vyakula vibaya na hatarishi kwa afya zetu.
4.Utambuzi wa Mwanzo wa Viumbe na mwisho wao. Facts za Uhai na Umauti ambazo huwezi kuzijuwa kokote pale.
Kwa hiyo Quran is a book of Facts and Proofs of presence of Gog Almighty
sasa nioneshe wewe kinyume cha hayo
onesha kuwa kitabu hiki kina sema uwongo na kwa hiyo.
Mungu hasemi uongo.
na kwa hiyo itakuwa Hayupo.
Lete uthibitisho wako wa kutokuwepo Mungu pls
Unaelewa ulichokijibu?Unajua ulichokiandika? Kama umekiri kuwehuka ni mahali gani mwehu anaupata utambuzi?
Na baada ya mimi kukiri kua mwehu umekubali kua mungu mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote hayupo?Umekiri kuwa mwehu hapo juu,hii imepelekea mpaka baadhi ya comments tunazotoa kushindwa kuzidiriki. Rejea huko juu.
Usiwe mtu wa kuruka hoja, baadhi unajibia zingine unaacha. Hizo unazoziacha unatakiwa utolee majibu kama umeishiwa hoja kunja hema. Kama umekiri kuwa Kuna vitu huwezi kuvidiriki kwa upeo wako na akili,ni upi msingi wa swali lako la kutaka kuthibitishiwa kuwepo kwa mola muumba?Nirejee mwanzo kufanya nini wakati huko ndio nilikotoka?
Katika vitu ambavyo siwezi kuvidiriki kweli ni pamoja na uwepo wa mungu usio kua na uthibitisho
Mola amekuthibitishia kua yeye yupo ukiwa wewe na nani?
Kama amekuthibitishia kwanini wewe ushindwe kunithibitishia mimi hapa?
It's Scars
Baada ya wewe kukiri kuwa mwehu nimepata majibu ya kuwa hoja ulizozileta si kwa matakwa yako.Na baada ya mimi kukiri kua mwehu umekubali kua mungu mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote hayupo?
Katika ulimwengu ambao mungu mwenye sifa hizo yupo hauwezi kua na watu wanao kiri kua wehu wala neno wehu lisingeweza kuwepo
It's Scars
Ha ha!!Nirejee mwanzo kufanya nini wakati huko ndio nilikotoka?
Katika vitu ambavyo siwezi kuvidiriki kweli ni pamoja na uwepo wa mungu usio kua na uthibitisho
Mola amekuthibitishia kua yeye yupo ukiwa wewe na nani?
Kama amekuthibitishia kwanini wewe ushindwe kunithibitishia mimi hapa?
It's Scars
Nimekuuliza ulitaka wasifanye kazi wala kushughlika na taaluma zao?Makanisani na misikitini wanavyofundishwa kua ombeni nanyi mtapewa na hakuna kinacho shindikana mbele za mungu endapo utaomba, kwanini sasa wasiombe dua kazi zao zifanyike kama kweli dua inafanya kazi kwa namna ambavyo wao wamefundishwa?
It's Scars
Hoja zipi zinafanya madai yako ya kuwa hakuna Mungu kuwa kweli?
Kwahiyo unashauri nini?Kwenye Theology ukisoma vizuri utakuta hizi Abrahamic religions (Judaism, Christianity, Uislam) ni fabrications tu, hazina ukweli wowote na ndiyo maana wachungaji wa siku hizi baada ya kusoma na kugundua ukweli huo wanacheza na akili za waumini wao kwa sababu wanajuwa hizi dini hazina ukweli wowote ule. Mfano kuna huyu nabii wa Kinigeria aitwaye T.B. Joshua, huyu jamaa baada ya kuchunguza nimekuta ni mshirikina kupindukia ila anatumia jina la Mungu kurubuni waumini wake kwa kuwachezea akili. HAKUNA kitabu chenye madhambi kama Qur'an.....ukitaka kumtupia mtu marogo/uchawi vyote vinapatikana kwenye hiki kitabu, ukitaka kuua mtu pia unapata humo humo ndani ya Qur'an, hivi iweje Mungu atukataze kuuana then ashushe Qur'an na kuruhusu waarab mauwaji aliyokataza? Waafrika tuache ujinga, amkeni mmechezewa akili far too long kwa kisingizo cha dini. Huko Italia na nchi kibao duniani wau wanasali kwa Mungu aondoe Coronavirus, Mungu hawasikii, why?