Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

Hapo kwenye no 7 nimecheeeeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari kubwa gani zaidi ya panic tuu, jee kuna Mtanzania yoyote ameambukizwa Corona Tanzania?.
P
Hili jambo niliwaambia mapema baadhi walitaka tufunge mipaka nikawaambia

Hivi kweli corona utaifananisha na kipindupindu kinavyoua? Ebora, mafua ya ndege, nk

Huu ugonjwa unakuwa hatari kulingana na mazingira! Kwa mazingira yetu naamini utaisha kimya kimya! Africa ugonjwa wa mafua tunaishi nao siku zote kwasababu ya khari yahewa!

Hivyo mimi naunga mkono hoja kuwa hii ni fulsa yakutengeneza hela kama inavyokuwa kwenye janga la njaa!

Ila sasa tatizo tunawabunifu wengi wazuri lakini hawapewi tenda! Mtu unaonyesha ubunifu wko kesho unakuta mtu kapewa tenda kutengeneza kitu hichohicho ulichokibuni.
 
Asante sana mkuu Paskali kwa andiko hili na kuwajuza Watanzania kupita JF.

Moja ya mtonyo uko hapa...
$2 billion from the existing Global Trade Finance Program, which will cover the payment risks of financial institutions (hapa mabenki yetu yanaingia) so they can provide trade financing to companies that import and export goods (nimekuwa mdau wa kuandika kuona namna ya kuongeza exports kwa kutengeneza bidhaa kwa ajili ya soko la ndani na la nje). IFC expects this will support small and medium-sized (biashara ndogo na za kati) enterprises involved in global supply chains.

Tuje kwenye basics
Tanzania tunazalisha pamba. Pamba yetu ingekuwa fursa ya kuwa na viwanda ambavyo vitatengeneza various cotton products including masks.

Hii hapa chini ni sanitaiza. Bei ya sasa ya soko ni kati ya 3,000-15,000, ina mil 100 tu. Tume-import na bila shaka tutaendelea.

Kwa kuwa hii ni grant, fedha hizi kama tutaziomba zitakuwa chanzo cha ajira na kuongeza mzunguko, kupunguza imports ila tukiongeza imports kwa nchi za jirani badala ya sasa zinatoka uarabuni.







View attachment 1393845


Suala ambalo laweza kuwa changamoto, ni namna ambavyo Wizara ya fedha, wizara ya viwanda na biashara, wizara ya uwekezaji watakuwa na mkakati wa haraka kuzi-tap hizi hela.
Vinginevyo tutapitwa, just like that.
 
"...Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na janga la ugonjwa wa Corona, Tanzania kama Taifa, tumepanic, kila mtu ni mtaalam wa Corona, Viongozi wa serikali wakiwemo wataalamu wetu wa afya wanatoa contradictory statements kwenye media tena mbele ya Waziri wa Afya, elimu ya jinsi ya kujikinga inayotolewa ni elimu duni, hatuna vifaa vya usafi kwenye public places zetu ni mwendo wa vitisho na panic kwa kwenda mbele huku hakuna elimu yoyote proper inayotolewa na chombo chochote cha habari zaidi ya uhamasishaji wa kinga ili kuzuia..." Mpaka hapa tuko pamoja, huko kwingine ...mhhhhhhhhhhh hapana! Si sahihi kuufikiria ugonjwa huu ni wao na sio wetu! Umeingia kwenye 9 za Trump ambaye anauita ni wachina! Achana na hii. Mada yako ingependeza zaidi ikawa inajikita katika kuelezea hizo njia za kujilinda na mwenye kuelewa atafanya hivyo na kama itakuwa ni fursa kwake kiuchumi na iwe, lakini sio sababu za msingi kwa sasa hivi, ni matokeo na sio malengo!
 
Unatakiwa unawe kwa sekunde ishirini, hayo madumu yako kwenye mighahawa kibao na watu huwa wanayayumia kidogo sana.

Na kama unasema virusi havitupati, basi labda wawekewe watalii.
 
Pascal naomba nikuhakikishie wewe na wengine ambao wana overly react Corona.Naomba niwaaminishe watu kwamba sisi Africa tuko at a much less risk ya kupata Corona.Why?Because ***the bioengineered coronavirus is only transformed into a much more powerful bioweapon when released into an environment that has an activated 5G power grid, where specific chemtrail formulations are being systematically sprayed and the populace has been vaccinated with flu vaccines and also where everpresent industrial pollution has compromised respiratory systems.*** Kwa bahati nzuri enviroment hiyo sisi hatuna.Kwa kusema hivyo sina maana kwamba tusichukue hatua stahiki lahasha tuchukue,ila tusiogope sana,kwa kuwa hata kama mtu atapata,symptoms zitakuwa mild and easy to recover.Tusisahau kwamba woga nao ni mbaya tu kama Corona!
 
HAYO MABESENI NI CORONA TUPU, SASA HIVI NI NON -TOUCH TECHINQUE ONLY
 
Kaka Pascal nimekuelewa Sana umejaribu kutoa mawazo chanya yanayowapa watu faida mbili
1. Kuandaa vifaa vya kuwasaidia watu kupambana na maambukizi
2.Umejaribu kuwatoa hofu watanzania watambue kuwa Corona Ni janga la kawaida ambalo linawezekana kulidhibiti.
Hongera Sana broo nimekupata vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Pascal nimekuelewa Sana umejaribu kutoa mawazo chanya yanayowapa watu faida mbili
1. Kuandaa vifaa vya kuwasaidia watu kupambana na maambukizi
2.Umejaribu kuwatoa hofu watanzania watambue kuwa Corona Ni janga la kawaida ambalo linawezekana kulidhibiti.
Hongera Sana broo nimekupata vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anaitwa Mwinjuma FA amechukuwa fursa tayari. Amedanganya watu alienda South Africa akaambukizwa Corona.
 
Pascal Mayalla,
Paskali tumechezea shillingi chooni.
Mimi nilifikiri Magus government is so smart,na tulipata muda wa kutosha,lakini its opposite, its pure poor politics.Tuna viwanda vya nguo na pamba ya kutosha lakini hawakuliona hilo kutengeneza local mask.

Wakati tunaanza mwendokasi watu wengi waliipenda,cha ajabu serikali imeshindwa kabisa kuongeza idadi ya magari ya mwendo kasi,imekuwa na kiburi tu.Sasa tunahitaji public transport bus zisijae au kufurika,wao wanamagari kibao lakini commoners wameachwa njia panda. Magu ajitathimini upya kama ana ari mpya ya kuongoza taifa letu for next 5 years.
 
Wanufaika wa hizo pesa za WB, watakuwa wanachama dola, muuza ndoo na maji ya chumvi kamwe huo msaada hautomfikia...

Everyday is Saturday.................... 😎
 
Kaka Pascal Mayalla kama nakuona kwenye kiti cha Hassan Abasi ukikikalia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pascal Mayalla,

Paskali ww ni motivation speaker, huna fursa yoyote uliyotumia kama ww zaidi ya kushauri wengine wafanye. Vinginevyo nitajie shughuli yoyote uliyofungua nije niione ni kesho.
 
Hatari kubwa gani zaidi ya panic tuu, jee kuna Mtanzania yoyote ameambukizwa Corona Tanzania?.
P
Umeandika daktari alituingiza Chaka alipokuwa anaongelea kuhusu uvaaji wa mask tuambie basi unachofahamu wewe kuhusu uvaaji wa mask.

Maana daktari alisema wanaotakiwa kuvaa ni wahudumu wa afya wanaohudumia wagonjwa wa Corona na wagonjwa wenyewe ili wasiambukize wengine embu tuambie alikosea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…