joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Watanzania, je tuwachukulieje hawa majirani ambao waliongoza dunia katika kutupaka matope na kutuombea mabaya ili Corona itusambaratishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikariri ya kuambiwa. Slums nyingi unajua unachoongea?Kwani kumekuwaje? Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea. Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu. Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support. Shida jirani zetu slums nyingi
Tatizo walituombea tupukutike sana, walituita Italy ya East Africa, sasa watu kama hao unataka tuwahurumie?.Kwani kumekuwaje?
Huku kwetu hatutangazi ndio maana hatujui linaloendelea
Corona ipo kila mahali ni wewe halijakufika lakini vifo ni vingi hata huku kwetu
Usifurahie wanayopitia jirani zetu nadhani tuwahurumie na kuwa support
Shida jirani zetu slums nyingi
Yep yep nakijua. Kwani uongo?Usikariri ya kuambiwa. Slums nyingi unajua unachoongea?
Huo ndio ukweli, nchi nyingi zenye slums inakua vigumu sana kuthibiti maambukizi ya "Communicable diseases". South Africa, Nigeria, Kenya, DRC, BukinaFaso, Ghana Ethiopia, hizi nchi zitashuhudia ongezeko kubwa sana la maambukizi.Usikariri ya kuambiwa. Slums nyingi unajua unachoongea?
Juzi watu wamezika Kibaha Mlandizi na BagamoyoTatizo walituombea tupukutike sana, walituita Italy ya East Africa, sasa watu kama hao unataka tuwahurumie?.
Wewe hiyo ya watu kufa upo maeneo gani ya Tanzania?, kama vyuoni na mashuleni hakuna taarifa za watu kufa, wala wachezaji wa mpira wanaocheza ligi ya EPL hakuna hata mmoja anayeunwa, au hata timu za ligi kuu pia zinaficha?
Kenya imeshinda India kwa idadi ya watu wanaoishi kwa slums?Yep yep nakijua. Kwani uongo?
Kenya na Nigeria zinaongoza kwa slums ikifuatia Filipino sasa unakataaa nini?
Jisumbue kusoma na kufuatilia yaliyopo ulimwenguni
Mkuu changanya ubongo wako khaKenya imeshinda India kwa idadi ya watu wanaoishi kwa slums?
Naona unefurahia sana habari ya Kenya kuwa na slums. Haya basi jifurahishe. Raha jipe mwenyewe.Mkuu changanya ubongo wako kha
Kenya ni mojawapo ya nchi zenye slums zenye ukubwa ukiunganisha na India Nigeria etc shida iko wapi hapa?
Kwa hiyo Tanzania Corona inachagua sio?, sehemu zenye mikusanyiko kama mashuleni na vyuoni, au kwenye michezo yenye mikusanyiko kama wachezaji wa mipira, huko imeamua kutokwenda, badala yake imeamua kuwavamia huko unakosema, hatusemi imekwisha, lakini imepungua sana kiasi cha kuruhusu shughuli ziendelee.Juzi watu wamezika Kibaha Mlandizi na Bagamoyo
Ukielekea mitaa ya kusini kusini Mafinga na jirani zao huko ni hatari
Morogoro he?
Watu wanakufa buana acha ubishi
Likikufika uje ukanushe
Corona ni ya kila mmoja tusijuvune kama vile kwetu kuko salama
Ukristu wangu unanituma kuwahurumia sijui wewe imani yako inakufundisha nini
Wanavuna matunda ya upumbavu wao; heri wangekuwa wajinga elimu ingewasaidia kuondoa ujinga; na hao wala siyo wajinga, wameelimika sana lakini ni wapumbavu!! Upumbavu ni roho, ni zaidi ya ujinga; watapata taabu sana kuanzia walioko BBC Swahili, mpaka NRB. Najua Zuhra Yunus na Salim Kikeke wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana, maana timu kubwa BBC Swahili ni wa-K, wapendwa wa mabeberu.Mungu kawaumbua, kawaonyesha kuwa waache unafiki ili wawe majirani wazuri.
MY TAKE: Watanzania, je tuwachukulieje hawa majirani ambao waliongoza dunia katika kutupaka matope na kutuombea mabaya ili Corona itusambaratishe?
Tetesi?.... Hilo neno tu limejibu kila kitu, kama kweli Kenya mnaweza kujilinganisha na Tanzania, jaribuni kufungua vyuo na shule muone kama vyuoni wanafunzi hawatokimbia na kurudi nyumbani kwao, au ruhusuni michezo iendelee kama Tanzania, muone kama wachezaji hawatokufa kama wadudu, Kahata yupo Dar akiwa na amani tele. Lazima mkubali ukweli kwamba Tanzania tumefanikiwa kuudhibiti kwa kiwango kikubwa sanaunaandika as if Tanzania mambo ni shwari.
boriti jichoni mwako hulioni bali unaweza kukaona kabanzi kadogo kwenye jicho la mwenzio!
[SUB]Tetesi: - SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo[/SUB]
kwani nani anaye reveal takwimu officially Tanzania?Tetesi?.... Hilo neno tu limejibu kila kitu, kama kweli Kenya mnaweza kujilinganisha na Tanzania, jaribuni kufungua vyuo na shule muone kama vyuoni wanafunzi hawatokimbia na kurudi nyumbani kwao, au ruhusuni michezo iendelee kama Tanzania, muone kama wachezaji hawatokufa kama wadudu, Kahata yupo Dar akiwa na amani tele. Lazima mkubali ukweli kwamba Tanzania tumefanikiwa kuudhibiti kwa kiwango kikubwa sana
Naona umekasirika sana kuhusu huyo mkenya anayejifanya mtanzaniaKwa hiyo Tanzania Corona inachagua sio?, sehemu zenye mikusanyiko kama mashuleni na vyuoni, au kwenye michezo yenye mikusanyiko kama wachezaji wa mipira, huko imeamua kutokwenda, badala yake imeamua kuwavamia huko unakosema, hatusemi imekwisha, lakini imepungua sana kiasi cha kuruhusu shughuli ziendelee.
Sasa kama watu hawapimwi, wewe umejuaje kama hao wanaokufa huko ni Corona, au unatembea na kipimo?
Hatufanya kisa tanzania wamefanyaTetesi?.... Hilo neno tu limejibu kila kitu, kama kweli Kenya mnaweza kujilinganisha na Tanzania, jaribuni kufungua vyuo na shule muone kama vyuoni wanafunzi hawatokimbia na kurudi nyumbani kwao, au ruhusuni michezo iendelee kama Tanzania, muone kama wachezaji hawatokufa kama wadudu, Kahata yupo Dar akiwa na amani tele. Lazima mkubali ukweli kwamba Tanzania tumefanikiwa kuudhibiti kwa kiwango kikubwa sana