FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa hiyo ndiyo maana unacheka cheka hovyo kama hao makafir?110. Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka. (al Muuminuun : 110)
Sasa bibi hii aya mbona iko wazi kabisa inawazungumzia makafiri baada ya kuacha ukumbusho na kuwacheka waja wema, onyesha ushahidi unao onyesha kumcheka mtu dhalimu muovu anapo andika vya kuchekesha.
Lakini aya imesema walikuwa wana wacheka na haija sema "walikuwa wanajichekesha"
Ahsante.
Muislam hakatzwi kucheka na kufurahi lakini kumbuka unajichekesha wakati hakuna cha kucheka. Sisi tunasema huo ni ubaradhuli.