Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona ikiwapata ndio mtajua kuna Mungu na Watumishi wake Au LA sasa bwabwajenitu si Mmesikia Auna Dawa? Tukutane Makanisani Au misikitini Mkija kutafuta Msaada wawatumishi wa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi wa mungu ndio waliopiga ban msiende kule kuhij kwa hofu ya corona

Wanaokufundisha wanajua ukweli na ndio maana huwaoni wakiangaika na maombi

It's Scars
 
Corona ikiwapata ndio mtajua kuna Mungu na Watumishi wake Au LA sasa bwabwajenitu si Mmesikia Auna Dawa? Tukutane Makanisani Au misikitini Mkija kutafuta Msaada wawatumishi wa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matapeli sugu hawana imani yeyote,wajinga ndio waliwao[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20200325-WA0041.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ipo ila kinachofundishwa ndio hakipo real

Kingekua real tungeona miujiza ambayo inafundishwa kwenye majumba ya ibada ikiponya wagonjwa wa corona

Miujiza na habari ya uwepo wa mungu ni kitu cha kufikirika na ndio maana tunaona mapadre 30 wamekufa kwa corona.

Huku hofu ikiwa kubwa mpaka kufikia hatua mekka wanafunga mipaka

It's Scars
Waumini wa hizo dini wameridhika na huo uongo. Wewe kausha
 
Sasa mwanzo ulikua unakataa nini kua kuomba dua sio kazi halafu hapa unakiri kua hakuna kisicho kazi??

It's Scars
Kwa mujibu wa mtazamo wako upo sahihi kwa maana kwako wewe ni kwamba kila kitendo ni kazi,ndiyo maana nikakubali upo sahihi maana kuomba ni kitendo pia kama kitendo cha kulala,
Kunyamaza,kucheka,kupumua n.k
Kwahiyo upo sawa kabisa mwanzo sikukuelewa ndiyo nikawa nashindana na mjinga ila sasa nimekuelewa tupo pamoja.

Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
 
Matapeli sugu hawana imani yeyote,wajinga ndio waliwao[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1399415

Sent using Jamii Forums mobile app
HAYA MAMBO YENU YA KIKRISTO,
Huku kwenye Uislau hatunaga habari hizo zakufufuwa wafu wala kuponya kwa Miujiza.
Huku ni Kufuata sababu ya maradhi na Kutafuta dawa ndio mafunzo ya uislamu.
Tunafanya Maombi kumtaka Mungu atufungulie ufahamu wa kuipata dawa na namna ya kutibu ,sio kutegemea Miujiza.
Mungu hufanya kazi
kwa njia 2
1.muujiza
2.Kupitia kazizetu viumbe.
Lakini hii ya miujiza sio hasa Kusudio lake kwa wanadamu.
Anataka wanadamu wapambane na kubuni mbinu za kujitatulia matatizo yao.
Hata ukivamiwa na adui Upambane naye kwa Nguvu zako binafsi,na huku ukijisaidia kwa Maombi ukiwa uko uwanja wa vita.
Akili ya Utambuzi wa Jema na Baya ndio Tofauti yetu sisi na viumbe wengine.
Sisi ni Responsible creatures
Tuko accountable na kila tendo.
 
Binti usinitege, sina huruma ntakuchapa hata kama nyege

It's Scars
Mbona Unaogopa kupandikiziwa mbegu,
Wenzio wasio amini Mungu Hujaribu kila kitu alichokikataz mungu ili kutazama nini matokeo yake.
Kwa hili unaonesha Unaamini Uwepo wa Mungu lakini hujuwi pa kuanzia.
Sasa unaonaje Mimi nikuelimishe,?
 
Mnafanya maombi makafiri ya Ujerumani na Marekani yapate tiba kuwaponyesha nyie mnaomjua Mungu wa kweli?

Huu ndio ulikua wakati ALLAH awashushie tiba kama alivyoshusha kitabu chake kitakatifu. Ili tuamini yupo.

Sio tiba anaipata Kaffiri halafu ukipona unamuona mjinga hamjui ALLAH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anabaki kua mungu katika dhana ya kufikirika na sio uhalisia

Ni sawa na mtu anayesema spiderman anabaki kua spiderman kusema kwake huko hakufanyi spiderman awepo kihalisia

It's Scars
SASA NAKUJULISHA SIFA ZA MUNGU WANGU NINAYE MUAMINI

Mwenyezi Mungu ameelezewa sana ndani ya Quran tukufu kwa maneno haya;

Mwenyezi Mungu ambaye ndiye muumba wa vitu vyote hafanani na chochote na wala hana mfano wake.
Hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote. Yeye pekee ndiye anayestahili kuabudiwa na kuombwa msaada. Yeye hahitaji msaada wa mtu yeyote kwa sababu yeye ndiye muweza wa kila jambo.

Yeye hana sifa za wanadamu au viumbe vyenye uhai kama vile kula, kunywa, kulala, kupata uchovu na kadhalika.
Yeye ni Mwenyezi Mungu pekee asiyekuwa na miungu mingine.
Yeye ndiye mmiliki wa kila kitu, mlinzi wa viumbe vyote na anayejaalia riziki viumbe vyake duniani.

Yeye ndiye anayedhibiti kila kitu alichokiumba na hakuna yeyote anayeweza kufikia sifa zake kamwe.

Yeye pekee ndiye anayetambua mwanzo na mwisho wa dunia. Yeye ndiye aliyeumba kila kitu kwa kipimo chake na kukiwezesha kuwa kama kinavyoonekana.
Yeye hufanya kitu kutokea kwa amri yake. Hakuna kitu chochote kinachowezekana pasi na Mwenyezi Mungu kutaka.
Hata jani kavu la mti haliwezi kudondoka bila ya amri yake yeye Mwenyezi Mungu.
 
Hujui hata kuuliza swali

Kwanini unauliza swali kwa minaajili ya "nani" na sio "nini" katika jambo usilolijua?

It's Scars
Hutaki kujibu swali, katika Post hii
sasa Elimika kidogo
1. Kinamtakasa Mwenyezi Mungu kila kilichomo katika mbingu na katika ardhi.
Ufalme ni wake, na sifa njema ni zake.
Na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
2. Yeye ndiye aliye kuumbeni.
Miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye Muumini.
Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda.
3. Ameziumba mbingu na ardhi kwa haki(Ufundi wa hali ya juu),
Na akakupeni sura, na akazifanya nzuri sura zenu.
Na(wote) marudio ni kwake.
4. Anajua viliomo katika mbingu na ardhi,
na anajua mnayo yaficha(moyoni) na mnayo yatangaza.
Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliomo vifuani( kukanusha au kuamini kwa viumbe).
 
Mbona Unaogopa kupandikiziwa mbegu,
Wenzio wasio amini Mungu Hujaribu kila kitu alichokikataz mungu ili kutazama nini matokeo yake.
Kwa hili unaonesha Unaamini Uwepo wa Mungu lakini hujuwi pa kuanzia.
Sasa unaonaje Mimi nikuelimishe,?
Muda wa upendo umeisha sasa ni muda wa chuki, Scars ndo chata hatari sitishwi na mamluki.../

Hunitishi kwa kuniletea viroja, wakati kwenye pc yangu vimejaa kila folder.../

Achana na hao wanaokuita jini, njoo kwangu mi ni atheist nitakuita queen.../

Umenikaa kichwani nashindwa kukutoa, niambie kwenu wapi Scars nije kukuoa.../

Unanijia kwenye ndoto naweweseka, we ni saizi yangu hujawahi nipwelepweta.../

Battawi nahitaji uwe na mimi Scars a.k.a handsome zombi, maana hodi za kijinga kwa vicheche sigongi.../

It's Scars
 
Ni sawa na mtu anayesema spiderman anabaki kua spiderman kusema kwake huko hakufanyi spiderman awepo kihalisia
Naona unamtaja sana 'Spider man',
Ivi unataka kumlinganisha katuni huyu wa kwenye Movie na Mungu?
Kweli wewe umeemewa sana.
Nini kafanya katika dunia hii huyo spider man ?
kaumba nini,?
Tunaposema Khabari za Mungu tunasemea mambo Makubwa,
Muumba wa Dunia na Vilivyomo, Hakuna mwingine aliye dai kufanya kazi hiyo ila Mungu tu.
Leo wewe umejisahau kuw ni kiumbe uliyepewa maarifa na Ufahamu ,na kwa hiyo unajukumu.
Unaonekana wewe bado una mambo ya kitoto ya kucheza games na kuamini stori za vikatuni.
Looooo unasikitisha sana
😀😀😀😀😱😱😱
Baad
jiongeze ndugu
 
Kwa mujibu wa mtazamo wako upo sahihi kwa maana kwako wewe ni kwamba kila kitendo ni kazi,ndiyo maana nikakubali upo sahihi maana kuomba ni kitendo pia kama kitendo cha kulala,
Kunyamaza,kucheka,kupumua n.k
Kwahiyo upo sawa kabisa mwanzo sikukuelewa ndiyo nikawa nashindana na mjinga ila sasa nimekuelewa tupo pamoja.

Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
Sio kwa mujibu wa mtazamo wangu, hiyo ni kwa mujibu wa uhalisia

Kazi sio lazima iwe physical tu hata mental pia nayo ni kazi, usiishi kwa kukariri

Suala la kwamba kila kitendo ni kazi ni mtazamo uliyo tofauti na wengi na ndiyo maana naita mtazamo kwa sababu sikuwahi kukutana na mtazamo huo,ndio maana utaona wale ombaomba hawapo kwenye kundi la kuhesabiwa ni wafanyakazi duniani kote kwa sababu kuomba hakuhesabiwi kuwa ni kazi. Lakini kwa kufuata mtazamo wako kwamba kila kitendo ni kazi basi hata ombaomba pia ni wafanyakazi.

Hilo tumelimaliza tumeelewana kabisa,tuendelee na la wanadini kuchukua kujikinga na kuzuia maafa.
 
Kama ni swala ambalo lipo katika mtazamo ya wengi, basi hata wewe kusema dua sio kazi ni moja kati ya mitazamo ya wengi

It's Scars
 
Naona unamtaja sana 'Spider man',
Ivi unataka kumlinganisha katuni huyu wa kwenye Movie na Mungu?
Kweli wewe umeemewa sana.
Nini kafanya katika dunia hii huyo spider man ?
kaumba nini,?
Tunaposema Khabari za Mungu tunasemea mambo Makubwa,
Muumba wa Dunia na Vilivyomo, Hakuna mwingine aliye dai kufanya kazi hiyo ila Mungu tu.
Leo wewe umejisahau kuw ni kiumbe uliyepewa maarifa na Ufahamu ,na kwa hiyo unajukumu.
Unaonekana wewe bado una mambo ya kitoto ya kucheza games na kuamini stori za vikatuni.
Looooo unasikitisha sana
😀😀😀😀😱😱😱
Baad
jiongeze ndugu
Unajuaje kua mungu sio dhana ya kufikirika kama spiderman?

It's Scars
 
Hutaki kujibu swali, katika Post hii
sasa Elimika kidogo
1. Kinamtakasa Mwenyezi Mungu kila kilichomo katika mbingu na katika ardhi.
Ufalme ni wake, na sifa njema ni zake.
Na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
2. Yeye ndiye aliye kuumbeni.
Miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye Muumini.
Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda.
3. Ameziumba mbingu na ardhi kwa haki(Ufundi wa hali ya juu),
Na akakupeni sura, na akazifanya nzuri sura zenu.
Na(wote) marudio ni kwake.
4. Anajua viliomo katika mbingu na ardhi,
na anajua mnayo yaficha(moyoni) na mnayo yatangaza.
Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliomo vifuani( kukanusha au kuamini kwa viumbe).
Sijajibu kwasababu hakuna swali ambalo umeweza kuuliza

Hujui hata kuuliza swali

Kwanini unauliza swali kwa minaajili ya "nani" na sio "nini" katika jambo usilolijua?

It's Scars
 
SASA NAKUJULISHA SIFA ZA MUNGU WANGU NINAYE MUAMINI

Mwenyezi Mungu ameelezewa sana ndani ya Quran tukufu kwa maneno haya;

Mwenyezi Mungu ambaye ndiye muumba wa vitu vyote hafanani na chochote na wala hana mfano wake.
Hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote. Yeye pekee ndiye anayestahili kuabudiwa na kuombwa msaada. Yeye hahitaji msaada wa mtu yeyote kwa sababu yeye ndiye muweza wa kila jambo.

Yeye hana sifa za wanadamu au viumbe vyenye uhai kama vile kula, kunywa, kulala, kupata uchovu na kadhalika.
Yeye ni Mwenyezi Mungu pekee asiyekuwa na miungu mingine.
Yeye ndiye mmiliki wa kila kitu, mlinzi wa viumbe vyote na anayejaalia riziki viumbe vyake duniani.

Yeye ndiye anayedhibiti kila kitu alichokiumba na hakuna yeyote anayeweza kufikia sifa zake kamwe.

Yeye pekee ndiye anayetambua mwanzo na mwisho wa dunia. Yeye ndiye aliyeumba kila kitu kwa kipimo chake na kukiwezesha kuwa kama kinavyoonekana.
Yeye hufanya kitu kutokea kwa amri yake. Hakuna kitu chochote kinachowezekana pasi na Mwenyezi Mungu kutaka.
Hata jani kavu la mti haliwezi kudondoka bila ya amri yake yeye Mwenyezi Mungu.
Unajuaje kuran kua imesema ukweli?

It's Scars
 
Back
Top Bottom