Majibu sahihi ninayo na ujinga wako nimeubainisha kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu sahihi ninayo na ujinga wako nimeubainisha kitambo.
Nilikwambia lengo sio kuwadhuru, bali lengo ni kuwapa mtihani na kuwazindua ila ameruhusu ugonjwa uwadhuru watu.
Nimekuuliza umeisoma aya ?
Sijaona nafasi ya yeye kuamua anavyotaka naona unaeleza lazima afanye hivi mara vile,hii ikoje?Ukiwa unasifa ya uwezo wote hauwezi kushindwa katika jambo lolote ikiwemo na kuumba ulimwengu usio ruhusu ubaya
Ukiwa na sifa ya upendo wote hauwezi kuruhusu ubaya uchangamane na viumbe ambavyo unavipenda
Ukiwa na ujuzi wote hautakiwi kuhukumu wala kukasirika katika jambo ambalo ulikwisha lijua kua litatokea kabla hata halijatokea
Sifa hizi kuhusu mungu zinatakiwa zilenge uhasilia wa kile ambacho amekiumba, kukiwa na damage katika uumbaji wake kunaondoa dhana ya uwepo wake
It's Scars
Nadhani anaijua dini vizuri tu. Tena ukute ni konki wa imani. Alichoandika ni kweli kinafikirisha sana.Ukweli ni kwamba
Huijui DINI vile ambavyo inatakiwa uijue
Wapagani shida yenu nini ?
Hivi Nyie Mmesoma thread nzima ??Tumia likizo hii kujisomea kwa mitihani yako kuliko kukufuru
Umesoma huu uzi, Mkuu?Wapagani shida yenu nini ?
Umesoma nilichokiandika lakini, Mkuu?Tumia likizo hii kujisomea kwa mitihani yako kuliko kukufuru
Hahaha... Mimi mwenyewe nimeshangaa Mkuu.Hivi Nyie Mmesoma thread nzima ??
Mmelewa kazungumza nini ??
Ndio maana nilikuuza unataka watu wasifanye kazi na badala yake waombe dua tu? Maana hapo ndiyo hoja yako ilipo,kama ulitaka watu wasijikinge na maradhi na badala yake wao waombe dua tu ni sawa na kutaka watu wasifanye kazi pia wala kushughulika na taaluma zao ila wakae tu na kuomba kwa kila jambo. Na ndio maana unaleta hoja ya watu kuacha kukaa na kuomba tu dua kwa ajiri ya corona wao wanatumia taaluma zao kutafuta suluhu ya corona.Hauwezi kujua kwasababu hakuna jambo ambalo limewahi kufanikiwa kwa dua, na ndio maana unaona watu hawajishughulishi na dua katika kutafuta suluhu ya corona
Unafikiri kama dua ingekua inafanya kazi, kulikua na sababu yeyote mekka kupiga ban muingiliano wa watu huko, Huku akijuja kua watu wanaoenda kule asilimia kubwa ni kwaajili ya kuhij??
Unafikiri hawakufika angle hiyo unayoidhania wewe?
Kwanini wasitumie dua iwe kama kinga badala ya kufunga mipaka ambayo ni recommendation na shirika la afya??
Kwanini wazuie watu wasiingie kwao badala ya kuzuia ugonjwa usiwadhuru kwa kuomba dua??
Dua ingekua inafanya kazi leo hii isingetumika nguvu kubwa ya kufunga mipaka huko mekka
Kwasababu dua ingeweza kudhibiti ugonjwa usiweze kumdhuru mtu ambaye katoka umbali mrefu kuja pale kufanya ibada kwa ajili ya mungu
Yani badala ya kuzuia ugonjwa kwa kuomba dua, unazuia watu kwa kufunga mipaka halafu mkisalimika useme allah kawanusuru huo si zaidi ya ujinga?
It's Scars
1.kukurupa kujibu, Yaani ilimradi amejibu [emoji23]Hahaha... Mimi mwenyewe nimeshangaa Mkuu.
Kumbe wewe na wenzako ndio mnasema hivyo nikajua Uislamu ndio unasema hivyo.Sisi tunasema huo ni ubaradhuli.
Na wewe endelea tu na ubaradhuli wa kujichekesha chekesha.Kumbe wewe na wenzako ndio mnasema hivyo nikajua Uislamu ndio unasema hivyo.
Basi endeleeni kusema.
Majanga yanayo tokea majini na baharini, yote anayaleta Allah na kuruhusu yatokee na ni chumo la mikono yetu.
Anasema Allah aliye juu :
41. Ufisadi umedhihiri bara na baharini kwa iliyo yafanya mikono ya watu, ili Mwenyezi Mungu awaonyeshe baadhi ya waliyo yatenda. Huenda wakarejea kwa kutubu. (ar Rum : 41 )