Corona: Kenya waanza kulalamikia Tanzania kwa kuanza kulipiza kisasi

Corona: Kenya waanza kulalamikia Tanzania kwa kuanza kulipiza kisasi

Kuna mzee mmoja aliwahi kunisimulia kuwa baba wa Taifa lao alizinguana na Mwalimu, mpaka ukafungwa.... Unaambiwa siku Mwalimu alipofungua Mpaka baba wa Taifa lao alitembea kwa Miguu zaidi ya 50 km na raia wake huku wakishangilia na kuomba msamaha kuwa haitorudia tena. 2016 walijisahaulisha wajuu hawa wakataka kurudia kosa, kilichowapata pale Holili na Tarakea kama sio Namanga tunafahamu, hii ni nchi yenye bandari ila haina chakula sembuse Zambia, Rwanda, Uganda na Malawi? Hawa nao watasanda mapema sanaaaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]na watakoma, TZ tunampango wa kublock boda zinazotumika kusafirisha chakula kwa magendo .harafu tatizo la wakenya wanazani matatizo wakiwa wanayo wao anazani Nchi zote lazima wawe nayo kumbe sivyo. Kuna yule pimbi anaejiita mk254 kipindi corona inaanza anajitapa humu eti serikali inajiandaa inanunua chakula Cha kutosha Sasa anasahau kua huko serikali yake inanunua chakula kipo kingi ndio maana wanauziwa wao
Haujui kiswahili?

Taasisi ya habari ikiripoti tukio ni Tz wanalia?

Kwizera? Hakuna jina la kiTanzania la hivyo. Huyo ni mshkaji wa Rwanda akiripoti kilichopo.

MTanzania gani analia?

Hakikisheni mna mahindi ya kutosha. Yasijirudie ya njaa kali, na watu kufa njaa katika nchi yenu ya uchumi wa kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]na watakoma, TZ tunampango wa kublock boda zinazotumika kusafirisha chakula kwa magendo .harafu tatizo la wakenya wanazani matatizo wakiwa wanayo wao anazani Nchi zote lazima wawe nayo kumbe sivyo. Kuna yule pimbi anaejiita mk254 kipindi corona inaanza anajitapa humu eti serikali inajiandaa inanunua chakula Cha kutosha Sasa anasahau kua huko serikali yake inanunua chakula kipo kingi ndio maana wanauziwa wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalia lia na hawataki kufunga mipaka,
Kule Zambia magari ambayo huwa yanawapelekea mafuta kwa siku yanafika themanini na yanatokea Tz 😂
 
Ingependeza zaidi kama mngelipiza kisasi dhidi ya "kaugonjwa kadogo ka Corona". Maanake hamna mtu yeyote ambaye ana tatizo na watz, tashwishi lipo kwenye response ya Jiwe kuhusu maambukizi ya kirusi cha COVID-19. Hata mkilipiza kisasi dhidi ya majirani zenu wote tatizo la uongozi dhaifu litabaki pale pale.
 
This is Kigogo doesn't stay in Tanzania, do you believe him?, but when Miguna Miguna says that almost 600 Kenyans have died, you don't believe because he is not in Kenya, hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Miguna is in Canada, Kigogo ako wapi if not Tanzania? Ama ni juu anatumia picha ya bendera ya Kenya you think that ako Kenya?
 
Sisi ni nchi yenye kuamua maisha yake vile tunavyodhani ni sawa, tulipoamua kugombana na wazungu ili kuwakomboa waafrika wa nchi za kusini, mzee Jommo Kenyatta alimshangaa sana Nyerere kwa kupingana na mataifa makubwa yenye nguvu duniani, Kenya mlitutenga tukabaki wenyewe, kwahiyo hamna jipya, ninyi hamna uwezo wa kujisimamia wenyewe.

Back
Top Bottom