Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Unajuaje kua akili yako haijakengeuka?

Mkristo akisema biblia ni kitabu cha kweli kwasababu akili yake imekubali, we utakubali kua biblia ni kitabu cha mungu kweli?
Sana tu ,naweza kukubali kuwa biblia ni kitabu cha mungu kwa vile ndani ya biblia ipo injili,Taurati,Zaburi na Vitabu vya manabii ambavyo hivyo vimetajwa ndani ya Qur-an wala havina shaka.
Ila kwa vile akili ninayo ,naweza kubaini vitabu vilivyochomekewa kwa maandiko ya wanadamu, na utavijuwa kwa kukengeuka kwake vitabu vyaa asili.

Hebu tazama haya mafundisho yanayofanana na Qur-an wala hayana shaka.

“Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili AKUTWEZE, KUKUJARIBU kuyajua YALIYO MOYONI MWAKO, kwamba UTASHIKA AMRI ZAKE, AU SIVYO. Akakutweza, AKAKUACHA UONE NJAA, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; APATE KUKUJULISHA YA KUWA MWANADAMU HAISHI KWA MKATE TU, BALI HUISHI KWA KILA LITOKALO KATIKA KINYWA CHA BWANA.” (Kumbu.8:3,4).

Unaona? Ni kusudi la Mungu tujaribiwe ili TUKUE katika imani, haki na utakatifu. Mambo mengi yanatokea, siyo kutuadhibu au kutuangamiza, ila kutupeleka TUKUE katika imani na katika Kristo Yesu. Ndio maana maandiko yanasema, “Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.” (Yakobo 1:2-4). Na tena, “mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta saburi; na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini.” (Warumi 5:3,4).

Kumbuka Mungu alimuacha Yohana auwawe na watu wale waovu,si kwa kushindwa,au kuto kuweza kuwadhibiti,laa bali ni kuonesha kwamba Kifo kwake si chochote si lolote,kwani hata haya misha ya dunia ni sehemu ya majaribu tuu ili urejeshwe kwenye ile Paradeso iliyopotea.ya Asili.
 
Hizo zote ni primitive mythology tupu
Alaa , ni primitivu kwa ushahidi upi?
Au kwa kuwa wewe umeshindwa kuvijuwa undani wake vitabu hivi vya Mungu?
Onesha basi huo uprimitive wake.
Ili nasi tubaini ukweli ,kama unasema kweli.
Na kama hukuthibitisha basi wewe ndiye primitive argent
 
Usijiabishe mbele ya kizazi hiki chenye uthubutu wa kuhoji. Eti Mungu alishusha aya/kitabu, alikishusha kutoka wapi, juu ni wapi na chini ni wapi kama unajua kidogo elimu ya anga. Faith and reason, YES; faith alone, big NO😷
 
Kwa kifupi kuhusu mada yako,
Ni Mungu ndie akipenda atawafunulia wataalamu ujuzu wa kupata dawa.
Na akipenda atayatokomeza maradhi haya duniani koto,lakini kama wanadamu tumepata somo.
Na pia Mungu akitaka anaweza akaangamiza nusu ya population ya dunia na kutubomolea kabisa mifumo yetu ya maisha tuliojije gea .
Ikiwa wewe baso hujaona uwepo wa Mungu, basi huna ufahamu kabisa
Bora,.........

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu ndio kaleta corona ? we jamaa kwani nyie huyu Mungu huwa mnadhani yupoje ? yan Mungu anaamua kuangamiza watu wake ? daaah God is not a hater wala hajawah kuhate mtu..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sana tu ,naweza kukubali kuwa biblia ni kitabu cha mungu kwa vile ndani ya biblia ipo injili,Taurati,Zaburi na Vitabu vya manabii ambavyo hivyo vimetajwa ndani ya Qur-an wala havina shaka.
Ila kwa vile akili ninayo ,naweza kubaini vitabu vilivyochomekewa kwa maandiko ya wanadamu, na utavijuwa kwa kukengeuka kwake vitabu vyaa asili.

Hebu tazama haya mafundisho yanayofanana na Qur-an wala hayana shaka.

“Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili AKUTWEZE, KUKUJARIBU kuyajua YALIYO MOYONI MWAKO, kwamba UTASHIKA AMRI ZAKE, AU SIVYO. Akakutweza, AKAKUACHA UONE NJAA, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; APATE KUKUJULISHA YA KUWA MWANADAMU HAISHI KWA MKATE TU, BALI HUISHI KWA KILA LITOKALO KATIKA KINYWA CHA BWANA.” (Kumbu.8:3,4).

Unaona? Ni kusudi la Mungu tujaribiwe ili TUKUE katika imani, haki na utakatifu. Mambo mengi yanatokea, siyo kutuadhibu au kutuangamiza, ila kutupeleka TUKUE katika imani na katika Kristo Yesu. Ndio maana maandiko yanasema, “Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.” (Yakobo 1:2-4). Na tena, “mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta saburi; na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini.” (Warumi 5:3,4).

Kumbuka Mungu alimuacha Yohana auwawe na watu wale waovu,si kwa kushindwa,au kuto kuweza kuwadhibiti,laa bali ni kuonesha kwamba Kifo kwake si chochote si lolote,kwani hata haya misha ya dunia ni sehemu ya majaribu tuu ili urejeshwe kwenye ile Paradeso iliyopotea.ya Asili.
Unaelewa ukisema biblia ni kitabu cha kweli kutoka kwa mungu unakua umeikataa kuran ambayo mungu wa biblia amekataza ndoa ya wake wanne?

Unaelewa ukisema kua habari hiyo imepotoshwa na watu kwasababu inakinzana na quran ambayo unaiamini wewe, point yako ya kusema biblia ni kitabu cha kweli inakua invalid??
 
Hakuna popote ndani ya biblia ilipokataa kuoa zaidi ya mke mmoja. bali Kuna pendekezo tuu lilopendekeza kuwa kuto kuoa ni bors kwa kiongozi wa dini,na atakae owa aowe 1 tena hiyo ni kwenye agano jipya.
Lile la kale Unaowa upendao.
Kwa hiyo Qur-an na Biblia kwa hili viko sambamba.
Nyogeza
Hata lile la Mungu mmoja na Utatu mtakatifu, Qur-an imewakataza wakristo juu ya imani hiyo kwa kuwa ni ya kupangwa na wanadamu si ya Mungu.
 
Usijiabishe mbele ya kizazi hiki chenye uthubutu wa kuhoji. Eti Mungu alishusha aya/kitabu, alikishusha kutoka wapi, juu ni wapi na chini ni wapi kama unajua kidogo elimu ya anga. Faith and reason, YES; faith alone, big NO😷
Simply juu ni kule Nywele zako zilikoelekea.
Scientifically juu ni 'out of earth's surface' both directions' as you like' tunakuita juu.
Kwa upande wa Mungu anaposema juu ni kwa sababu yeye yupo nje ya hii dunia na nje ya space.
Yeye ni mkuu na ana kiti cha enzi hukko aliko.
Ukubwa wa kistuli cha hicho kiti kina enea mbingu na nchi, sikuambii ukubwa wa hicho kiti chenyewe.
Mungu katika kuumba kwake ,Kiti chake cha enzi ndio kiumbe kikubwa kuliko vyote, nacho kiko nje ya space, nje ya Galaxy
 
Pole sana kama unaweza kuamini hekaya za Nana huyo I can't afford to argue with you
 
Sana tu ,naweza kukubali kuwa biblia ni kitabu cha mungu kwa vile ndani ya biblia ipo injili,Taurati,Zaburi na Vitabu vya manabii ambavyo hivyo vimetajwa ndani ya Qur-an wala havina shaka.
Ila kwa vile akili ninayo ,naweza kubaini vitabu vilivyochomekewa kwa maandiko ya wanadamu, na utavijuwa kwa kukengeuka kwake vitabu vyaa asili.

Hebu tazama haya mafundisho yanayofanana na Qur-an wala hayana shaka.

“Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili AKUTWEZE, KUKUJARIBU kuyajua YALIYO MOYONI MWAKO, kwamba UTASHIKA AMRI ZAKE, AU SIVYO. Akakutweza, AKAKUACHA UONE NJAA, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; APATE KUKUJULISHA YA KUWA MWANADAMU HAISHI KWA MKATE TU, BALI HUISHI KWA KILA LITOKALO KATIKA KINYWA CHA BWANA.” (Kumbu.8:3,4).

Unaona? Ni kusudi la Mungu tujaribiwe ili TUKUE katika imani, haki na utakatifu. Mambo mengi yanatokea, siyo kutuadhibu au kutuangamiza, ila kutupeleka TUKUE katika imani na katika Kristo Yesu. Ndio maana maandiko yanasema, “Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.” (Yakobo 1:2-4). Na tena, “mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta saburi; na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini.” (Warumi 5:3,4).

Kumbuka Mungu alimuacha Yohana auwawe na watu wale waovu,si kwa kushindwa,au kuto kuweza kuwadhibiti,laa bali ni kuonesha kwamba Kifo kwake si chochote si lolote,kwani hata haya misha ya dunia ni sehemu ya majaribu tuu ili urejeshwe kwenye ile Paradeso iliyopotea.ya Asili.
Ni vitabu gani vilivyochomekwa kwenye Biblia?
 
YESU ALIKUWA NA WANAFUNZI 12, hawa walikaa chini ya miguu yake na kujifunza asubuhi na jioni.
Pindi alipo paa tu akajitokeza Mtu mmoja ambaye wakati wenzake wnasoma Inili yeye alikuwa muuwaji na kuwatesa wafuasi wa Yesu,
Mara tuu baaa ya yesu kuondoka Eti yeye akaibuka na kuanza kuwa Muhubiri mkuu wa Injili ambayo hakufunzwa na Mwenyewe yesu.
Sauli, ndiye aliye andika nyaraka nyingi kwa kutumia falsafa na unyumbulishaji mkubwa wa lugha ya kiimani.
Nabii huyu alijitangaza mwenyewe kwa kuota ndoto mwenyewe, na kuingizwa maandiko yake kwenye Biblia.
Akili inanifunza kuwa ,vitabu vyake vilichomekwa ndani ya ile kazi nzuri aliyoifanya Yesu.

3Yesu alijua kwamba Baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka kwa Mungu na anarudi kwa Mungu. 4 Basi, Yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
5 Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha wanafunzi wake miguu na kuipangusa kwa kile kitambaa alichojifungia.
6 Basi, akamfikia Simoni Petro; naye Petro akasema, “Bwana, wewe utaniosha miguu mimi?”
7 Yesu akamjibu, “Huelewi sasa ninachofanya lakini utaelewa baadaye.”
8 Petro akamwambia, “Wewe hutaniosha miguu kamwe!” Yesu akamjibu, “Nisipokuosha hutakuwa na uhusiano nami tena.” 9 Simoni Petro akamwambia, “Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono yangu na kichwa pia.”
10 Yesu akamwambia, “Aliyekwisha oga hana lazima ya kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata mwili wote. Ninyi mmetakata, lakini si nyote.”

Wakati huu hapakuwepo na Paulo wala
 
YESU ALIKUWA NA WNAFUNZI 12, hawa walikaa chini ya miguu yake na kujifunza asubuhi na jioni.

Kwa hiyo wewe tatizo lako ni mtume paulo tu?
 
hU

HUYO NI MFANO MMOJA WA WENGI WALIOCHOMEKA MAANDIKO YA KIBINADAMU AMBAYO UTAYABAINI . KAMA WEWE NI MPEKUZI MUADILIFU
Hakuna andiko katika Biblia yote vitabu vyake vyote zaidi ya elfu 3 hata moja ambalo si la kibinadamu.
Vyote vimeandikwa na kuchapwa na wanadamu.

Swali ni misingi ya Kikristo ni ipi? Je kwenye Biblia haiko hivyo? Ukiwa na majibu ya haya basi Biblia uinayo leo ndivyo inavyopaswa kua.
 
battawi koran yenu ni matokeo ya kitu kinachoitwa UPINGAJI.
Koran inapinga mafundisho ya Biblia karibu ya agano jipya karibu yote yani imefanya kinyume chake.

Mfano Nabii aliye mkuu kuliko manabii wote ulimwenguni Yohana mbatizaji anasema Yesu ni mwana wa Mungu na alikuja kuukomboa ulimwengu kwa kufa kwake tumepata ondoleo la dhambi (kiroho) Koran inasema Yesu si mwana wa Mungu ila inakubali ni Masihi seriously?

Biblia inatuambia Yesu alizaliwa horini koran inasema alizaliwa chini ya mtende seriously?
 
The Jehovah’s Witnesses in their “AWAKE” Magazine dated 8th September 1957 published the following headline:
“50,000 Errors in the Bible” wherein they say “..there are probably 50,000 errors in the Bible...errors which have crept into the Bible text...50,000 such serious errors...” After all of this, however, they go on to say: “...as a whole the Bible is accurate.”
 
Simply juu ni kule Nywele zako zilikoelekea.
Scientifically juu ni 'out of earth's surface' both directions' as you like' tunakuita juu.
Kwa upande wa Mungu anaposema juu ni kwa sababu yeye yupo nje ya hii dunia na nje ya space.
Yeye ni mkuu na ana kiti cha enzi hukko aliko.
Ukubwa wa kistuli cha hicho kiti kina enea mbingu na nchi, sikuambii ukubwa wa hicho kiti chenyewe.
Mungu katika kuumba kwake ,Kiti chake cha enzi ndio kiumbe kikubwa kuliko vyote, nacho kiko nje ya space, nje ya Galaxy
Duh! Pole sana kwa kupotelea ndani ya dini ni ngumu sana mtu kukutoa huko. Hicho kiti cha mungu nani alikiona au ulisimuliwa.

Wana saikolojia wanasema kuamini sana jambo fulani ni dalili ya ukichaa, imani ya dini ni miongoni, kuna waumini fulani waliamini wanaweza kwenda Marekani bila viza na kweli wakaenda kukaa airport wakisubiri roho mtakatifu awapeleke.
 
battawi koran yenu ni matokeo ya kitu kinachoitwa UPINGAJI.
Koran inapinga mafundisho ya Biblia karibu ya agano jipya karibu yote yani imefanya kinyume chake.

Mfano Nabii aliye mkuu kuliko manabii wote ulimwenguni Yohana mbatizaji anasema Yesu ni mwana wa Mungu na alikuja kuukomboa ulimwengu kwa kufa kwake tumepata ondoleo la dhambi (kiroho) Koran inasema Yesu si mwana wa Mungu ila inakubali ni Masihi seriously?

Biblia inatuambia Yesu alizaliwa horini koran inasema alizaliwa chini ya mtende seriously?
Misingi ya Kikristo ni hiyi hapa kwa mujibu wa Yesu mwenyewe.
1.Uzima wa milele ni kumjuwa Mungu kuwa Ni mmoja wa kweli na wa pekee.( One God)
2. Yesu Ametumwa na Mungu ,na kwa hiyo ni mtumishi wake.
3.Yesu kaleta Ujumbe ,na wanafunzi waliupokea.
4.Wanafunzi wa Yesu wao wamejuwa kuwa Yesu katoka kwa Mungu ,na ujumbe umetoka kwa Huyo Mungu.
5.Wakati Yeu anaondoka ,anawasisitiza watu wake kushika Mafundisho na kuyafanyia kazi.
Soma Injili ya
Yohana 17:-
1 Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza. 2 Maana ulimpa Mwanao mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wote hao uliompa. 3 Na uzima wa milele ndio huu: kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma. 4 Mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa nifanye. 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu. 6 “Nimekufanya ujulikane kwa watu wale ulionipa kutoka duniani. Walikuwa watu wako, nawe ukanipa wawe wangu; nao wamelishika neno lako. 7 Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako. 8 Mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako, na wanaamini kwamba wewe ulinituma.
 
Duh! Pole sana kwa kupotelea ndani ya dini ni ngumu sana mtu kukutoa huko. Hicho kiti cha mungu nani alikiona au ulisimuliwa.
Vingapi hatuja viona ,na tunaviamini?
Dalili inatosha
 
Muda wa upendo umeisha sasa ni muda wa chuki, Scars ndo chata hatari sitishwi na mamluki.../

Hunitishi kwa kuniletea viroja, wakati kwenye pc yangu vimejaa kila folder.../

Achana na hao wanaokuita jini, njoo kwangu mi ni atheist nitakuita queen.../

Umenikaa kichwani nashindwa kukutoa, niambie kwenu wapi Scars nije kukuoa.../

Unanijia kwenye ndoto naweweseka, we ni saizi yangu hujawahi nipwelepweta.../

Battawi nahitaji uwe na mimi Scars a.k.a handsome zombi, maana hodi za kijinga kwa vicheche sigongi.../

It's Scars
We jamaa vina vyako vimekaa pouwa Ila Napingana [emoji817] kwa hoja zako zilizojaa tafiti changa

Twende [emoji116][emoji3578]

Scars nakufananisha na slay queen/... Hoja zako ziko weak.. Zama za Covid19/ Unapinga uwepo Wa Mungu/ unaendelea na drama za wazungu/ na majungu/ hauko smart nime prove/ we zuzu/
Nigga u better stay cool/ Am a graduate from school.....

Note:
Corona virus is real ,we need to take extra cares,

One love
 
Sana tu ,naweza kukubali kuwa biblia ni kitabu cha mungu kwa vile ndani ya biblia ipo injili,Taurati,Zaburi na Vitabu vya manabii ambavyo hivyo vimetajwa ndani ya Qur-an wala havina shaka.
Ila kwa vile akili ninayo ,naweza kubaini vitabu vilivyochomekewa kwa maandiko ya wanadamu, na utavijuwa kwa kukengeuka kwake vitabu vyaa asili.

Hebu tazama haya mafundisho yanayofanana na Qur-an wala hayana shaka.

“Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili AKUTWEZE, KUKUJARIBU kuyajua YALIYO MOYONI MWAKO, kwamba UTASHIKA AMRI ZAKE, AU SIVYO. Akakutweza, AKAKUACHA UONE NJAA, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; APATE KUKUJULISHA YA KUWA MWANADAMU HAISHI KWA MKATE TU, BALI HUISHI KWA KILA LITOKALO KATIKA KINYWA CHA BWANA.” (Kumbu.8:3,4).

Unaona? Ni kusudi la Mungu tujaribiwe ili TUKUE katika imani, haki na utakatifu. Mambo mengi yanatokea, siyo kutuadhibu au kutuangamiza, ila kutupeleka TUKUE katika imani na katika Kristo Yesu. Ndio maana maandiko yanasema, “Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.” (Yakobo 1:2-4). Na tena, “mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta saburi; na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini.” (Warumi 5:3,4).

Kumbuka Mungu alimuacha Yohana auwawe na watu wale waovu,si kwa kushindwa,au kuto kuweza kuwadhibiti,laa bali ni kuonesha kwamba Kifo kwake si chochote si lolote,kwani hata haya misha ya dunia ni sehemu ya majaribu tuu ili urejeshwe kwenye ile Paradeso iliyopotea.ya Asili.
Tuache kujiaminisha ujinga, Mungu yupo ila hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumjua na kumuelezea jinsi alivyo na kueleweka. Pili Mungu hakuwahi na hataandika kamwe kitatabu au aya, haandiki bali hutenda tu. Kwa hiyo vitabu vyote vya dini ni kazi ya mwanadamu, period.
 
Back
Top Bottom