Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
All drugs used in Tanzania are from Kenya. For raw materials, Uganda will forever be a good neighbor.Mtanzania gani anayelia?, mnaolia ni nyinyi mnaosema Magufuli hatiki kushirikiana na wenzake. Ukweli tusema, ni kitu gani kitakachowafanya watanzania kuvuka mipaka na kuingia Kenya katika kipindi hiki kigumu?.
Kenya inahitaji Chakula na raw materials toka Tanzania, Je Tanzania inahitaji kitu gani muhimu toka Kenya?. Ningekuwa Magufuli ningefunga huu mpaka japo kwa miezi mitatu ili kuwatia adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app