Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Wapumbavu hawa , Bora mtu uwe mtumwa totally kuliko kuwa mtumwa wa fikra watapata tabu sana hawa kuku yani mzungu kwao sio binadamu wakati huyo mzungu wenyewe kawaambia no baby perfect under the [emoji296] sun, lakini wao wanawaamini wazungu kuliko aliowaumba atar sanaHalafu hao cdm si ndio walikuwa wanalazimisha serikali iweke lockdown, kufunga mipaka pamoja na kufungia watu ndani sasa mbona naona mikutano yao ya ndani wanajazana halafu hakuna social distance wala kuvaa barakoa!
Wanasumbuliwa na utumwa wa akili.Wapumbavu hawa , Bora mtu uwe mtumwa totally kuliko kuwa mtumwa wa fikra watapata tabu sana hawa kuku yani mzungu kwao sio binadamu wakati huyo mzungu wenyewe kawaambia no baby perfect under the [emoji296] sun, lakini wao wanawaamini wazungu kuliko aliowaumba atar sana
Hoja gani umejenga zaidi ya kuleta kejeli na utani kuhusu corona!?!Jifunze kujenga hoja, wacha matusi
Nkuruzinza alileta siasa kwenye corona nadhani huko alipo anajuta sasaNaona mafisadi magu kawaminya pumb*u mnagugumia tu ,wakati wenu umekwisha subirini kufa tu
Kama mnaogopa korona Jinyongeni sisi tunasema KORONA NI RAFIKI YETU TUTA KULA NAYE NA KULALA NAYE NA KUCHEZA NAYE .
Bahati nzuri nilipata na nikapona. Namshukuru Mungu kwa hilo huku bado nachukua tahadhari.Kama sitakuona humu jf nitaamini kuwa ipo na imekuondoa
Ahadi yeke tu ilifika na sasa kila atakae kufa hata kama Kwa presha bc ataambiwa Corona, toka korona ingie ushawahi sikia mtu kafa Kwa presha au kisukari? Ingekuwa kufa bc angekufa uhuru,trump maana wote hao ugonjwa umefika mpaka Ikulu Kwa jinsi walivyo wazembeNkuruzinza alileta siasa kwenye corona nadhani huko alipo anajuta sasa
Kejeli zibaruhusiwa lakini sio matusiHoja gani umejenga zaidi ya kuleta kejeli na utani kuhusu corona!?!
Baba hivi wewe binafsi ushawahi kukutana na mtu hata mmoja mwenye corona? Au umeshaona vifo vingapi vilivyosababishwa na Corona?Hata huku Tz ipo na inaua! Tofauti yetu na Kenya ni kwamba sisi tumeamua kuficha ndio maana unaona kama hamna maambukizi.
Tuombe Mungu tu hili janga lipite ama ipatikane chanjo
Mpuuzi kabisa huyu!Juzi watu wamezika Kibaha Mlandizi na Bagamoyo
Ukielekea mitaa ya kusini kusini Mafinga na jirani zao huko ni hatari
Morogoro he?
Watu wanakufa buana acha ubishi
Likikufika uje ukanushe
Corona ni ya kila mmoja tusijuvune kama vile kwetu kuko salama
Ukristu wangu unanituma kuwahurumia sijui wewe imani yako inakufundisha nini
Niwap Tz inajiusisha upumbavu wa kenya ww acha kuongea usicho kijua..Jambo la ajabu sisi tunaona raha sana kutangaza habari zao ila wao wakitangazazetu kelele zinaanza.
Acha porojo za usicho kijua ivi nyie kwani mnafananisha korona n marelia au ukimwi....hili ni janga mzike alafu watu hakuna wanao ugua acha kuongea km umelewa wewe....korona ikicharaza hakuna wakuificha ...peleka porojo zako ukooJuzi watu wamezika Kibaha Mlandizi na Bagamoyo
Ukielekea mitaa ya kusini kusini Mafinga na jirani zao huko ni hatari
Morogoro he?
Watu wanakufa buana acha ubishi
Likikufika uje ukanushe
Corona ni ya kila mmoja tusijuvune kama vile kwetu kuko salama
Ukristu wangu unanituma kuwahurumia sijui wewe imani yako inakufundisha nini
Labda waseme wanakufa Kwa wingi kwenye njozi ila haingii akilini watu wafe Kwa wingi halafu kisiwe na mazishi hizo zitakua akili za chadema kuwalaghai watu Kwa maneno yasiyo na maanaBaba hivi wewe binafsi ushawahi kukutana na mtu hata mmoja mwenye corona? Au umeshaona vifo vingapi vilivyosababishwa na Corona?
Acha porojo mzee . Acha kulazimisha mambo. Corona imepungua sana. Na hizi tiba za asili zinasaidia sana.
Ugonjwa hauna dawa. Mtu aki jaribu kujifukizwa eti anatukanwa mshamba, yani mimi hata sielewi.
Sauzi ukikutwa na Corona, unapewa panado na barua ya kuonesha kwamba baada ya wiki mbili utakuwa ushapona. Watajuaje kama umepona wakati hujapimwa? ? Huu ugonjwa ni ujinga tu.
Wajanja ni sisi tu waTANZANIA. Wengine wote imekula kwao .
Na Watanzania wenzagu mnaosema watu wanakufa kwa wingi, muache ujinga. Hao watu wako wapi? Makaburi yao yako wapi?
Nilikua napitia commets zenu na sikutaka kuchangia lakini acha niseme huyu jamaa ana kaujinga flan au ni mshabiki wa kawaida tu anayetaka kujifurahisha au ana chuki binafsi au kaamua kujitoa akili makusudi tuUpo sahihi,maana ya pandemic ni kwamba zile nchi ambazo hazichukui hatua stahiki kama Tanzania zitaathirika sana na zile ambazo zinajitahidi kuchukua hatua stahiki kama Kenya zitaathirika kidogo
Unaelewa kuwa blah blah zako hazitaondoa wala kufuta maana ya pandemic?Unaelewa kuwa blah blah zako hazitafanya nchi ambazo hazikuchukua hatua stahiki dhidi ya Corona kuwa ni sahihi?Nilikua napitia commets zenu na sikutaka kuchangia lakini acha niseme huyu jamaa ana kaujinga flan au ni mshabiki wa kawaida tu anayetaka kujifurahisha au ana chuki binafsi au kaamua kujitoa akili makusudi tu
Anajua ndiyo...kwani kuna Siri hapo?? Hata Mimi najua hivyo ?Usikariri ya kuambiwa. Slums nyingi unajua unachoongea?
Kenya imeshinda India kwa idadi ya watu wanaoishi kwa slums?
unaandika as if Tanzania mambo ni shwari.
boriti jichoni mwako hulioni bali unaweza kukaona kabanzi kadogo kwenye jicho la mwenzio!
[SUB]Tetesi: - SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo[/SUB]
Wewe ni taahira. Wapi hali ni mbaya haoa Tanzania?Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea. Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu.
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support. Shida jirani zetu slums nyingi