Corona: Kenya waanza kulalamikia Tanzania kwa kuanza kulipiza kisasi

Corona: Kenya waanza kulalamikia Tanzania kwa kuanza kulipiza kisasi

Sisi ni nchi yenye kuamua maisha yake vile tunavyodhani ni sawa, tulipoamua kugombana na wazungu ili kuwakomboa waafrika wa nchi za kusini, mzee Jommo Kenyatta alimshangaa sana Nyerere kwa kupingana na mataifa makubwa yenye nguvu duniani, Kenya mlitutenga tukabaki wenyewe, kwahiyo hamna jipya, ninyi hamna uwezo wa kujisimamia wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
What benefit did you gain in you so called "tulisaidia nchi za Africa"?. As far as I can recall, Tanzania is among the poorest countries in Africa only known for exporting beggars and drug lords. Ndege zenyu zinashikwa huko South Africa na huko busy here telling us how you helped South Africa.
 
I told someone here that Tanzania is blessed to Kenya as their neighbors during this hard time. We test for you as well as telling you the numbers
 
Hao madereve hata mkipenda, wafungeni. What we know Tanzanians are now feeling the heat of border border restrictions and I don't think we are going to loosen the tightness very soon. Wanalia huko twitter kweli kweli. Saa ii hakuna nchi inataka kuwa jirani na nyinyi. Zambia wamefanya border, Malawi wamefanya border, Kenya strict rules for Tanzanians entering Kenya, Uganda and Rwanda the same.
Mzee sisi hatuna shida saana,
Naona kabisa majirani zangu mtakavyokufa na njaa,pia mfumuko wa bei utawahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What benefit did you gain in you so called "tulisaidia nchi za Africa"?. As far as I can recall, Tanzania is among the poorest countries in Africa only known for exporting beggars and drug lords. Ndege zenyu zinashikwa huko South Africa na huko busy here telling us how you helped South Africa.
Eti poorest countries in Africa!!!! Hehe umepanick braza...Tulia hivyo hivyo
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Why should Tanzanian drivers going to Kenya if not for the benefit of Kenyans, we don't need anything from Kenya, that's why we can do whatever we want with Kenyan drivers and we lose nothing out of it, in case borders are totally closed, who will suffer?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nyinyi Watanzania wote mlipoumbwa ni template moja ilitumika toka kwa Rais mpaka kwa matoddler?
 
I once said in here, We know where to hit you where it pains,mkabisha,now,so much More to come neighbors,ngoja siku zijazo,hamtaamini.
 
Magufuli has been described by most people as the extremely stupid leader.

Hao madereve hata mkipenda, wafungeni. What we know Tanzanians are now feeling the heat of border border restrictions and I don't think we are going to loosen the tightness very soon. Wanalia huko twitter kweli kweli. Saa ii hakuna nchi inataka kuwa jirani na nyinyi. Zambia wamefanya border, Malawi wamefanya border, Kenya strict rules for Tanzanians entering Kenya, Uganda and Rwanda the same.
Kama no hivyo mbona mnalialia. Kaeni kwenu msije huku. Mkuki kwa nguruwe..

God save us
 
Post Miguna`s` covid deaths breakdown venye Kigogo amefanya. Kigogo has clearly stated that those numbers are from ministry of health insiders and the rests are from the deceased.
So you believe in Kigogo whichever he says?. Because Kigogo has given out break down then that is standard Miguna Miguna must follow. It is 600 (By Miguna Miguna) and 300 (Kigogo), we either believe both or we reject both.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujui kiswahili?

Taasisi ya habari ikiripoti tukio ni Tz wanalia?

Kwizera? Hakuna jina la kiTanzania la hivyo. Huyo ni mshkaji wa Rwanda akiripoti kilichopo.

MTanzania gani analia?

Hakikisheni mna mahindi ya kutosha. Yasijirudie ya njaa kali, na watu kufa njaa katika nchi yenu ya uchumi wa kati.
Mahindi watayatoa wapi?
Kwanza waziri amepiga marufuku wakenya kununua mahindi huku direct kutoka kwa wakulima

God save us
 
Sisi ni nchi yenye kuamua maisha yake vile tunavyodhani ni sawa, tulipoamua kugombana na wazungu ili kuwakomboa waafrika wa nchi za kusini, mzee Jommo Kenyatta alimshangaa sana Nyerere kwa kupingana na mataifa makubwa yenye nguvu duniani, Kenya mlitutenga tukabaki wenyewe, kwahiyo hamna jipya, ninyi hamna uwezo wa kujisimamia wenyewe.
Umejibu hoja yangu kwa unyonge mwingi sana, tena naona unajaribu kubadilisha mada kwa porojo ambazo huwezi ukazidhibitisha. Inamaanisha kwamba unaelewa vizuri uhalisia wa mambo kama yalivyo. Tatizo lenu ni uongozi, sio majirani. Unakumbuka hizi kauli za ajabu ajabu kutoka kwa rais wenu? Mlianza kwa kupuuzilia mbali virusi vya Corona kisha mkaanza kujifukiza, wakati wataalamu tayari wamebainisha kwamba haisaidii chochote dhidi ya virusi na maambukizi ya COVID-19. Sasa hivi mmerukia kwenye dawa feki ya CVO kutoka Madagascar mmechanganyikiwa kweli kweli.
 
What benefit did you gain in you so called "tulisaidia nchi za Africa"?. As far as I can recall, Tanzania is among the poorest countries in Africa only known for exporting beggars and drug lords. Ndege zenyu zinashikwa huko South Africa na huko busy here telling us how you helped South Africa.
We are not materialistic like you stupid, we live by principle and humility, we decide to do what we think is write and good for human being, that's why Tanzania is the most peaceful, united, and lovely country, while Kenya is the most ruthless country in Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Miguna is in Canada, Kigogo ako wapi if not Tanzania? Ama ni juu anatumia picha ya bendera ya Kenya you think that ako Kenya?
Tumia kingereza, achana na kiswahili unatuharibia lugha yetu.
 
Huu mchezo sio wa kukurupuka, Tanzania ikianza kujibu mapigo, hakuna nchi inayoweza kuhimili mikiki mikiki yake katika ukanda huu.
Kwani tuna nini cha zaidi? Ukiipiga Kenya unapigana na Uingereza!
 
Back
Top Bottom